×

Global TV Online

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho...

READ MORE

Rushaynah Afunguka Mahusiano Yake Na Manara – “Hana Pesa, Sihitaji Ndoa” -Video

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameweka wazi kuwa mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ni uongo kwani suala...

READ MORE

Sheikh Mkuu Dar : Awachana Baraza La Maulamaa… ”Unamtetea Muhuni Kwa Kutaka Mke Ambaye Hamtaki?” – Video

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amezungumzia juu ya sakata linaloendelea kuhusiana na talaka ya...

READ MORE

Mama wa Mwanafunzi Aliyechapwa Kinyama na Mwalimu Mkuu Afunguka – Video

 Tukio ni la kweli limetokea,tarehe 10.01.2023, ambapo Mwalimu huyo alipiga viboko wanafunzi zaidi ya mmoja, upigaji wake ndio ulioleta...

READ MORE

Uhakiki Laini za Simu Mwisho Februari 13, 2023 Waziri Nape Afunguka – Video

SERIKALI imeongeza siku 14 kwa Watanzania waliosajili laini zao za simu kuhakiki laini hizo kabla ya kufikia tarehe 13 Februari,...

READ MORE

Mrembo Apigwa Kikatili Na Ex – Husband Nusu Kufa, Asimulia Kwa Uchungu… – Video

Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Doroth Msuya mwenye umri wa miaka 26 amedai kupigwa kikatili na mtu aliyedai ni mtalaka...

READ MORE

Exclusive: Tundu Lissu Afunguka – “Usalama Wangu Upo Kwenye Mikono Ya Rais Samia Na Serikali Yake”-Video

KUPITIA VOA Kiongozi nguli wa upinzani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu amezungumza katika mahojiano maalum ambapo ameeleza hali...

READ MORE

Video: Kitanzi Wasiopeleka Watoto Shule, Vigogo Wa Chadema Waanza Kazi, Majanga Mikopo | Front Page

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi....

READ MORE

Part 2: Salma Muuza Biriani Amwaga Machozi Akisimulia Alivyolazwa Juu Ya Kaburi Usiku, Kipigo Kizito-Video

KONA ya MTAA ya Global TV imefika hadi nyumbani anapoishi salma mrembo ambaye anadaiwa kupigwa na watu wasiojulikana na kumuacha...

READ MORE

Ukatili: Mrembo Achanwa Na Viwembe Usoni Na X-Wake Baada Ya Kuachiwa Polisi…Video

Kutoka Mkoani Arusha eneo la Namanga wilayani Longido, msichana Zainabu Salmu amechanwa na viwembe usoni na aliyekuwa mpenzi wake, Goodluck...

READ MORE

Ndoa Ya Diva Na Sheikh Abdulrazak Chali, Mwenyewe Afunguka – “Single Lady”

Habari iliyozua mshtuko kwenye ulimwengu wa mastaa wa Bongo usiku wa kuamkia leo Januari 13, 2023 ni kuhusu sintofahamu ya...

READ MORE

Video: Diwani Athumani; Kachero Aliyepita Mikono Ya Marais 3, Rais Samia Akamuamini Na Kumtengua Siku Ya 2

 Januari 3, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa viongozi wanne...

READ MORE

Fei Toto Atoka na Tabasamu TFF, Aongea Kwa Mara ya Kwanza “Nipo Sawa Tu”-Video

Baada ya mahojiano ya dakika 40 mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Feisal Salum ‘Fei...

READ MORE

Mbowe Ajilipua Ikulu Baada Ya Tamko La Rais Samia – ”Tunalipokea Kwa Tahadhari Kubwa”… Video

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa...

READ MORE

Exclusive: Mama Ashura Afichua Ukweli Ndoa Yake Kuvunjika, Amtaja Ebitoke – Video

KWENYE EXCLUSIVE na Imelda Mtema amepiga stori na mwigizaji wa filamu Bongo, Mama Ashura au Semeni wa Juakali ambaye amefunguka...

READ MORE

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus Aolewa na Fumbuka Nkwabi

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus ameolewa na Fumbuka Nkwabi Mwanakilala katika ndoa iliyofungwa siku ya Alhamisi...

READ MORE

Video: Miili Ya Askari Wanandoa Ilivyozikwa Kwa Heshima Mbeya, Risasi Zapigwa Angani…

MIILI ya wanandoa wawili, Sajenti Noah Simfukwe (30) na Agness Kiyeyeu (27) waliofariki kwa ajali siku tatu tu baada ya...

READ MORE

Video: Aliyesimamia Ndoa Ya Askari Waliofariki Ajalini Aishiwa Nguvu Mbele Ya Kaburi Akiweka Mashada…

MIILI ya wanandoa wawili, Sajenti Noah Simfukwe (30) na Agness Kiyeyeu (27) waliofariki kwa ajali siku tatu tu baada ya...

READ MORE

Rais Samia Ashuhudia Tukio La Kujaza Maji Kwenye Bwawa La Julius Nyerere – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuhudia tukio la kuanza kujaza maji Kwenye Bwawa la kufua...

READ MORE

Rais Samia Ashuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora – Kigoma) -Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Desemba, 2022 ameshuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora...

READ MORE

Waziri Mkuu Ambananisha Mtumishi Aliyejimilikisha Ardhi Ya Serikali – Video

 WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi awachunguze...

