×

Habari

Kagame Kujenga Uwanja Mpya wa Ndege

Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema serikali yake inajiandaa kujenga uwanja mpya wa kisasa wa ndege utakaogharimu dola za Kimarekani...

READ MORE

Museveni Rasmi Apinga Ushoga

PAMOJA na kulaumiwa kwa mambo mabaya mengi, hasa ya kuminya demokrasia nchini Uganda, Rais Yoweri Kaguta Museveni ameweza kufanya kilichowashinda...

READ MORE

Askofu England Ajitangaza Kuwa Shoga

Askofu Nicholas Chamberlain. Askofu mmoja wa Kanisa la Kianglikana nchini Uingereza amekuwa wa kwanza kutangaza hadharani kuwa anashiriki mapenzi ya...

READ MORE

Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016

Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward akiwa katika pozi baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika Hoteli ya Denfrances iliyopo...

READ MORE

Mbowe: Sidaiwi na NHC, Namiliki Jengo kwa Asilimia 75 Kuanzia Mwaka 1997

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe amekana kudaiwa kiasi chochote na Shirika la Nyumba la...

READ MORE

Super Girls Bingwa Airtel Rising Stars Lindi

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nachingwea Hadja Sekibo akikagua timu wakati wa fainali za michuano ya Airtel Rising Stars mkoa...

READ MORE

Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi

STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford mchana huu amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa...

READ MORE

Daktari Apatikana na Video ya Watu Wakishiriki Ngono na Nyoka

UINGEREZA: Daktari mmoja nchini Uingereza amepatikana na hatia ya kuwa na video za ngono, ikiwemo moja ya mwanamume akishiriki ngono...

READ MORE

Atobolewa Macho kwa Imani za Kishirikina

Kijana mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa jimbo la kaskazin magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake...

READ MORE

Rais Magufuli Azuru Kaburi la Sheikh Abeid Amani Karume

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Septemba, 2016 ameendelea na ziara yake...

READ MORE

Mugabe: ”Nilikufa kisha nikafufuka”

Zimbabwe: Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amepua taarifa za hivi karibu za uvumi juu ya afya yake, kwa kutoa mzaha...

READ MORE

Majambazi Yavamia Chuo Tanga.. Mlinzi Auawa, Mabweni Yachomwa Moto

TANGA: Majambazi zaidi ya 15 yamevamia Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (Sekomu) kilichopo Kata ya Magamba, Lushoto mkoani...

READ MORE

Matapeli watinga Yanga, waharibu mifumo

Kikosi cha timu ya Yanga. Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam KLABU ya Yanga imepata pigo baada ya hivi karibuni watu waliotajwa...

READ MORE

Lile Daraja la Kioo China Limesitishwa Kutumika Baada ya Wiki 2

Zhangjiajie, China: Daraja la kioo ambalo limeelezwa kuwa liko juu zaidi liliziduliwa hivi karibuni nchini China ambapo lina urefu wa...

READ MORE

Kisa ndoa… Mwana FA hafanyi mambo haya

STORI: Boniphace Ngumije M APEMA mwezi Juni, mkongwe kwenye gemu la Muziki Bongo, ambaye pia ni staa wa Wimbo wa...

READ MORE

Afikishwa Mahakamani kwa Kumuita Rais Magufuli ni Kilaza

ELIZABETH Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma...

READ MORE

Aliyoyanena Rais Magufuli Leo Akiwa Pemba

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika Uwanja...

READ MORE

Rais Magufuli Awasili Pemba kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Mbili

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Asubuhi ya leo tarehe 02 Septemba, 2016 amewasili...

READ MORE

Mr. Championi anadi muonekano mpya wa Ijumaa Kisemvule

Wasoamaji mbalimbali wa eneo la Kisemvule Mkuranga Mkoa wa Pwani wakizingira gari la matangazo kwa ajili ya kununua gazeti la...

READ MORE

Uturuki Yatangaza Kifo cha Rais wa Uzbekistan

Serikali ya Uturuki imetangaza kuwa Rais wa Uzbekistan, Islam Karimov amefariki dunia, licha ya kutokuwa na habari rasmi kutoka kwa...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kugawa Mpunga kwa Wateja Wake

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ( kushoto) akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 5/= Hassan  Mfaume (kulia) alizojishindia kupitia promosheni...

READ MORE

Notice to Customers From LAPF

READ MORE

CUF Waondolewa Pemba Kupisha Mkutano wa Rais Magufuli

Jeshi la Polisi Wilaya ya Chakechake, Pemba limezuia kufanyika mkutano na vyombo vya habari wa Chama Cha Wananchi (CUF) uliokuwa...

READ MORE

Satelaiti ya Facebook ya Masafa ya Kasi Afrika Yaharibiwa

Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi...

READ MORE

RC Makonda: Oktoba Mosi 2016 ni Siku ya Kupanda Miti

Siku moja baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuahirisha kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kupitia oparesheni...

READ MORE

Melania Trump Alishtaki Gazeti la Daily Mail Kuhusu Tuhuma za Ukahaba

Melania Trump amelishtaki gazeti la Daily Mail la Uingereza pamoja na mwanablogu wa Marekani akitaka alipwe $150m (£114m) kuhusiana na...

READ MORE

Magazeti ya Leo Septemba 2, 2016

               

READ MORE

Rais Magufuli Awapongeza JWTZ Kwa Kutimiza Miaka 52

Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi...

READ MORE

JPM Kubadili Noti Kuwakomoa Walioficha Mabilioni Majumbani

Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa...

READ MORE

Awamu ya Pili Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi 2016

Ofisi ya Rais -TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa...

READ MORE

UVCCM Yaivaa Chadema Kutofanya Maandamano ya UKUTA

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umewavaa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile walichodai...

READ MORE

Hali Ilivyokuwa Wakati wa Kupatwa kwa Jua Rujewa

Jua lilivyokuwa likionekana kupitia miwani maalum ya kuchuja mionzi ya jua mjini Rujewa wilayani Mbarali mkoani Mbeya leo. Raia wa...

READ MORE

Baada ya Kutoka Nigeria, Mark Zuckerberg Aibukia Kenya

MWANZILISHI na CEO wa Facebook, Mark Zuckerberg amewasili nchini Kenya leo kwa ziara ya kufundisha elimu ya biashara na miundombinu...

READ MORE

Acer Yazindua Laptop Yenye Kikoo Kilichopinda

Kampuni ya Vifaa vya kielektroniki ya Acer imezindua laptop ya kwanza yenye kioo kilichojipinda. Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha...

READ MORE

Malima: Nataka Kuleta Mapinduzi Bongo Muvi

Director Malima. Na Leonard Msigwa/GPL DAR ES SAALAM: Soko la filamu nchini “Bongo Muvi” limepata muongoza filamu “director” mpya na...

READ MORE

Gazeti la Amani Lawapagawisha Watu Dar

     Mohamed Mrisho mkazi wa Vikindu akisoma kwa makini gazeti la Amani. Omari mkazi wa Vikindu akifuatilia kilichoandikwa kwenye gazeti...

READ MORE

Mwanzilishi wa Facebook Alivyokutana na Akina Yemi Alade Nigeria

Lagos, Nigeria MWANZILISHI na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg juzi Jumanne alianza ziara yake ya siku...

READ MORE

Taarifa kwa Umma Kutoka LAPF

READ MORE