×

Global TV Online

EXCLUSIVE INTERVIEW: NA ABDI BANDA MCHEZAJI WA BAROKA FC (VIDEO)

Mahojiano maalum kati ya Global Tv na beki Abdi Banda ambaye ni mchezaji wa Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: LHRC ‘Waishambulia’ NEC – VIDEO

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)  kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufanyia kazi changamoto zilizoibuliwa na...

READ MORE

MPAKA HOME: JIONEE MZIGO WA DAWA ANAZOTUMIA WASTARA (VIDEO)

 NI sehemu ya pili ya Kipindi cha Mpaka Home, nyumbani kwa Wastara ikiwa ni siku chache baada ya kurejea...

READ MORE

SNP: TAHLISO WANAMAMLAKA GANI YA KUTUKATAZA TUSIMTETEE AKWILINA? (Video)

Ndugu waandishi wa habari, leo tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo juu ya tuhuma zilizotolewa na TAHLISO dhidi ya TSNP mnamo tarehe...

READ MORE

Makonda Amtakia Matibabu Mema Ahmed Albaity Huko China (Video+Picha)

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amemtakia matibabu mema mwananchi Ahmed Albaity anayekwenda China kutibiwa tatizo...

READ MORE

Viongozi ACT Wazalendo Wahamia CCM, Wamlipua Zitto – Video

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

MAGAZETI MARCH 2: Mwanafunzi Mwingine Dar Auawa Kinyama!

 Wakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu,...

READ MORE

WASHINDI SPOTI HAUSI WAJINYAKULIA ZAWADI ZAO KUTOKA TECNO – VIDEO

  KIPINDI bora na maarufu cha michezo kinachorushwa kila Alhamisi saa 10:00 kupitia YouTube Channel ya Global TV Onlione, SpotiHausi...

READ MORE

MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO (VIDEO)

MUME wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Recho Haule, Saguda George amefunguka siri nzito juu ya maisha yake...

READ MORE

Siku 100 Kupotea kwa Azory, Mwananchi Watoa Tamko – Video

  ZIKIWA zimetimia ni siku 100 tangu kupotea kwa mwandishi wa Mwananchi Communication Ltd, Azory Gwanda, baada ya kutekwa na...

READ MORE

FATUMA KARUME, BOB WANGWE KUISHTAKI SERIKALI

  WAKILI Fatma Karume  na Bob Wangwe  watafungua kesi mahakamani kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi nchini.   Akizungumza na wanahabari leo,...

READ MORE

BREAKING: MBOWE AISHUTUMU NEC, JESHI LA POLISI

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameishutumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa walishindwa...

READ MORE

Global TV: Asanteni Kwa Kutufanya Kuwa Namba Moja

Asanteni watanzania kwa kututhamini na kutufanya kuwa namba moja. Kwa mujibu wa mtandao wa kimataifa wa Social Blade wa nchini...

READ MORE

Wasomaji Wa Spoti Xtra Wazawadiwa

Wasomaji wa gazeti la Spoti Xtra walionunua gazeti hilo kwenye msafara wa promotion uliokuwa ukipita viunga mbalimbali vya jiji la...

READ MORE

BLACK PASS COMEDY: Gubu la Kiziwi Chizi

Video za msanii machachari wa Comedy, BLACK PASS COMEDY. Unaweza kuzitazama kwa urahisi zaidi commedy kupitia application ya Global Publsihers,...

READ MORE

SHORT FILM: ‘UTANIKUMBUKA’ Kisa cha Mapenzi Kitakachokutoa Machozi

Tazama filamu fupi ya kusisimua, Utanikumbuka hapahapa Global TV Online. Pia unaweza kuitazama kupitia Global Publishers App Kama huja-install nimekuwekea...

READ MORE

Mnyika Awatahadharisha CHADEMA Mauaji ya Kutisha- Video

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewatahadharisha viongozi wa chama hicho na wananchi kuhusu...

READ MORE

HALI HALISI Nyumbani kwa Kina Akwilina Wakisubiri Mwili wa Marehemu

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini ambaye mwili wake umeagwa leo katika...

READ MORE