×

Habari

Mchakato wa Ada Elekezi Kwa Shule Binafsi Wafutwa

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako SERIKALI imefuta mchakato wa kutangaza ada elekezi tangu katikati ya...

READ MORE

Pichaz: Noah Yapata Ajali na Kuuwa Watu Rombo

Gari hilo likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali. WATU wapatao sita wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa Wakiiba Mamilioni Kwenye ATM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukamatwa wakiwa wanatoa fedha benki ya NMB tawi...

READ MORE

Barabara za kuingia Stendi za Simu 2000, Makumbusho zalalamikiwa

BARABARA za kuingia stendi za mabasi ya daladala Simu 2000 na Makumbusho jijini Dar es Salaam zinalalamikiwa kwa kuwa na...

READ MORE

Aliyesota Muhimbili Kisa Laki 2… Achangiwa Sh. 800,000

Na Imelda Mtema, UWAZI DAR ES SALAAM: Katika toleo lililopita la gazeti hili liliandika habari ya kijana Noel Lazaro (26),...

READ MORE

Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje!

        Evans William aliyeshinda pikipiki. Shinda Nyumba Droo Ndogo… Mshindi pikipiki; tuchezeni Bahati Nasibu ushindi njenje! MSHINDI wa zawadi ya...

READ MORE

Lowassa Akutana na Balozi wa Japani Hapa Nchini

May 27 2016, aliyekuwa mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na...

READ MORE

Basata Yazindua Matukio ya Siku ya Msanii 2016

Mshereheshaji katika hafla hiyo, Chris Mauki.  Mgeni rasmi ambaye ni Katibu wa Wizara ya  Habari,  Utamadunim  Sanaa na Michezo Prof....

READ MORE

Mwanza: Kijana Ajirusha Kutoka Kwenye Mnara wa Simu

Kijana Mmoja (picha) Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya kujirusha kutoka katikati ya mnara wa simu. Tukio hilo limetokea hii...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akagua Mradi wa Mabasi ya DART Leo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akizungumza na mwanafunzi Amina Abdallah wa darasa la sita...

READ MORE

Shirika la Ndege la Serbia Lapiga Hatua Kuboresha Huduma Zake

Ndege kubwa ya kwanza ya shirika la ndege la Serbia, Airbus A330, ikiwa katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla....

READ MORE

Magazeti ya Leo Ijumaa Mei 27, 2016

    

READ MORE

Inasikitisha: Dada wa Bilionea Msuya Auawa Kinyama Dar

Marehemu Aneth Msuya Mtumishi wa Wizara ya Fedha, Aneth Msuya (30) ambaye ni mdogo wa Bilionea Erasto Msuya aliyeuawa kwa...

READ MORE

Wakandarasi 4572 Wafutiwa Leseni Zao

Bodi ya Usajili wa Makandarasi imefuta usajili wa jumla ya makandarasi 4572 kwa kushindwa kutimiza matakwa ya Sheria ya Usajili...

READ MORE

JPM Afungua ZMkutano wa Bodi ya Wakandarasi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakandarasi kote nchini kufanya kazi kwa kutanguliza maslai...

READ MORE

Makongoro Oging’ Aagwa Dar, Kuzikwa Tarime J’mosi

Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Makongoro Oging’ kuelekea eneo maalum kwa ajili ya...

READ MORE

Siri 5 Mauaji Msikitini!

Na Waandishi Wetu, UWAZI MWANZA: Usiku wa kuamkia Mei 19, mwaka huu ni wa kukumbukwa kwa wakazi wa Ibanda Relini...

READ MORE

Wanaogoma kuuza ‘kinga’ kukiona!

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Abdul Shaweji STEPHANO MANGO, Amani Ruvuma: Wafanya-biashara wa Famasi na bidhaa za kawaida...

READ MORE

Makongoro Oging’ kuagwa leo Dar

Mwandishi Makongoro Oging enzi za uhai wake. ELVAN STAMBULI, Amani MWILI wa mwandishi mahiri wa habari za uchunguzi, Makongoro Oging...

