×

Habari

Zitto Kabwe Ahojiwa Polisi, Apata Dhamana

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-WAZALENDO), Zitto Kabwe (kulia)  akitoka katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam baada ya...

READ MORE

Aliyemtukana Rais Magufuli Ahukumiwa Miaka 3 Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Wa Arusha,imemhukumu  Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini...

READ MORE

Etihad Waanzisha Safari ya Ndege Perth, Australia kwa Boeing 787-9 Dreamliner

Ndege ya uzinduzi ya Shirika la Ndege la Etihad ikipokelewa na magari ya zimamoto yaliyomwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa...

READ MORE

Nyani azima umeme Kenya

Kampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa...

READ MORE

Wanahisa wa Nmb Wapitisha Gawio la Shilingi Bilioni 52

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker akizungumza na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu...

READ MORE

Dodoma: Bajeti ya JPM 2016/17 Hadharani Leo

TANZANIA kama zilivyo nchi nyingine za Afrika Mashariki, leo inawasilisha bungeni mjini Dodoma Bajeti ya Serikali ili Bunge liijadili na...

READ MORE

Bunge Lakanusha Uvumi Kuhusu Afya ya Spika wa Job Ndugai

Ofisi ya Bunge imesema Spika wa Bunge, Job Ndugai anatarajiwa kurejea nchini muda wowote akitokea India alipokuwa akifanya uchunguzi wa...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitwa Polisi Kwa Mahojiano

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe jana tarehe 7/6/2016  aliitwa Polisi  na Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya...

READ MORE

Wapinzani Kuwasilisha Vipande vya Hotuba Kivuli ya Bajeti

Wakati hatua ya upinzani kumsusia Naibu Spika, Dk Tulia Ackson ikiingia siku ya nane, Kambi ya upinzani imesema leo itawasilisha...

READ MORE

Marekani yamwaga mbwa Airport Dar

Gladness Mallya na Ojuku Abraham, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Katika kudhibiti biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini, ...

READ MORE

Ili Uichukue Nyumba… Sikia Siri Hii Usiyoijua

  Na Mwandishi Wetu, Risasi Mchanganyiko NAAMINI kila mmoja anaufahamu ule usemi maarufu wa bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi....

READ MORE

Sababu 7 Mauaji ya watu 8 Tanga

       Na Dege Masoli, UWAZI TANGA: Mauaji ya watu nane katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima, nje kidogo ya...

READ MORE

Airtel na VETA Kutoa Mafunzo ya Ustadi kwa Njia ya Simu

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu ya Ufundi...

READ MORE

NEC Iliokoa Bilioni 12 Uchaguzi wa Oktoba 25

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw.Kailima Ramadhani Kobwey...

READ MORE

Mwanakijiji Mlevi Kutozwa Faini ya Sh. 50,000

Serikali ya Kijiji cha Kikukwe, Kata ya Kanyigo wilayani Missenyi, imepongezwa kwa ubunifu wake wa kuunda Kamati ya Maadili chini...

READ MORE

Rais Mseveni Amteua Mkewe Kuwa Waziri

Rais Yoweri Mseveni na Mkewe, Janeth Mseveni. Kampala, Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni, jana alitangaza Baraza lake jipya la...

READ MORE

Mikopo ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Yafutwa

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha St Joseph (SJUIT) Kampasi ya Arusha (kilichofutiwa usajili), waliokuwa chini ya programu ya shahada ya...

READ MORE

Ugomvi wa Wazazi… Baba Amvunja Mguu Bintiye

Mtoto  Zainabu Shaban akiwa na magongo. Na Gladness Mallya, UWAZI DAR ES SALAAM: Ni shida! Mtoto  Zainabu Shaban, 16, (pichani)...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 1.032 Mwezi Mei

Ikiwa imewekewa lengo la kukusanya Sh12.054 kwa kipindi cha Julai 2015 hadi Mei 2016, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa...

