×

Global TV Online

Watoto Watatu Wafariki kwa Moto Mbagala, Mama Asimulia Tukio la Kusikitisha – Video

Simanzi na huzuni imetanda miongoni mwa wakazi wa Mbagala Kilungule, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, kufuatia tukio la kusikitisha...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki, Wawili Wajeruhiwa Katika Ajali Morogoro (Picha +Video)

Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha gari dogo aina ya Subaru lenye namba...

READ MORE

Video: Jafo Apendekeza Mishahara ya Laki 5 na 7 Kwa Vijana, Ajira za Mikataba

Mbunge wa Kisarawe, Seleman Jafo ameshauri serikali kuwachukua vijana waliohitimu vyuo na vyuo vikuu nnchini, kisha kuwapa ajira za mikataba,...

READ MORE

LATRA Yafafanua Vigezo Vinavyozingatiwa Katika Upangaji wa Nauli Nchini

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kuwa upangaji wa nauli hauzingatii bei ya mafuta pekee, bali huzingatia vigezo mbalimbali...

READ MORE

Angela Kizigha na Evaline Munisi Waapishwa Rasmi Bungeni – (Video +Picha)

Wabunge wateule wawili, Angela Kizigha na Evaline Munisi, leo Aprili 09, 2026 wamekula kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo...

READ MORE

Trump Aibua Taharuki, Akutana na Katibu Mkuu wa NATO, Atishia Kujiondoa

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameibua mjadala mkubwa wa kimataifa baada ya kutoa kauli kali dhidi ya muungano wa kijeshi...

READ MORE

Serikali Yatoa Ufafanuzi Kupanda Kwa Bei za Mafuta Duniani – Video

Aprili 08, 2026 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi...

READ MORE

TBL Yataka Hatua za Pamoja Kudhibiti Pombe Haramu

Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imetoa wito kwa Serikali, sekta binafsi na jamii kushirikiana kikamilifu kukabiliana na tatizo la...

READ MORE

Video: Rais Samia Aelekeza Serikali Kupunguza Matumizi ya Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wafanyabiashara nchini dhidi ya kutumia mwanya wa...

READ MORE

Qualcomm Make in Africa 2026 Yatangaza Kampuni Changa 10 Zilizochaguliwa

Kampuni ya Qualcomm Incorporated imetangaza rasmi kampuni changa 10 zilizochaguliwa kushiriki katika toleo la nne la Mpango wa Ushauri wa...

READ MORE

Video: Marekani na Iran Zakubaliana Kusitisha Mapigano kwa Wiki Mbili

Rais wa Marekani, Donald Trump, amepunguza mvutano wa vita kwa kutangaza kusitishwa kwa mashambulizi dhidi ya Iran, huku mataifa hayo...

READ MORE

Serengeti Apple Yanogesha Pasaka kwa Mandhari, Ladha na Vibe ya Kipekee Dar es Salaam

Kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka kote nchini, Serengeti Apple iliandaa premium brunch experience maalum mwishoni mwa wiki...

READ MORE

Sakata la Uraia Lapamba Moto, Simba Yagoma Kukubali Uamuzi – Video

Klabu ya Simba SC imesisitiza kuwa bado haijafunga ukurasa wa sakata la mchezaji wa Yanga, ikionesha nia ya kuendelea kulifuatilia...

READ MORE

Video: CCM Yaitaka Serikali Kutoa Ruzuku Kupunguza Bei ya Mafuta

Chama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimeishauri serikali kuangalia uwezekano wa kutoa ruzuku kwa mafuta ili kupunguza makali ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Hatua Za Haraka Kurejesha Biashara Soko La Simu 2000 – Video

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza hatua za haraka kurejesha shughuli za biashara kufuatia ajali ya moto ulioteketeza Soko la...

READ MORE

Mwigulu Akagua Madhara ya Moto Soko la Simu 2000 Ubungo – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 6, 2026 amekagua madhara yaliyosababishwa na ajali ya moto katika soko la wafanyabiashara...

READ MORE

Polisi Watoa Onyo Dhidi ya Uzushi wa ‘Kuibiwa Nyeti’ Mitandaoni – Video

Jeshi la Polisi limetoa onyo kwa wote wanaosambaza uzushi mitandaoni kuhusu ‘kuibiwa nyeti’ na kueleza kuwa watasakwa na kukamatwa. Msemaji...

READ MORE

Video: Marekani Yaokoa Askari Wake Ndani ya Iran Baada ya Ndege Kupigwa

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa mwanajeshi wa Marekani aliyekuwa amepotea baada ya ndege ya kivita aina ya F-15E...

