×

Habari

Watano wauawa kwa risasi Marekani

TAKRIBANI watu watano wameuawa wakati wa ufyatuaji wa risasi uliotokea karibu na mji wa Pittsburg uliopo kwenye Jimbo la Pennsylvania...

READ MORE

Vyeti vya Form Six Vyenye GPA Havitabadilishwa Kuwa na Divisheni

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako. Serikali imesema haina mpango wa kubadili vyeti vya...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Amjulia hali Maalim Seif – Dar

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala bora Mheshimiwa Dkt....

READ MORE

Rais wa Vietinam Ahutubia Mkutano wa Baiashara na Uwekezaji‏

Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa mkutano wa biashara na...

READ MORE

NMB Mdhamini Mkuu wa Mkutano Mkuu wa ALAT taifa

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo akiongea na waandishi wa habari (hawako kwenye picha)...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 1.04 Februari

Katika Kipindi cha miezi nane  kuanzia  Julai 2015 hadi Februari mwaka huu, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imekusanya jumla ya...

READ MORE

Raisi Magufuli Amtembelea Maalim Seif Kumjuilia Hali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

READ MORE

Rais wa Vietnam Awasili Nchini

  Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (kushoto) pamoja na mkewe Bi. Mai Thi Hanh wakiwasili viwanja vya Ikulu...

READ MORE

Shughuli ya Maulid ya Kumsifu Mtume Muhammad (S.A.W)

Karibuni katika Maulid ya Mtume Muhammad (S.W.A) tuujaze uwanja.Madrasat Rahman Segerea Mwisho, Dar es Salaam HUGHULI YA MAULID YA KUMSIFU...

READ MORE

Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika Mashariki‏

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega baada ya kuhutubia Mkutano...

READ MORE

UDSM, SUA, MUHAS vinara orodha ya vyuo vikuu bora Bongo

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeendelea kushika nafasi ya kwanza katika orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania. Katika...

READ MORE

Mgodi Wa Bulyanhulu Waalika Wanawake Kujionea Uchimbaji wa Dhahabu

Mfanyakazi wa mgodi wa kuchimba dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, akiwa na baadhi ya akina mama sehemu...

READ MORE

Picha: Rais Akiteta na Makamu na Waziri Mkuu‏

Rais John Magufuli akiteta na Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kumwapisha katibu...

READ MORE

Wanne wafa katika ajali ya Tabata-Matumbi, Dar

Orodha ya majeruhi katika ajali iliyotokea leo asubuhi eneo la Tabata-Matumbi, Dar likihusisha magari matatu; daladala, lori la ng’ombe na lori...

READ MORE

Jokate Atoa Msaada Kwa Kinamama, Hospitali ya Palestina

Jokate akisaini kitabu cha wageni hospitalini hapo. Akitoa zawadi kwa mama aliyejifungua watoto mapacha. Jokate (kushoto)akiwa amempakata mtoto mchanga. Jokate...

READ MORE

Maalim Seif Aweka Bayana Kuhusu Hali ya Afya Yake

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya...

READ MORE

ILO: Wanawake bado wanahangaika kazini

UTAFITI wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) umeonesha hakuna hatua kubwa zilizopigwa katika kupunguza pengo kati ya wanawake na wanaume...

READ MORE

NMB Yatoa Mafunzo Ya Kijasiriamali Kwa Wafanyabiashara Nchini

Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo wa NMB – Abdulmajid Nsekela akiongea na wafanyabiashara kwenye hafla ya wajasiliamali ambao ni...

READ MORE

Katibu Mkuu Kiongozi Akaribishwa Rasmi Ikulu

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar...

READ MORE

Efm Yawakutanisha Wanawake Wajasiriamali

Mgeni rasmi Devotha Likokola akiongea na wanawake wa vikundi mbalimbali kuwapa (hawapo pichani). Mmoja wa wajasiriamali Ester Dalali akitoa ushuhuda...

READ MORE

Sakata la Makamba na Muitaliano lachukua sura mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba. Sakata la Waziri wa Nchi Ofisi ya...

READ MORE

Rais Magufuli amuapisha Katibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu...

READ MORE

Ziara yaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa – Itilima‏

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Maabara katika shule ya Sekondari ya Budalabugija wilayani Itilima akiwa katika ziara ya...

READ MORE

Airtel Fursa yawezesha vijana kwa milioni 15 Manyara

Afisa Uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo kwa Kijana Frank Rowland ( katikati) kabla...

READ MORE

Ofisi Tano za CUF Zachomwa Moto Zanzibar

HALI ya kisiasa visiwani Zanzibar, inazidi kuwa tete huku siasa za visasi, chuki na uhasama zikionekana kurejea kwa kasi. Hali...

READ MORE

Mgunduzi wa e-mail, Ray Tomlinson afariki dunia

Ray Tomlinson enzi za uhai wake. RAY Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe kwa Kiingereza...

READ MORE

Kisa Vicoba… Mwanamke akombwa kila kitu

Morogoro: Hapana chezea Vicoba! Mwanamke Hellena Haule ‘Mama Wawili’ ambaye ni fundi wa nguo, kwa sasa analala chini baada ya...

READ MORE

Walimu 8 Mbaroni Mwanza kwa Kujihusisha na Mapenzi na Wanafunzi

Walimu hao wakipandishwa kwenye gari la polisi ili kupelekwa kituoni. WALIMU wanane wa Shule ya Sekondari Mihama, Kata ya Kitangili,...

READ MORE

Mwamunyange Aongoza Hafla ya Kuwaaga MajeneraliI 16 wa JWTZ

Brigedia Jenerali mstaafu, Msangi (kulia mbele), akikagua gwaride maalumu waliloandaliwa maofisa hao wastafu wakati wakiagwa rasmi baada ya kumaliza utumishi...

READ MORE

TRA Yamdai Profesa Tibaijuka Sh. Mil 500 za Escrow, apinga

Hatima ya kesi ya Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kupinga kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya...

READ MORE

Benki Kuu ya Tanzania yawaka moto!

Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Najuwa wajuwa, Lakini mimi nakujuza zaidi ASUBUHI ya Julai 5, 1984, wakazi wa...

READ MORE

Eric Shigongo Alipopeleka Misaada kwa Waathirika wa Mvua, Ruangwa

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa (kushoto) akimkaribisha Eric Shigongo kuzungumza na Wanakijiji wa Mtondo wilayani...

READ MORE

Waziri Mkuu Alipohutubia Mkutano wa Hadhara Kijiji cha Lamadi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo...

READ MORE

Kassim Majaliwa Alivyowasili Busega, Simiyu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua  ujenzi wa wodi ya Wazazi   katika kijiji cha Nyashimo  wilaya ya...

READ MORE

Serikali yatoa mwongozo wa matumizi sahihi ya Tehema

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Huduma za Teknolojia, Benedict Ndomba (kulia) akisoma taarifa mbele ya wanahabari (hawapo pichani), kushoto ni Ofisa...

READ MORE

Rais JPM na Kenyatta waweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo aweka jiwe la msingi la Ujenzi wa...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Mkutano wa 17 wa EAC Jijini Arusha

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa...

READ MORE