×

Habari

Wakili Hashim Rungwe… Aishauri Serikali Mambo Mazito-2

WIKI iliyopita Wakili Hashim Spunda Rungwe alishauri mambo mengi ambayo anaona yanafaa serikali iyafanye ili kupiga hatua mbele za kimaendeleo...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Kupandishwa Kortini

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa, Dadi Faki Dadi Na Mwandishi Wetu, UWAZI ZANZIBAR: Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini...

READ MORE

Mauaji haya, serikali sasa itoe tamko

Mwezi huu wa tano tayari kuna matukio zaidi ya matano ya mauaji ya kikatili ya watu kuchinjwa au kukatwakatwa kwa...

READ MORE

Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama...

READ MORE

Majonzi Tupu Kuangwa Dada wa Bilionea Msuya

Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Anathe Msuya Dada wa marehemu wakiaga mwili wa ndugu yao. M toto wa marehemu Anathe,...

READ MORE

Rais JPM Amteua Makinda Kuwa Mwenyekiti Bodi ya NHIF

Mhe. Anne Semamba Makinda. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Sakata la Wanafunzi UDOM… Wapinzani Wasusia Tena Bunge!

DODOMA: Wabunge wa vyama vya upinzani wamesusia tena kikao cha bunge na kutoka nje ya ukumbi wa bunge jioni hii...

READ MORE

Airtel Yatoa Msaada wa Kompyuta 30 kwa Chuo Cha Taifa cha Utalii

Meneja wa huduma za jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (Kulia) akizungumza na vyombo vya habari wakati wa hafla ya makabidhiano...

READ MORE

Ajali: Lori la Dawasco Laparamia Kituo cha Mabasi Dar

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na DAWASCO likiwa limeparamia kituo cha mabasi baada ya gari hilo...

READ MORE

Wilaya ya Mpwapwa Kufanya Harambee ya Kupata Madawati Dar

 Mkuu wa Wilaya  ya Mpwawa iliyopo mkoani Dodoma, Mohamed Utaly (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...

READ MORE

Mwanahabari Makongoro Oging’ Azikwa Tarime

Mke wa Makongoro, Naza Oging’ akimuaga mumewe kwa simanzi nzito. Mama mzazi wa marehemu aitwaye Magreth Oging’ akimuaga mwanaye kwa...

READ MORE

Watanzania Waifagilia Intaneti ya 4G ya Vodacom

MAPINDUZI katika teknolojia yaliyofanywa na Kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kuanza kutoa huduma ya intaneti yenye kasi kubwa ya 4G...

READ MORE

TANCDA Yapima Afya za Wabunge Dodoma

Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge...

READ MORE

Sirro Atinga Mtaani Kutoa Elimu ya Ulinzi na Usalama

   Kamishna wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na wanachi wa maeneo ya Manzese, wakati...

READ MORE

Symbion Kuiburuza Tanesco Kortini

Licha ya Rais John Magufuli kuisisitiza TANESCO kuepukana na mikataba ya “ajabu ajabu” na kulitia Taifa na shirika hasara, bado...

READ MORE

Uvuvi Haramu… Bwawa la Nyumba ya Mungu Lafungwa

Wavuvi katika Bwawa la Numba ya Mungu. Mwanga: Serikali imesitisha kwa mwaka mmoja shughuli za uvuvi katika Bwawa la Nyumba...

READ MORE

Harambee ya Mwanafunzi Aliyepoteza Uono Akiwa Chuo Kufanyika leo

Bernadetha Msigwa. Dar es Salaam: Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Mzumbe leo itafanya harambee chuoni hapo ya kumchangia mwanafunzi Bernadetha...

READ MORE

Mwili wa Makongoro Wawasili Kijijini Marasibora Tarime, Kuzikwa leo

Mama wa marehemu, Makongoro Oging’, Bi. Magreth Oging’ akilia kwa uchungu mara baada ya mwili wa mwanaye kuwasili nyumbani.Jeneza lenye...

