×

Habari

Mwenge wa Uhuru wachoma madawa ya kulevya

Stephano Mango, Amani RUVUMA: Vita imepamba moto! Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2016, George Mbijima akiwa na...

READ MORE

Tundu Lissu Aswekwa Rumande, Akosa Dhamana

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) jana alijisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhojiwa...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi 3 Yaliyojificha Kwenye Mapango ya Amboni

POLISI mkoani Tanga imewaua watu watatu katika mapigano ya risasi wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya watu jijini humo wakiwamo watu...

READ MORE

DK Kijo Bisimba aifungukia adhabu ya kifo

Mkurugenzi Mtendai wa Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), Dk Hellen Kijo Bisimba Elvan Stambuli, Amani Dar es Salaam:...

READ MORE

Rais ‘Aruhusu’ Watu Kwenda Kazini Uchi

Mkazi wa Belarusia akiwa ofisini. Na Leonard Msigwa BAADHI ya wananchi wa Belarusia wamekuwa wakienda makazini wakiwa uchi, na baadhi...

READ MORE

Shambulio Laua Watu 36 Uturuki

WATU 36 wameuawa, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa katika shambulio la kujitoa muhanga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Mbunge Chadema Avuliwa Ubunge!

Aliyekuwa Mbunge wa Longido, Mhe. ONESMO NANGOLE. Kesi iliyokuwa inaunguruma kuanzia tarehe 29.02.2016 katika Mahakama Kuu jijini Arusha imetolewa hukumu...

READ MORE

Airtel FURSA yatoa msaada kwa vituo vya yatima Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso, akimkabidhi mlezi wa kituo cha watoto yatima cha Irishad Islamic center Juma Kaseja...

READ MORE

Waliobomolewa Maswa walia na wizi, DC aja juu

Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu wamelia wengine kwa kwikwi baada ya kubomolewa nyumba zao hivi...

READ MORE

Moto umewaka, polisi kuwatumia wasanii kuwataja wauza madawa

Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa, ACP Mihayo Msikhella. Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI DAR ES...

READ MORE

Shinda Nyumba: Bado siku 1 tu, changamkia mjengo huu!

Kushinda nyumba hii mpya yenye fanicha ndani ni rahisi sana! Nunua Gazeti la Championi, Ijumaa, Uwazi, Amani, Ijumaa Wikienda au...

READ MORE

Mwanza: Watano wafariki kwa ajali, baba wa kambo amuua mtoto kwa fimbo!

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 28.06.2016

READ MORE

Shigongo, Prof Mkumbo Kivutio Mafunzo Ya Wahitimu Kidato Cha Sita Dar

Wahitimu wakiendelea kupata mafunzo kutoka kwa wahamasishaji. Wahitimu wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakiendelea. Mafunzo yakiendelea. Mfundishaji, Dkt. Haruni Nyagori akiwafundisha wahitimu...

READ MORE

Wakulima Wadogowadogo, Wadau Wakutana Kujadili Bajeti ya Kilimo

Meneja utetezi kutoka Shirika la Kimataifa la OXFAM Tanzania Bi. Eluka Kibona akifungua mafunzo  juu ya uelewa wa Bajeti ya...

READ MORE

Auawa kwa hawara, kaburi lazikwa kichwa cha kondoo!

Nyangi Masengi Nyangi enzi za uhai wake. Na Gregory Nyankaira, UWAZI MARA: Mkazi mmoja wa kitongoji cha Jiniva, Kijiji cha...

READ MORE

Video: Mastaa Watembelea Mjengo wa Mshindi wa Shinda Nyumba

  Mwandishi wa Global Publishers, Imelda Mtema, akiwakaribisha wasanii mara baada ya kuwasili ndani ya mjengo wa Shinda Nyumba. Kutoka...

READ MORE

Airtel Yakabidhi Msaada kwa Kituo cha Sarnaa Islamic Orphanage Center Mwanza

Afisa Masoko wa kanda ya ziwa wa Airtel , Emmanuel Raphael  akitoa msaada wa chakula kitakachotumika katika msimu huu wa...

