×

Habari

Airtel Africa Yasaini Ushirikiano Wa Kimkakati Wa Muda Mrefu Na Xtelify, Kitengo Cha Kidijitali Cha Airtel India

Uwezo wa kidijitali wa Xtelify kuharakisha mabadiliko ya kidijitali ya Airtel Africa Afrika, Agosti 04, 2025: Xtelify, kampuni tanzu inayomilikiwa...

READ MORE

Nafasi ya Kuwa Bingwa Ipo Meridianbet Leo

Kuwa bingwa ni rahisi sana ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Arsenal, Villa, Fenerbahce na wengine kibao wapo kibao...

READ MORE

Wapalestina 1,500 Wauawa Huko Ghaza Tangu Mei, Un Yalaani “Mtego Wa Kifo” Wa Misaada

Umoja wa Mataifa (UN) umesema Wapalestina 1,500 wameuawa huko Ghaza tangu Mei hadi sasa wakati wanahangaika kutafuta msaada wa kibinadamu....

READ MORE

Shindano Jipya la Kasino, Ingia Ulimwenguni Wa Zombie Apocalypse

Meridianbet, kwa ushirikiano na Expanse Studios, wamezindua promosheni mpya ya kuvutia iitwayo Zombie Apocalypse, inayowaalika wachezaji kuingia katika ulimwengu wa...

READ MORE

Prof. Kyaharara Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano Wa UN Wa Nchi Zisizo Na Bandari

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Nchi Zisizo na Mlango wa Bahari...

READ MORE

Airtel Money Na Benki Ya I&M Wazindua Mpango Wa Elimu Ya Kifedha  Kuwawezesha Wajasiriamali Wanawake

Airtel Money kwa kushirikiana na Benki ya I&M wamezindua rasmi mpango unaolenga wanawake wajasiriamali ukiwa na malengo ya kuwawezesha wanawake...

READ MORE

Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mpina Aonekana ACT Wazalendo

Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Luhaga Mpina ameonekana kwenye vikao na...

READ MORE

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Maadhimisho ya Miaka 20 ya Itifaki ya SADC Dhidi ya Rushwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya...

READ MORE

Jamii Yakumbushwa Kutowatenga Wenye Kifafa, “Kifafa Sio Laana Wala Mkosi”

Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 — TAASISI ya Tanzania Epilepsy Organisation (TEO) imeitaka jamii kuwapa heshima, upendo, na haki...

READ MORE

Enock Koola Historia Imejirudia Jimbo la Vunjo!

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999...

READ MORE

Orodha ya Wabunge Walioshinda kura za maoni CCM, Kimei Aangushwa Vunjo – Video

 Matokeo haya ni ya kura za maoni ndani ya CCM (internal primaries), si uteuzi rasmi wa chama — uteuzi...

READ MORE

Shigongo Aongoza Kura za Maoni Buchosa, Tizeba Aambulia Kata Chache

Katika mchuano mkali wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Buchosa, wimbi jipya la siasa...

READ MORE

Kada Chipukizi Neto Kapalata Amshinda Kigwangalla Kura za Maoni Nzega Vijijini

Katika tukio la kisiasa lililoibua mjadala mkubwa, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata, ameibuka mshindi katika...

READ MORE

Bulaya na Matiko Waangushwa Mara Wabunge Wanaotetea Nafasi Zawaacha Mbali

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester...

READ MORE

Dogo Janja Aongoza Kura za Maoni CCM Ngarenaro – Awashinda Wakongwe

Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja, aibuka kidedea kwenye kura za maoni CCM Kata ya Ngarenaro, akimshinda aliyekuwa diwani Isaya Doita...

READ MORE

Makonda Aibuka Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Arusha Mjini

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Festo Sanga Aibuka Kidedea Kura za Maoni Ubunge Jimbo la Makete

Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Makete, Festo Richard Sanga, ameongoza katika kura za maoni ndani ya Chama Cha...

READ MORE

Mahakama Yatoa Ulinzi Maalum kwa Mashahidi Kesi ya Lissu

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Serikali la kuwalinda mashahidi wake ambao ni raia wa kawaida...

READ MORE

Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!

Mpaka sasa, Daniel Chongolo anaonekana kuongoza kwa kishindo kikubwa katika kata 10 kati ya 12 zilizohesabiwa, akimpita mbali Deo Sanga...

