×

Global TV Online

Polisi Wakamata Wahamiaji Haramu 14 Kwenye Gari la Abiria – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria...

READ MORE

Video: Mume Aliyekatwa Nyeti Afunguka Mazito ‘Nimemsamehe Mke Wangu’

Baraka Melami (40) mkazi wa Kitongoji cha Juhudi katika Kijiji cha Olevolosi, Arumeru, Arusha aliyedai kukatwa nyeti na mkewe usiku...

READ MORE

Polisi Dar Waimarisha Usalama Kabla ya Mchezo wa Simba na Petro Atletico – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja...

READ MORE

Rais SamiAwatunuku Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Kijeshi Wahitimu 106 wa TMA Monduli – (Video +Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza mahafali ya Chuo...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atunuku Kamisheni Kwa Maafisa Wanafunzi Wa JWTZ, Monduli (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anongoza hafla ya kutunuku Kamisheni...

READ MORE

Rais Samia Aitaka Tume Kuchunguza Kauli za Makundi Wakati wa Vurugu Nov. 29 – Video

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya mambo yanayotarajiwa kuchunguzwa Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Atunuku Shahada kwa Wahitimu wa Mahafali ya 55 ya Chuo Kikuu cha Dar

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,...

READ MORE

Tanzania Yapokea Mabaki ya Joshua Mollel Aliyeuawa na Hamas, Mazishi Kufanyika leo Manyara

Mabaki ya mwili wa Kijana Joshua Mollel aliyeuwawa nchini Israel na wapiganaji wa HAMAS Oktoba 07, 2023 yamewasili Novemba 19,...

READ MORE

Machumu Ateuliwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Tido Mshauri wa Rais – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya uongozi katika Kitengo cha Mawasiliano Ikulu...

READ MORE

Kihongosi: Chama Kitaimarisha Usimamizi wa Utekelezaji wa Ilani – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitaisimamia kikamilifu Serikali ili kuhakikisha utekelezaji wa ilani na maono ya Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Nana Dollz Afunguka Baada ya Kununua Range Rover “Mwaka Mgumu Lakini Mungu Amenisaidia”

Mwanamitandao maarufu Nasma Hassan Athuman anayejulikana kama Nana Dollz, amefanikisha kununua gari la kifahari aina ya Range Rover Velar SUV...

READ MORE

Chalamila Aagiza Huduma za Mwendokasi Kurejea Mbagala Novemba 20 – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kurejeshwa kwa huduma za mabasi ya mwendokasi katika kituo cha...

READ MORE

MC Pilipili Afariki Kwa Kupigwa na Watu Wasiojulikana – Video

Kaka wa marehemu Emmanuel Mathias, maarufu kama MC Pilipili, amesema matokeo ya uchunguzi wa awali yanaonyesha kwamba kifo cha mdogo...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Mawaziri Wapya Na Manaibu, Makonda (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa dhamana alizowapa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wapya...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri, Orodha Ipo Hapa – (Picha +Video)

Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza...

READ MORE

Polisi Waanza Uchunguzi wa Kifo cha MC Pilipili Dodoma – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Gallus Hyera, amesema linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu chanzo...

READ MORE

Rais Samia Amteua Joel Nanauka Kuongoza Wizara Mpya ya Vijana – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Joel Nanauka kuwa Waziri wa Vijana, wizara mpya...

READ MORE

Maumivu! Akatwa Ulimi Mara 6 Kutokana Na Saratani, Sasa Anahitaji Milioni 55 Ili Kuokoa Maisha Yake – Video

Ni maumivu yasiyoelezeka! Mwanamama Zainabu, mkazi wa Mbezi Makabe jijini Dar, anapitia kipindi kigumu baada ya kukatwa ulimi mara sita...

READ MORE

Video: Kanisa Katoliki Walaani Vifo Vilivyotokea Kwenye Vurugu Siku Ya Uchaguzi – Askofu Wolfgang Afunguka

Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo,...

READ MORE

Hii hapa Hotuba ya Rais Dkt. Samia Akifungua Bunge la 13, Novemba 14, 2025 – Video

Rais Samia ameeleza safari hiyo Novemba 14, katika hotuba wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya habari vitapewa nafasi na leseni kwa haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kulinda na kuimarisha uhuru wa vyombo...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Vijana Waliofuata Mkumbo Katika Maandamano Kuachiwa Huru – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo maalum kwa vyombo vya ulinzi na usalama,...

READ MORE

Video: Rais Samia Awapa Pole Waathiriwa wa Vurugu, Aahidi Hatua Madhubuti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapitia kipindi kigumu kutokana na vifo na...

READ MORE

Vibonge Kunyimwa Visa? Haya Ndiyo Mapya Kutoka Serikali ya Rais Trump

Serikali ya Rais Donald Trump inakusudia kuanza kuwanyima visa wahamiaji wa kigeni wenye unene uliopitiliza (vibonge). Inaelezwa kuwa mbali na...

READ MORE

Rais Samia: Nafasi ya Waziri Mkuu si ya ndugu wala rafiki, ni ya Watanzania – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutumia nafasi...

READ MORE

JWTZ Kuwachukulia Hatua Za Kisheria Wapotoshaji Katika Mitandao Ya Kijamii – Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), linakemea tabia inayokithiri ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inayolihusisha Jeshi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Nchemba Apokelewa kwa Shangwe Dodoma – Video

Waziri Mkuu Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba, amepokelewa kwa heshima kubwa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika makazi ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Atangaza Mawaziri Wateule Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar -Video

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi wa Mawaziri na Naibu...

READ MORE

Daniel Sillo Baran Achaguliwa Naibu Spika wa Bunge la 13

Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu: Serikali Itatekeleza Miradi Inayogusa Maisha ya Wananchi -Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameahidi kusimamia kwa nguvu zote utekelezaji wa malengo ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akitangaza Jina la Waziri Mkuu aliyeteuliwa na Mhe....

READ MORE

Bunge Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Kesho

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025,...

READ MORE

Mahakama Yaahirisha Kesi ya Uhaini ya Lissu Hadi Ratiba Mpya – Video

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa kwa muda hadi Msajili wa...

READ MORE

Maandamano ya Oktoba 29 Hayakuwa Halali, TPBA Yatamka

Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimetoa tamko rasmi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29...

READ MORE

Heche azungumzia kwa mara ya kwanza kuachiwa kwao na Jeshi la Polisi – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema hakuna makubaliano yoyote yaliyofanyika kati yao na...

READ MORE

Video: Mussa Zungu Achaguliwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

Mbunge wa Jimbo la Ilala, (CCM) Mhe. Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Bunge jipya la 13 laanza rasmi leo Dodoma, uchaguzi wa Spika wavutia

Dodoma, Novemba 11, 2025 — Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi vikao vyake leo kwa...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wabunge Sita Wapya wa Bunge la 13 – Video

Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameteua wabunge sita kwa mujibu wa kifungu cha katiba kinachompa...

READ MORE

Rais Kagame Akana Madai ya Kumuandaa Mtoto Wake Kurithi Urais

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametupilia mbali madai yanayoenea kwamba anamuandaa mmoja wa watoto wake kuchukua nafasi yake ya Urais...

READ MORE

Lukuvi Kuongoza Tena Uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13

Joto la uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13 likizidi kupanda ndani ya vyama vya siasa, Mbunge wa Isimani (CCM),...

READ MORE