×

Habari

Dk Kingwangala Aongoza Matembezi Kusaidia Ocean Road

Naibu Waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia,  Wazee na Watoto  Dk. Hamisi Kigwangalla akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwenye zoezi hilo...

READ MORE

Rais JPM Amteua Jenerali Mstaafu George Waitara Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Tanapa

Rais John Magufuli amemteua Jenerali Mstaafu George Waitara (pichani juu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa...

READ MORE

Ujumbe wa Shilole Katika Birthday ya Bintiye Uko Hapa

Leo Oktoba 30, 2016 ni siku ya kuzaliwa ya mmoja wa mabinti wa mwanadada ambaye ni mwigizaji na mwanamukizi wa...

READ MORE

Tetemeko Laipiga Tena Italia

  Tetemeko lingine baya la ardhi, limegonga maeneo ya katikati mwa Italia, mahali ambapo watu 300 waliuwawa mwezi Agosti mwaka...

READ MORE

Shigongo: Uongozi Bora Huanzia Ngazi za Chini

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, akifundisha katika semina hiyo. …Akiendelea kuelezea masuala mbalimbali. Baadhi ya wanasemina...

READ MORE

Makonda Aongoza Mahafali Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Jitegemee JKT Mgulani Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya...

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Kitakachoivaa Mbao FC Leo

1. Deogratius Munishi2. Hassani Kessy3. Mwinyi Haji4. Andrew Vicent5. Vicent Bossou6. Mbuyu Twite7. Simon Msuva8. Haruna Niyonzima9. Amisi Tambwe10. Obrey...

READ MORE

Choki Apania Kuweka Rekodi Mpya Tamasha la Miaka 30 ya Uimbaji Wake

   MWIMBAJI maarufu na mkongwe kwenye muziki wa dansi, Ali Choki (pichani juu) ameeleza kuwa atafanya makamuzi ya hatari kwenye...

READ MORE

Yanga Wakanusha Manji Kujiuzulu

Uongozi wa Young Africans Sports Club umekanusha habari ambazo zimekuwa zikisambazwa zikisema Mwenyekiti wa Young Africans Sports Club amejiuzulu wadhifa...

READ MORE

Miss Kinondoni Atwaa Taji la Miss Tanzania 2016

  Diana Edward Lukumai akiwapungia mkono mashabiki mara baada ya kuvikwa taji la Miss Tanzania 2016 usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumapili Oktoba 30, 2016

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumapili Oktoba 30, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa DCI, Diwani Athuman

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation...

READ MORE

Happy Birthday JPM

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers; wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi tunakutakia kheri...

READ MORE

ACT Wazalendo Washtushwa na Tuhuma Dhidi ya Zitto, Wataka Achunguzwe Haraka!

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kimeshtushwa na tuhuma dhidi ya kiongozi wake wa chama, Zitto Kabwe kwamba ana miliki mali za...

READ MORE

Nyuma ya Pazia Diamond Kumfunika Kiba kwa ‘Yai’

NA ANDREW CARLOS, RISASI JUMAMOSI: MWISHONI mwa wiki iliyopita, gumzo kubwa kunako tasnia ya burudani Bongo ilikuwa juu ya hafla...

READ MORE

Gavana wa BOT Atangaza Serikali Kuichukua na Kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp Baada ya Kufilisika

DAR ES SALAAM: Benki Kuu ya Tanzania imetangaza rasmi kuchukua usimamizi wa Benki ya Twiga Bancorp kuanzia jana kutokana na...

READ MORE

Ufisadi NSSF: CCM Yataka Akaunti za Zitto Kabwe Zipekuliwe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuhakiki akaunti na mali za Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT) na wenzake...

READ MORE

Chemical Ft Msaga Sumu – Kama Ipo Ipo Tu (Official Video)

RAPA wa kike anayekimbiza hapa Bongo, maarufu kwa jina la Chemical, jana ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Kama...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 29, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Jumamosi Oktoba 29, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Jeshi la Nigeria Lawaachilia Watoto 876

NIGERIA: Umoja wa Mataifa umefanikisha kuachiliwa kwa watoto 876 wanaozuiliwa na wanajeshi wa Nigeria na vikosi vya usalama baada ya...