READ MORE

Kumbe House girl Alitoweka Mchana, Dada’ke Msuya Akauawa Usiku

Marehemu Aneth Msuya. Siku moja baada ya kifo cha dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth imebainika kuwa msaidizi wa ndani...

READ MORE

Mchakato wa Ada Elekezi Kwa Shule Binafsi Wafutwa

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako SERIKALI imefuta mchakato wa kutangaza ada elekezi tangu katikati ya...

READ MORE

Pichaz: Noah Yapata Ajali na Kuuwa Watu Rombo

Gari hilo likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali. WATU wapatao sita wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa Wakiiba Mamilioni Kwenye ATM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukamatwa wakiwa wanatoa fedha benki ya NMB tawi...

READ MORE

Barabara za kuingia Stendi za Simu 2000, Makumbusho zalalamikiwa

BARABARA za kuingia stendi za mabasi ya daladala Simu 2000 na Makumbusho jijini Dar es Salaam zinalalamikiwa kwa kuwa na...

READ MORE

Aliyesota Muhimbili Kisa Laki 2… Achangiwa Sh. 800,000

Na Imelda Mtema, UWAZI DAR ES SALAAM: Katika toleo lililopita la gazeti hili liliandika habari ya kijana Noel Lazaro (26),...

READ MORE

Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje!

        Evans William aliyeshinda pikipiki. Shinda Nyumba Droo Ndogo… Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje! MSHINDI wa zawadi ya...

READ MORE

Lowassa Akutana na Balozi wa Japani Hapa Nchini

May 27 2016, aliyekuwa mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na...

READ MORE

Basata Yazindua Matukio ya Siku ya Msanii 2016

Mshereheshaji katika hafla hiyo, Chris Mauki.  Mgeni rasmi ambaye ni Katibu wa Wizara ya  Habari,  Utamadunim  Sanaa na Michezo Prof....

READ MORE

Mwanza: Kijana Ajirusha Kutoka Kwenye Mnara wa Simu

Kijana Mmoja (picha) Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya kujirusha kutoka katikati ya mnara wa simu. Tukio hilo limetokea hii...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua Mradi wa Mabasi ya DART Leo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi Amina Abdallah wa darasa la sita...

READ MORE

Shirika la Ndege la Serbia Lapiga Hatua Kuboresha Huduma Zake

Ndege kubwa ya kwanza ya shirika la ndege la Serbia, Airbus A330, ikiwa katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla....

READ MORE

Inasikitisha: Dada wa Bilionea Msuya Auawa Kinyama Dar

Marehemu Aneth Msuya Mtumishi wa Wizara ya Fedha, Aneth Msuya (30) ambaye ni mdogo wa Bilionea Erasto Msuya aliyeuawa kwa...

READ MORE

Wakandarasi 4572 Wafutiwa Leseni Zao

Bodi ya Usajili wa Makandarasi imefuta usajili wa jumla ya makandarasi 4572 kwa kushindwa kutimiza matakwa ya Sheria ya Usajili...

READ MORE

JPM Afungua ZMkutano wa Bodi ya Wakandarasi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakandarasi kote nchini kufanya kazi kwa kutanguliza maslai...

READ MORE

Makongoro Oging’ Aagwa Dar, Kuzikwa Tarime J’mosi

Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Makongoro Oging’ kuelekea eneo maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Siri 5 Mauaji Msikitini!

Na Waandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Usiku wa kuamkia Mei 19, mwaka huu ni wa kukumbukwa kwa wakazi wa Ibanda Relini...

READ MORE

Wanaogoma kuuza ‘kinga’ kukiona!

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Abdul Shaweji STEPHANO MANGO, Amani Ruvuma: Wafanya-biashara wa Famasi na bidhaa za kawaida...

READ MORE

Makongoro Oging’ kuagwa leo Dar

Mwandishi Makongoro Oging enzi za uhai wake. ELVAN STAMBULI, Amani MWILI wa mwandishi mahiri wa habari za uchunguzi, Makongoro Oging...

READ MORE

Waziri Ndalichako Avunja Bodi ya TCU, Awasimamisha Maofisa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako...

READ MORE