×

Habari

Wahukumiwa Kifo kwa Kumuua Albino Bukoba

Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa waili Lameck Bazil na Pankras Minago kwa kumuua albino...

READ MORE

Kenya: Wanaharakati Waandamana Kwenye Jengo la Bunge Kutaka Kutambuliwa kwa Watu wa Jinsia 3

NAIROBI, KENYA: Wanaharakati nchini Kenya wameandamana katika majengo ya Bunge kushinikiza kutambuliwa kwa jinsia ya tatu, watu ambao si wa...

READ MORE

Rwanda na Burundi Zasitisha Usafirishaji Mafuta kwa Kutumia Bandari ya Mombasa, Kisa Uchakachuaji

Nchi za Rwanda na Burundi zimetangaza kuacha kusafirisha mafuta kupitia bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa madai ya vitendo vya...

READ MORE

Drake Amtambulisha Taylor Swift kwa Mama Yake, Penzi lake na Rihanna Njia Panda

  RAPA Aubrey Drake Graham, ‘Drake’ amempa hadhi ya juu mwanadada Taylor Swift ikiwemo kumtambulisha kwa mama yake pamoja na...

READ MORE

Njemba Avalia Matawi ya Miti na Kuingia Mtaani, Adakwa

Mwanamume mmoja nchini Marekani, ambaye ameanza kufahamika kama “binadamu mti”, alikamatwa baada  kuvuka barabara akiwa amevalia majani na matawi ya...

READ MORE

Zuma na Usingizi Bungeni

AFRIKA KUSINI: Macho ya wengi nchini Afrika Kusini jana yalikuwa kwenye Waziri wa Fedha Pravin Gordhan ambaye alikuwa akihutubu bungeni....

READ MORE

Tamisemi Yazindua Mkoba Wa Siku 1000

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Dk. Zainab Chaula akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo. Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya...

READ MORE

Sekondari Mtakuja, Dar, Haina Walimu wa Hisabati

Wananchi wa Tegeta-Nyuki wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, alipokuwa katika ziara ya kutatua matatizo yanayowakabili. Ali Hapi...

READ MORE

Baharia Atoweka Akitaka Kuvunja Rekodi ya Dunia

Baharia mashuhuri kutoka China Guo Chuan ametoweka akijaribu kuvunja rekodi ya kuvuka bahari ya Pasifiki akiwa peke yake. Maafisa wa...

READ MORE

Genevieve Nnaji Apozi na Kajibwa Kake [Picha]

DIVA kutoka Nollywood, Genevieve Nnaji ameonyesha dhahiri mahaba yake kwa mbwa baada ya kuachia picha zake akiwa katika pozi murua...

READ MORE

Hizi Ndizo Shule Zilizofanya Udanganyifu Kwenye Mtihani wa Darasa la 7

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk. Charles Msonde akitangaza matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi 2016,...

READ MORE

Bulaya vs Wasira: Msimamizi wa Uchaguzi Bunda Akiri Kukosea Kura

Msimamizi mkuu wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda Mjini mwaka 2015, Lucy Msoffe amekiri kufanya makosa ya kuandika idadi ya...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Alhamisi Oktoba 27, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Alhamisi Oktoba 26, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Mourinho Aichapa Man City Kombe la EFL

Kikosi cha Manchester United kinachoongozwa na Jose Mourinho usiku huu kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester City....

READ MORE

Mwijage Kuzindua Maonyesho ya Magari Dar

Mratibu wa maonyesho hayo, Ally Nchahaga (wa kwanza kulia) akizungumza na wanahabari. Mkutano na wanahabari ukiendelea. NA DENIS MTIMA/GPL WAZIRI ...

READ MORE

Wachina Wawili Wadakwa kwa Kumteka Mwenzao

DAR ES SALAAM: JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata Wachina wawili, Wang Young Jing (37) Chen...

READ MORE

Mawaziri wa Uganda na Tanzania Watembelea Eneo Litakapojengwa Gati ya Kupakia Mafuta

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda,...

READ MORE

Mkazi wa Kahama Akamata Kitita cha Tsh. Milioni 100 za Vodacom

  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (katikati) akimuonesha namba ya simu Afisa mwandamizi wa  Bodi ya Michezo ya Kubahatisha...

READ MORE

Wazanzibari 40,000 Wafungua Kesi Mahakamani Kuupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umeingia kwenye jaribio jingine, baada ya Wazanzibari 40,000 kufungua kesi mahakamani kupinga uhalali wake.   ...