READ MORE

Aua wawili, asakwa

Stori: STEPHANO MANGO, Risasi Jumamosi SONGEA: JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linamsaka dereva wa daladala inayofanya safari zake kati ya...

READ MORE

Marufuku Ya Mabasi Kusafiri Usiku, Sababu Bado Zina Mashiko?

NI miaka mingi sasa tangu utaratibu wa mabasi ya abiria kusafiri usiku ulipositishwa miaka ile ya mwanzoni mwa tisini. Sababu...

READ MORE

FFU Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mwanafunzi, Faini Mil. 15 na Viboko 12

ASKARI wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Raphael Makongojo (25) aliyembaka aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya...

READ MORE

Sakata la Bunge Kuoneshwa Live Laibukia mahakamani… Bofya hapa!

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. HATUA ya serikali kuzuia kurusha moja kwa moja mjadala wa vikao...

READ MORE

Kesi ya Mauaji ya Mwangosi… Hukumu Kutolewa Julai 21

Daudi Mwangosi enzi za uhai wake. Hukumu ya kesi ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha...

READ MORE

Kitwanga Aandaa Ibada ya Shukrani

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameibuka na kukabidhi...

READ MORE

Serikali isiingilie ndoa za watu

Toleo lililopita tulisoma ufafanuzi makini wa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Alhadi Musa Salum kuhusu mambo mbalimbali...

READ MORE

Akatwa miguu, mkono na watu wasiojulikana

Kijana Lucas John alivyokatwa mguu. Na Dege Masoli, UWAZI TANGA: Kijana Lucas John (32) anayeishi Kijiji cha Ngombezi, wilayani Korogwe, Mkoa wa...

READ MORE

Trafiki aliyetukanwa apandishwa cheo

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Deogratius Mbango. Issa Mnally, UWAZI Dar es Salaam: Deogratius Mbango, askari wa kikosi cha...

READ MORE

Shinda Nyumba… Makonda Ndiye Mwenye Siri

     Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. KAMA wewe ni muumini wa kitu kinaitwa dili, basi ili...

READ MORE

Ndoto ya Amina Chifupa Iliyoyeyuka

Amina Chifupa. Na Leonard Msigwa KAMWE hakuna binadamu atakayeishi duniani milele, la hasha!  Kila nafsi lazima ionje mauti, kila moja...

READ MORE

Kitwanga akabidhi rasmi ofisi kwa Mwigulu Nchemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa...

READ MORE

Watuhumiwa wa Mauaji ya Mwanza, Tanga Wauawa Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam...

READ MORE

Shinda Nyumba, Makonda Mgeni Rasmi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Makala: OJUKU ABRAHAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Chadema Pwani, Wapiga Marufuku Mameya Wao Mikutano ya Kitaifa ya Serikali

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimesema kinatafakari hatua gani ya kuchukua baada ya Rais John Magufuli...

READ MORE

Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha tano 2016

OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.  Wanafunzi waliochaguliwa...

READ MORE

Efm Radio Yawazawadia Mil. 3 Wakazi wa Temeke

Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi washindi wanavyopatikana. Kushoto ni Meneja wa Matukio na Mawasiliano wa Efm Radio,  Neema Ukurasi akiwa...

READ MORE

Sheikh Jalala: Dunia Tuikumbuke Palestina

Sheikh Hemed Jalala akizungumza na wanahabari wakati wa maadhimisho ya Siku ya QUDS ndani ya Msikiti wa Kigogo Post jijini...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko ya Ma RC na Ma DC

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Meli ya Mizigo Yazama Unguja

Zoezi la uokoaji likiendelea eneo ilipozama meli ya MV Happy. Meli ya mizigo iitwayo MV Happy iliyokuwa ikitokea jijini Dar...

READ MORE

Tanzia: Aliyekuwa Mbunge wa Biharamulo Magharibi (2010-2015) Afariki

Dk. Antony Gervase Mbassa enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Biharamulo Magharibi (2010-2015) kupitia CHADEMA, Dk. Antony Gervase Mbassa...

READ MORE

Serikali Yasitisha Tamko la Utoaji wa Chakula Hospitali ya Muhimbili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Ummy Mwalimu. Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya...

READ MORE