×

Global TV Online

Video: Mtoto (13) Afariki Baada Ya Kubakwa na Kulawitiwa, Iringa

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa eneo la Isakalilo katika Mtaa wa Njiapanda, Manispaa ya Iringa,...

READ MORE

UNDP, Uingereza Watoa Mamilioni ya Fedha Kuimarisha Biashara Bunifu

Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje,...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda Baada Ya Iran Kumtangaza Mojtaba Khamenei

IRAN usiku wa kuamkia leo Jumatatu Machi 9, 2026 imemteua Mojtaba Khamenei kama kiongozi wake mkuu, akichukua nafasi ya baba...

READ MORE

Mazoezi Makali ya Rais Mstaafu wa Botswana Yawavutia Wengi – Video

Rais mstaafu wa Botswana, Ian Khama (73), bado anaonesha kiwango kikubwa cha uimara wa mwili kwa kuendelea kufanya mazoezi makali...

READ MORE

Mtoto Nuru: Alizaliwa Kwenye Ajali Iliyomuua Mama, Afikisha Mwaka – Video

Ni simulizi ya kusikitisha lakini yenye tumaini. Mtoto Nuru alizaliwa katika mazingira ya kutisha ambayo si rahisi kuamini kwa haraka....

READ MORE

Video: Rais Samia Amzawadia Gari Mama Kanumba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemzawadia gari aina ya Toyota Harrier mama wa marehemu Steven...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Piga Pesa Mechi Zote na Meridianbet Leo

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu...

READ MORE

Mlinzi Ang’olewa Meno Manne, Wanachuo 17 Wakamatwa Tabora, RC Paul Chacha Athibitisha – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa...

READ MORE

Rais Trump Ahudhuria Kuagwa kwa Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi za EAC Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Machi 7, 2026 ameshiriki katika Mkutano wa 25...

READ MORE

SBL Wakutana na Waziri wa Kilimo Chongolo Kukuza Kilimo

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) jana ilikutana na Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha...

READ MORE

Fahamu Hadithi ya Zein Al-Dalou: Msichana Asiyeona Aliyehifadhi Qur’ani Wakati wa Vita Gaza – Video

Katika giza lisilo na mwisho… alizaliwa msichana asiye na macho ya kuona dunia.Lakini moyo wake ulikuwa umejaa nuru ya Qur’ani,...

READ MORE

TBS Kanda ya Kaskazini Yahakikisha Ubora wa Bidhaa na Vifaa vya Miradi ya AFCON

Meneja wa Kanda ya Kaskazini (TBS), Mhandisi Ismail Mwaipaja, amezungumza na waandishi wa habari mapema leo Marchi 06, 2026 Jijini...

READ MORE

UNDP Na Uingereza Wakutanisha Viongozi Wa Vyuo Vikuu Kukuza Ubunifu Zanzibar

Na Neema Adrian – GPL Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi...

READ MORE

BRELA Kuimarisha Urasimishaji na Mifumo ya Kidijitali

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuongeza kasi ya urasimishaji...

READ MORE

Sportpesa Yawataka Wanamichezo Kushiriki Mchezo wa Kubahatisha

Na Neema Adrian Gpl Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Tanzania imewaomba wapenzi wamichezo hiyo kushiriki mchezo wa kubahatisha kwani...

READ MORE

Video+ Picha: Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5...

READ MORE

Video: Iran Yasema Imewaua Wanajeshi 500 Wa Marekani

Iran imedai kuwaua zaidi ya wanajeshi 500 wa Marekani katika mapigano yanayoendelea, kwa mujibu wa kiongozi wa Baraza Kuu la...

READ MORE

Waziri Kombo Atembelea Ubalozi wa Iran Kutoa Salamu za Pole Kifo Cha Khamenei – Video

DAR ES SALAAM, Machi 4, 2026 — Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania umempokea Mahmoud Thabit Kombo,...

READ MORE

Video: Iran Yailipua Meli Ya Mafuta Ya Marekani Katika Ghuba Ya Uajemi

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kuishambulia meli ya mafuta ya Marekani katika eneo la...

READ MORE

CCM Yaipa Tano Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar, Wananchi Wa Kikwajuni

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na wakazi wa majumba ya Mjerumani Kikwajuni kwa kufikia maridhiano...