READ MORE

Vigogo wa Jeshi la Polisi Wakamatwa na Magari Matatu ya Wizi

Wakazi wa Mji mdogo wa Himo wilayani Moshi wameshangazwa na kitendo cha Jeshi la Polisi mkoani humo kutowachukulia hatua maofisa...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Kutumia  ‘Boeing 787’ Safari  za Tokyo

Boeing 787 Dreamliner inatoa huduma bora za daraja la kwanza na kawaida Boeing 787 ndiyo ndege ya kifahari katika Shirika...

READ MORE

Mishahara Kupangwa Upya Na Serikali

SERIKALI imeahidi kuboresha na kuimarisha maslahi kwa watumishi wote wa umma kupitia Bodi ya Mishahara na motisha mara watakapokamilisha uhakiki...

READ MORE

Trump: Clinton Ataanzisha Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia Syria

MAREKANI: Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria...

READ MORE

Tamthiliya Ya Siri Za Familia Yapata Pigo, Mr Benson amezikwa jana Pwani

Haji Jumbe ‘Mr. Benson’ enzi za uhai wake. Mwili wamarehemu Haji Jumbe ukisitiliwa katika makaburi ya Kisutu, Bagamoyo mkoani Pwani....

READ MORE

Hizi Team Kiba, Diamond ni Sumu

Na Saleh Ally | Championi: KAMA una simu inayoweza kufungua mitandao ya kijamii, basi ukizubaa utakuwa na bahati ya kushuhudia...

READ MORE

Umeya Kinondoni: Chadema Wafungua Kesi Mahakamani Wakidai Uchaguzi Haukuwa Halali

Viongozi  wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamekimbilia mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa umeya na naibu meya wa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Oktoba 26, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Jumatano Oktoba 26, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Wito kwa Wakazi Dar Kunywa Dawa za Mabusha, Matende

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Grace Magembe akiongea na wakazi wa Buguruni kabla ya kumkaribisha mkuu wa...

READ MORE

Rais Magufuli Atajwa Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year 2016’

IKIWA ni mwaka mmoja kamili tangu kuchaguliwa kwake na kuingia madarakani kuwatumikia Watanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Washindi wa Tuzo Ligi Ya La Liga msimu wa 2015-16

Mshambuliaji, Antoine Griezmann ndiye mwanasoka anayependwa zaidi na mashabiki katika Ligi Kuu Hispania. Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez...

READ MORE

Alichokisema Lowassa Leo, Mwaka 1 Baada ya Uchaguzi wa Rais

IKIWA ni mwaka mmoja tangu Watanzania walipofika kwenye vituo vy kupigia kura na kumchagua rais wanayemtaka kwa mujibu wa katiba...

READ MORE

Massauni: Ajali Barabarani Zimepungua kwa Asilimia 10

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani mhandisi Hamad Massauni...

READ MORE

EFM Yamfikisha Kortini Paul James, Yamdai Fidia ya Tsh. Milioni 200

DAR ES SALAAM: Mtangazaji mahili wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Paul James ‘PJ’ amefikishwa katika Mahakama ya Kazi yaa...

READ MORE

“Euthanasia”: Mauaji ya Kumpunguzia Mgonjwa Maumivu, Mateso!

WIKI zilizopita, aliyekuwa mmoja wa wapiganiaji  utawala wa wengi  Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu,  wa Kanisa la Anglikana,  akiadhimisha mwaka...

READ MORE

Mwanamme Ampa Talaka Mkewe Saa 2 Baada ya Ndoa kwa Kusambaza Picha Snapchat

Mwanamme mmoja nchini Saudi Arabia ameweka historia kwa kudumu muda mfupi katika ndoa yake baada ya kumpa talaka mkewe saa...

READ MORE

Hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga Awaaga Wachezaji na Benchi la Ufundi

HATIMAYE ikiwa ni siku moja baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, Hans van...

READ MORE

Mchina Akamatwa kwa Kuuza Bendera za Taifa

Raia mmoja wa China amekuwa mtu wa kwanza kukamatwa na kutozwa kutozwa faini kwa kuuza bendera za Zimbabwe bila rukhusa...

READ MORE

Tanzia: Pigo Tena Bongo Movie, Muigizaji Haji Jumbe Afariki Dunia

Muigizaji wa tamsthilia hapa Bongo, Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa...

READ MORE

UN Yaadhimisha Miaka 71, Yaahidi Kuwezesha Vijana

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (wa tatu kulia)...

READ MORE

Wafuasi wa Donald Trump Wakamatwa Uganda

Maofisa wa polisi nchini Uganda wamewakamata vijana wawili waliokuwa wakimfanyia kampeni mgombea wa urais nchini Marekani Donald Trump katika ubalozi...

READ MORE