READ MORE

Airtel na mhealth yawa msaada mkubwa kwa akinamama

Mratibu wa Kitaifa wa Uzazi Salama, Dr Koheleth Winani ( kulia) na Mkurugenzi Msaidizi Mkazi wa Center for Disease Control...

READ MORE

Naibu Waziri Mavunde: Nilivyomkamata Mmachinga wa Kichina

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde mwishoni mwa wiki iliyopita...

READ MORE

Mambo Matatu Yanayomkera Shehe Mkuu Mwezi Mtukufu

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salim. Na Mwandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Mwezi Mtukufu...

READ MORE

Vigogo Wizara ya Kilimo Wadaiwa Kutafuna Mamilioni!

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba Issa Mnally na Richard Bukos, UWAZI DAR ES SALAAM: Kimbembe Wizara...

READ MORE

Migogoro vyuo vikuu ishughulikiwe mapema isingoje vurugu

Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai leo na kutuwezesha kuwasiliana kupitia kona hii. Nianze kwa kusema kwamba wiki...

READ MORE

Vyandarua vya msaada vyazua tafrani Korogwe!

Na Mwandishi Wetu, Korogwe Wananchi wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wamezua tafrani kufuatia kulalamikia mchakato wa ugawaji wa vyandarua vya...

READ MORE

Utaratibu wa pf-3 utazamwe upya

NIANZE kwa kutoa pole kwa wananchi wa Kibatini mkoani Tanga kwa kupatwa na msiba mzito, baada ya wapendwa wao nane...

READ MORE

Shinda Nyumba… Nunua kuponi leo, upate nyumba kesho

KUNA mtu mmoja aliwahi kusema, ukiona miti katika mitaa inayokupatia kivuli, usidhani ilijiotea yenyewe, isipokuwa mtu mmoja, miaka mingi nyuma,...

READ MORE

Ramadhani Tukufu Iwe ya Huruma kwa Watanzania

Kiongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Hawaza Imam Swadiq ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Dhehebu la Waislamu wa Shia...

READ MORE

Temeke Kutoa Elimu Bure ya Ufugaji Samaki

Ofisa Uvuvi wa Manispaa ya Temeke, Ernest Kamata (kushoto) akiwa na Ofisa Habari wa Manispaa hiyo,  Lynn Chawala. Viongozi hao...

READ MORE

Polisi Mwanza Wapambana na Majambazi kwa Saa 16, Waua watatu

Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi,wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi mkoani Mwanza,alfajiri ya kuamkia jana jumapili katika mapango...

READ MORE

Bunge Kuzungumzia Sakata la Naibu Spika

KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani...

READ MORE

Muhammad Ali Mwisho wa Enzi

MUHAMMAD Ali, bingwa wa dunia wa uzito wa juu mara tatu, amefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa na umri...

READ MORE

Shehe mkuu atoa neno

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa ametoa neno...

READ MORE

Rais JPM Ajumuika na Waumini kwa Mzee wa Upako Dar

Rais Dk. John Magufuli. Rais John Magufuli, leo amejumuika na waumini wa kanisa linaloongozwa na Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama...

READ MORE

Majambazi 3 Wauawa Katika Majibizano ya Risasi na Polisi Mwanza

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 05.06.2016 KWAMBA MNAMO TAREHE 03.05.2016 SIKU...

READ MORE

JPM Akutana na Kiongozi wa Kikomunisti wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi  wa Chama cha Kikomunisti cha China...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu...

READ MORE

Denti wa darasa la sita ajinyonga

Stori: Stephano Mango, Risasi Jumamosi RUVUMA: Simanzi! Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mashujaa iliyopo Mahenge katika...

READ MORE

GEPF Watoa Msaada kwa Kikundi Cha Tanzanite Disabled Arts Group Dar

  Mwenyekiti wa Tanzanite Disabled Arts group Bw. Mohammed Chasamba akiwaeleza shughuli za kikundi hicho balozi wa GEPF Bi. Rose...

READ MORE