READ MORE

Naibu Waziri Apata Msukosuko, Gari Yake Yachomwa

Hali ya kisiasa si shwari Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya kutokea vurugu na mashambulizi kabla ya kufanyika kuwa...

READ MORE

Christmas Hii Yaja na Ushindi Meridianbet

Mwezi wa 12 wa mwaka huu unakuja kijanja kwani Meridianbet inatarajia kukupatia mkwanja wa maana endapo utaweza usuka jamvi lako...

READ MORE

Rais Dkt.Samia Ateua Viongozi Mbalimbali, Avunja Bodi ya NSSF

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kumpangia kituo cha...

READ MORE

Mkulima kutoka Manyara Azindua Mifumo ya Kisasa ya Kilimo Dodoma

Mkulima wa Mazao ya Bustani kutoka mkoani Manyara, Bw. Shaban Manota atakuwa Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa mifumo miwili bunifu...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ufunguzi Michuano Ya Chan 2024

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano...

READ MORE

Kailima Awataka Wanahabari Kuhakikisha Usawa kwa Vyama Wakati wa Kampeni

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutumia taaluma yao kuhamasisha na kuelimisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo tarehe 29...

READ MORE

TRA Yatoa Msamaha wa Kodi kwa Magari Yasiyokidhi Matakwa ya Forodha

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa kodi kwa wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa ya forodha kwa kipindi cha...

READ MORE

Magereza Yakanusha Kumsukuma Lissu, Yatoa Maelezo Rasmi

Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu...

READ MORE

Sekta Binafsi Yahimizwa Kuchangamkia  Fursa Za Kongani Ya Viwanda Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Mkoa wa Pwani na Watanzania...

READ MORE

Rais Ruto Amkaribisha Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta Ikulu ya Nairobi

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto, amemkaribisha Rais mstaafu wa taifa hilo, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, katika...

READ MORE

Ng’wasi, Jesca Magufuli Wapata Nafasi ya Uwawakilishi wa Vijana Bungeni – Video

Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo...

READ MORE

Majambazi Watatu Wauawa na Polisi Kibondo, Kigoma

Watu watatu wanaosadikika kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi kati yao na jeshi la polisi, baada ya kunaswa...

READ MORE

Shule ya Sekondari ya Makongo Yaweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Bohari

Dar es Salaam, Agosti 1, 2025 — Shule ya Sekondari ya Makongo imeendelea kudhihirisha kasi yake ya maendeleo baada ya...

READ MORE

CMSA Yajikita Kutoa Elimu Uwekezaji Soko la Mitaji

Meneja wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Charles Shirima,amesema uwekezaji katika...

READ MORE

Maria Sebastian wa Kawe Mwanamke Mwenye Elimu ya Juu Anayejitolea CCM

Maria Sebastian mkazi wa Jimbo la Kawe Jijini Dar na Kada mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi ni mwanamke mwenye elimu...

READ MORE

Ziara Ya Balozi Wa Uingereza Moshi Yaonesha SBL Inavyochangia Katika Uchumi Wa Tanzania

Kilimanjaro, Tanzania, 1 Agosti 2025: Kufuatia ziara yake yenye mafanikio jijini Dar es Salaam mwezi Juni mwaka huu, Mhe. Marianne...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Mtwara Afunguka Kuhusu Tukio la Ebitoke

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limethibitisha kuwa limemkamata msanii wa vichekesho, Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu kama Ebitoke, akiwa katika...

READ MORE

Rais Samia Afungua Kituo Cha Biashara Na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 1, 2025, amefungua rasmi Kituo cha Biashara...

READ MORE

Mystery Multiplier Drop, Fursa Mpya ya Ushindi Na Meridianbet Kasino

Kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imeleta jambo jipya ambalo linazua msisimko mkubwa kwa wachezaji wa kasino,...

READ MORE

CCM Yaagiza Kura Mpya za Maoni Kwa Wagombea wa Udiwani Nchi Nzima

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza kurejeshwa kwa wagombea wote waliokuwa wamepitishwa na Kamati za Siasa za Mikoa pamoja na waliokuwa...

READ MORE

Paul Makonda: Nimeacha Kazi Ili Nipate Kazi ya Ubunge Arusha Mjini – Video

Watia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Arusha Mjini Arusha, Julai 31, 2025 wameendelea kujinadi...

READ MORE