READ MORE

Jaji Lubuva Ataka Tume ya Uchaguzi Ifumuliwe

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva ameitaka serikali kubadili muundo wa...

READ MORE

Sumaye Asema Hatikisiki na Hatarudi CCM Hata Anyang’anye Mashamba Yake Yote

Siku moja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutangaza nia ya Serikali kumnyang’anya shamba...

READ MORE

DC Hapi Atembelea Wajasiriamali Wa Airtel Fursa

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akikagua bidhaa za wajasiriamali wadogo waliowezeshwa kupitia mpango wake wa Airtel Fursa. Kulia...

READ MORE

Viongozi Kamati za Bunge Wachunguzwe – Ole Sendeka

Serikali ya awamu ya tano imetakiwa kuchunguza akaunti za viongozi wa Kamati za Bunge waliokuwa wakisimamia mashirika ambayo yamebainika kuwa...

READ MORE

Choki Ana Siri ya Kudorora kwa Muziki wa Dansi, Kisa cha Kuikacha Bendi Yake na Kurudi Twanga

DAR ES SALAAM: Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa dansi hapa Bongo, Ali Choki ‘Mzee wa Farasi’ leo ameamua...

READ MORE

Global Ilipotinga Kisutu Leo

Watuhumiwa mbalimbali wa uhalifu wakishuka ngazi baada ya kusikiliza kesi zao katika vyumba vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. …Wakipanda...

READ MORE

Matokeo ya Darasa la Saba 2016 Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyatazama

NECTA: Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 8 na 9, 2016...

READ MORE

Kauli Ya Jakaya Kikwete Kwa Wanaotumia Mitandaoni Kupotosha

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameamua kujibu kile kinachoendelea kwenye...

READ MORE

Matokeo Darasa la 7: Watahiniwa 10 Waliofanya Vizuri, Shule 10 Bora na Ambazo Hazikufanya Vizuri

Ufaulu kwa watahiniwa wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2016 umepanda kwa asilimia 2.52 kutoka asilimia 67.84 mwaka jana...

READ MORE

Basi la Hood Lagongana na Lori na Kupinduka Mlima Kitonga

IRINGA: Basi la abiria ambalo ni mali ya Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana ...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Ijumaa Oktoba 28, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Ijumaa Oktoba 27, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Marekani Yaufunga Ubalozi Wake Nairobi

NAIROBI, KENYA: Nchi ya Marekani imeamua kuufunga kwa muda ubalozi wake uliyopo jijini Nairobi nchini Kenya leo Ijumaa, Oktoba 28,...

READ MORE

Sakata la Lugumi: Hatimaye Ripoti ya Mkataba Yafika kwa Spika Job Ndugai

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Projestus Rwegasira amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Bunge...

READ MORE

Mgombea Mwenza wa Trump Apata Ajali ya Ndege

Mr Pence (kati) azungumza na wazima moto LaGuardia MAREKANI: Mgombea mwenza wa Donald Trump kupitia Chama cha Republican kwenye kinyang’anyiro...

READ MORE

Sumaye Apewa Notisi ya Siku 90 Kunyang’anywa Shamba na Serikali

Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema hati ya shamba lililopo maeneo ya Bunju...

READ MORE

Leo ni Birthday ya Aunty Ezekiel

Leo Oktoba 27 ndiyo tarehe aliyozaliwa staa wa Bongo Movies Aunty Ezekiel aka Mama Cookie. Mastaa mbalimbali wa Bongo kupitia...

READ MORE

Watunguaaji Wawili wa Helikopta Pori la Akiba, Simiyu Wahukumiwa Miaka 10 Jela

SIMIYU: Mahakama ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu imewahukumu kwenda jela miaka kumi watuhumiwa wawili ambao ni miongoni mwa watuhumiwa...

READ MORE

RC Makonda Atoa Siku 14 kwa Ma-DC Kuwaondoa Machinga

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa Wakuu wa Wilaya...

READ MORE