READ MORE

Video: Rais Samia Anashiriki Mkutano Mkuu Wa 10 Wa Chama Cha Mapinduzi – Jkcc, Dodoma…

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Katika...

READ MORE

Exclusive: Masha Love Ajilipua – “Zuchu Hana Shepu, Mimba Yangu Ipo Kifuani, Diamond Anaoa”…

 KWENYE EXCLUSIVE za IMELDA MTEMA zinazoruka kila wiki ndani ya Global TV amepiga stori na Masha Love; mrembo aliyejipatia...

READ MORE

Live: Rais Dkt. Samia Anashiriki Kongamano la Nne la Wanawake Vijana wa Mtandao wa Viongozi-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anashiriki Kongamano la wanawake vijana wa mtandao wa Viongozi...

READ MORE

Sakata la Dereva na Kondakta Kudaiwa Kubaka Wanafunzi, Waziri Gwajima Atinga Shule – Video

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsiia na Mahitaji Maalum Dorothy Gwajima amezungumza na wanahabari akiwa kwenye shule ambapo inadaiwa...

READ MORE

Live: Rais Dkt. Samia Anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Ngazi ya Kitaifa-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anashiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ngazi ya...

READ MORE

Sara Simbaulanga: Mwanamke Aliyeiba Mamilioni Benki Nbc Akanaswa, Aanika Ilivyokuwa..

Sarah Simbaulanga ni mwanamke aliyewahi kuwa gumzo ndani na nje ya nchi kutokana na kushiriki kwenye tukio la wizi wa...

READ MORE

Video: Sakata La Nabii Mkuu Geordavie Kuvunja Ndoa Ya Mtu, Mchungaji Mashimo Aibua Mapya…

 Mchungaji Mashimo leo Novemba 29, 2022 amezungumza na waandishi wa habari akiwa na mwanamama Elizabeth anayedaiwa ndoa yake kuvunjika...

READ MORE

Video: Lemutuz Aanika Ukweli Wote Kesi Yake Na Makonda, Ajibu Kauli Ya Dkt Bashiru….

 GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mwanasiasa, mwanaharakati na nguli wa mitandao ya kijamii Lemutuz ambaye ametupisha kwenye mengi...

READ MORE

Mfanyabiashara Wa Madini Amuua Kwa Risasi Mtoza Ushuru, Kisa Deni La Elfu 7 – ”Alimpiga Kifuani”-Video

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia EZEKIA EMMANUEL LUHWESHA (31) Mchimbaji na Mnunuzi wa Madini, Mkazi wa Matundasi...

READ MORE

Rais Samia Anawatunukia Kamisheni Maafisa Wanafunzi Muda Huu Arusha-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawatunukia  Kamisheni Maafisa Wanafunzi Muda Huu Arusha 

READ MORE

Sheikh Kipozeo, Mchungaji Hananja Wanazungumza na Vijana – Maadhimisho Siku ya Ukimwi

SHEIKH Kipozeo pamoja na Mchungaji Hananja wanazungumza na Vijana katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi. 

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Vihenge na Maghala ya Chakula, Ziara ya Kikazi – Manyara-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kikazi mkoani Manyara ambapo amezindua vihenge pamoja...

READ MORE

Mbunge Musukuma Amvaa Dkt Bashiru, Afichua Madudu Yake – ”Aombe Radhi” -Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amemtaka Dr. Bashiru Ally Kakurwa, kujitokeza hadharani na kuomba msamaha kwa kauli alizozitoa...

READ MORE

Kanisani: Wolper na Rich Mitindo Wafunga Ndoa, Wavalishana Pete Kimahaba-Video

STAA wa Bongo Movies JacquelineWolper amefunga pingu za maisha na Mume wake Rich Mitindo kanisani huku wakivalishana pete kimahaba. 

READ MORE

Heche Afunguka Mazito, Ajali ya Ndege Bukoba, Sakata la Maji, Atoa Msimamo wa Chadema – Video

 Karibu kutazama kipindi cha ‘FRONT PAGE’ upate habari na uchambuzi makini wa habari kubwa zilizobeba kurasa za mbele za...

READ MORE

Exclusive: Pretty Kind Aanika Ukweli Kuathirika Na Ukimwi -“Aliyenipeleka India Amekufa’-Video

  Katika kipindi cha ‘MPAKA HOME’ wiki hii, Global TV imetia maguu mpaka maeneo ya Sinza nyumbani kwa aliyekuwa Msanii...

READ MORE

Exclusive: Mchungaji Mchumba wa Wakonta Afunguka Chanzo Kutooana -“Sikufuata Pesa, Bado Nampenda”… -Video

 GLOBAL TV ONLINE imepiga stori na Mchungaji, Gregory Kileo aliyewahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo Wakonta Mapunda...

READ MORE

Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa Anatoa Taarifa Rasmi ya Ajali ya Ndege Iliyoua Watu 19-Video

MSEMAJI wa Serikali Gerson Msigwa ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi iliyotolewa na Baraza la Mawaziri Juu...

READ MORE

Lemutuz Aanika Urafiki Wake na Magufuli, Makonda, Wanawake | Mapito -Video

 KWENYE kipindi cha MAPITO cha GLOBAL TV wiki hii tumefanya maojiano maalum na Lemutuz aliyejizolea umaarufu kutokana na mitandao...

READ MORE