READ MORE

Waziri Ndalichako Avunja Bodi ya TCU, Awasimamisha Maofisa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako...

READ MORE

Airtel Money Yawezesha Kubeti na Kulipa Kwa Airtel Money

    Meneja wa Airtel Money, Asupya Naligingwa (kushoto) akiongea wakati wa kuzindua ushirikiano kati ya kampuni ya Airtel na M-bet...

READ MORE

Kanali Mstaafu: Magufuli Kajitoa Kafara Tumuunge Mkono

Mhadhiri na Mtafiti katika Masuala ya Habari, Kanali Mstaafu Dkt. Haruni Ramadhani akitoa taarifa yake mbele ya wanahabari (hawapo pichani). ...

READ MORE

Mtoto wa Kabwe Agoma Kushikana Mkono na RC Makonda

Anna Kabwe, binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amegoma kumpa mkondo Paul Makonda, Mkuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana na Watanzania Waishio Zambia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka Mei 24, 2016. Majaliwa alikwenda...

READ MORE

Waarabu wamteka Baby Madaha

Hans Mloli, Dar ess Salaam BAADA ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki, Baby Madaha ‘amezama’ kimapenzi kwa mchumba wake aliyekuwa akiishi naye...

READ MORE

Mwanza: 14 Mbaroni Kwa Mauaji ya Waumini Msikitini

Jeshi la Polisi Nchini linawashikilia watuhumiwa 14 kufuatia tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea katika msikiti wa Rahman eneo...

READ MORE

Usidanganyike, ni Kweli Inatolewa

ASUBUHI ya Julai 9, 2003 kijana mwenye umri wa miaka 36, Teddy LeBarge kutoka Snellville, nchini Marekani, hakuamini masikio na...

READ MORE

Umeipata Hii ya Mil 392 Zimejenga Barabara Hewa Dar?

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh 392 milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo Ndogo… Washindi Kukabidhiwa Zawadi zao Leo

MARA baada ya kufanyika kwa droo ndogo ya mwisho ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Global Publishers, wiki...

READ MORE

Haya Mabasi ya Mwendo Kasi, Acha tu

Wiki mbili hizi jambo jipya limezuka katika Jiji la Dar es Salaam, jiji ambalo mambo mapya huzuka kila kukicha. Kumekuja...

READ MORE

Shirika la Ndege Etihad Lateua Mkurugenzi Mpya Nigeria

Mkurugenzi Mtendaji mteule wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Nigeria Bw. George Mawadri. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shirika...

READ MORE

Vodacom Tanzania Kugawa Bonasi ya Bil 25 Kwa Wateja Wake Kupitia M-Pesa

Wateja wapatao milioni 11 wa Vodacom Tanzania wanaotumia huduma ya M-Pesa kuanzia leo wataanza kupatiwa mgao wa bonasi kutoka kwenye...

READ MORE

Watanzania Kuanza Kunufaika na Hati Fungani ya NMB

Wateja na wasio wateja wa NMB kunufaika kwa Kiwango cha uwekezaji cha kuanzia Kiwango TZS 500,000 Hati fungani ya NMB...

READ MORE

Mamia Wauaga Mwili wa Kabwe  Dar

       Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...

READ MORE

Helikopta 4, Malori 20 ya Urusi Yateketea Syria

Picha za satellite zilitolewa kwa Shirika la Utangazaji la BBC zinaoneesha kuwa ndege nne za Urusi aina ya helkopta na...

READ MORE

Kariakoo Family Development Foundation Yazinduliwa

Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi polisi mstaafu Jamal Rwambow akiogea machache na...

READ MORE

Tibaijuka Kitanzini Tena, Atuhumiwia Kujimilikisha Shamba Hekari 4,000

Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka na Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk Charles Mlingwa wamelipuliwa bungeni wakidaiwa  kutumia...

READ MORE