READ MORE

Shigongo Aibua Mjadala Bungeni Wakati wa Bajeti 2026/2027 – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli hiyo Aprili 2, 2026, wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi...

READ MORE

Video: Watu 9 Wanusurika Kifo Baada ya Lori la Mafuta Kulipuka Morogoro

Watu tisa, wakiwemo askari watatu—wawili wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na mmoja wa Jeshi la Polisi—wamenusurika kifo kufuatia mlipuko...

READ MORE

Video: Polisi Ruvuma Wawakamata Watuhumiwa wa Mauaji ya Dereva Bodaboda

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa wawili, Saidi Ramadhani (28), mkazi wa Mshangano–Namanyigu, na Gamaliel Mundo (36), mkazi...

READ MORE

Video: Mbunge John Nchimbi Ajilipua Sakata la Mafuta, Watumishi Wanaotumia Magari Binafsi

Mbunge wa Jimbo la Nyasa, John Nchimbi, amechangia katika Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13,...

READ MORE

Video: Hoja Nzito za Eric Shigongo Bungeni, Kuhusu CAG, Uchumi

Mbunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amechangia mjadala Bungeni mjini Dodoma leo Aprili 2,...

READ MORE

Video: Mbunge Sanga Ahoji Kuhusu Ujenzi wa ‘Arena’

Mbunge wa Jimbo la Makete kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Festo Sanga, ameuliza swali la nyongeza Bungeni akilenga Wizara ya...

READ MORE

Video: Mbunge Bahati Ndingo Aibananisha Serikali Sekta ya Elimu

Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Bahati Ndingo, amepata nafasi ya kumuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Benki ya Exim Yaingia Ubia wa Kimkakati na The Voice TZ

Dar es Salaam, Aprili 1, 2026 — Kadiri mahitaji ya huduma za malipo ya kidijitali yanavyozidi kuongezeka nchini, Benki ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Nchemba Ajibu Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 2, 2026 ameshiriki katika kipindi cha maswali...

READ MORE

Harmonize Amjibu Diamond ‘Acha Kulia na Arena’ Watanzania Wanahitaji Maendeleo – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuonekana kujibu kauli iliyotolewa na Msanii nyota...

READ MORE

Namibia Yapunguza Ushuru wa Mafuta kwa Asilimia 50 Kudhibiti Bei

Katika kukabiliana na wimbi la kupanda kwa bei za mafuta duniani, Serikali mbalimbali barani Afrika zinaanza kuchukua hatua za moja...

READ MORE

Video: Mwili wa Lukuvi Wazikwa Iringa, Waziri Mkuu Afunguka Mazito

WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na...

READ MORE

Mwanamke Afungwa Mwaka Mmoja Jela kwa Kuiba Mtoto wa Miezi Mitatu – Video

Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu mwanamke mmoja, Novina Yoel Kuboja (23), kifungo cha mwaka mmoja jela baada...

READ MORE

Mtanzania Afariki Uturuki Baada ya Kudondoka Ghorofa ya 14, Utata Wazuka – Video

Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza CAG, Aahidi Mapungufu Kushughulikiwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itachukua hatua madhubuti kushughulikia mapungufu yote yaliyobainishwa katika...

READ MORE

CAG: Deni la Serikali lafikia Trilioni 110.05, Lakini Bado Salama – Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, leo Machi 30, 2026 amewasilisha Ripoti Kuu ya mwaka wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti ya CAG, TAKUKURU na PPRA (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 30, 2026 amepokea ripoti mbalimbali kutoka taasisi za...

READ MORE

‘Bwege’ Afariki Dunia Akiwa Hospitalini Kigamboni

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Seleman Bungara maarufu kwa jina la ‘Bwege’ amefariki dunia mchana wa leo, Machi...

READ MORE

Trump Atishia Kuchukua Mafuta Iran na Kuteka Kisiwa cha Kharg – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatafakari mpango tata na hatari wa kijeshi unaolenga kuingia ndani ya Iran kwa muda...

READ MORE

Mwili wa William Lukuvi Waagwa Iringa Kabla ya Mazishi Idodi Kesho (Picha +Video)

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Mwigulu Aweka Wazi Hatma ya Coco Beach “Haiuzwi Ni Kwa Wananchi” (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji...

READ MORE

Video: Mwajuma na Mwanaye Wauawa na Kutupwa Kisimani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watu wanane wanaotuhumiwa kuhusika na matukio matatu tofauti ya uhalifu yaliyotokea katika...

READ MORE