READ MORE

Msemaji wa Ikulu Amjibu Kwa Ukali Mwandishi wa CNN Kuhusu Vifo vya Wanajeshi wa Marekani – Video

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Karoline Leavitt usiku wa kuamkia leo Machi 5, 2026 amemjibu kwa ukali mwandishi wa CNN,...

READ MORE

SBL Na Wizara Ya Fedha Mambo Safi, Kuimarisha Ukuaji Uchumi Nchini

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), imekutana na Naibu Waziri wa Fedha, Eng. Mshamu Ali Munde katika kikao kikubwa kilicholenga...

READ MORE

Naibu Waziri Hamad Afika Kwenye Shamba la Kuku Kisarawe Linalozalisha Kuku Milioni 6

Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Dkt. Salum Soud Hamed, amefanya ziara maalum wilayani Kisarawe akiongozana na Kamati...

READ MORE

Video: Marekani na Israel Watangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema Marekani na Israel zinakusudia kuchukua udhibiti kamili wa anga ya Iran ndani...

READ MORE

Marekani Yathibitisha Kuzamisha Meli ya Kivita ya Iran Karibu na Sri Lanka – Video

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth leo Machi 4, 2026 amethibitisha kuwa manowari ya Marekani imezamisha meli ya kivita...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Amtumbua Muuguzi Aliyemfanyia Upasuaji Mjamzito Nyumbani

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa muuguzi wa Mkoa wa Tabora anayeshutumiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji...

READ MORE

Meli Ya Kijeshi Ya Iran Yazama Ikiwa Na Watu Zaidi Ya 100

WJeshi la wanamaji na jeshi la anga la Sri Lanka limetumwa haraka kuwaokoa mabaharia wa Iran baada ya meli yao...

READ MORE

Video: Tani 9.93 Za Dawa Za Kulevya Zakamatwa, Watuhumiwa 151 Wanaswa

Mwezi Januari na Februari 2026, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ilikamata tani 9.93 za dawa za...

READ MORE

Video: Dubai Yaimarisha Usalama Baada ya Shambulio la Droni Kutoka Iran

Ubalozi wa Marekani ulioko mjini Dubai katika United Arab Emirates ulishambuliwa kwa droni usiku wa Jumanne, Machi 3, 2026. Droni hiyo,...

READ MORE

Iran Yapiga Kambi ya Kijeshi ya Marekani Qatar kwa Kombora la Balestiki – Video

Kombora la balestiki lililorushwa na Iran limepiga kambi ya kijeshi ya Marekani katika Al Udeid Air Base nchini Qatar, kwa...

READ MORE

Vikundi Vya Mawasiliano Vya Majeshi ya SADC Vyajengewa Uwezo

Vikundi vya Mawasiliano vya Majeshi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) vimekutana kujenga uwezo na...

READ MORE

Waziri Wa Ulinzi Marekani Atoa Tamko Zito Kuhusu Irani, Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari – Video

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema dhamira kuu ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran ni kuharibu miundombinu...

READ MORE

Video: Watu zaidi ya 500 Wauawa Iran Kwa Makombora Ya Marekani Na Israel

Zaidi ya watu 555 wameuawa kufuatia mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, kwa mujibu wa taarifa...

READ MORE

Makombora Yaleta Taharuki Israel, Majeruhi 19 Waripotiwa – Video

Watu 19 wamejeruhiwa baada ya kombora la balistiki kutoka Iran kulenga moja kwa moja eneo la makazi katika mji wa...

READ MORE

Meli Tatu Za Marekani Na Uingereza Zashambuliwa Katika Mlango Wa Hormuz

Mvutano katika Ghuba ya Uajemi umeongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya meli tatu za mafuta zinazodaiwa kuhusishwa na Marekani na...

READ MORE

Video: Maafisa 40 wa Iran Wauawa katika Mashambulizi ya Israel na Marekani

 Katika mashambulizi ya Jumamosi, 28 Februari 2026, yanayodaiwa kufanywa na Israel na Marekani, takriban maafisa 40 waandamizi wa Iran...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei ameuawa, televisheni ya serikali Yathibitisha

Taarifa kutoka Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran pamoja na vyombo kadhaa vya habari vya serikali vimethibitisha kifo...

READ MORE

Israel Yasema Khamenei Ameuawa Katika Shambulio Kwenye Makazi Yake

Israel imetangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, katika shambulio kubwa la kijeshi lililofanywa asubuhi hii, ambalo...

READ MORE