×

Habari

CCM Yafanya Marekebisho Juu ya Ratiba ya Mchakato Wa Ndani wa Uteuzi wa Wagombe Ubunge na Udiwani

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya marekebisho juu ya ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya...

READ MORE

Hakuna sekta itakayokosa fedha kutokana na mabadiliko ya sera-Dkt.Nchemba

DODOMA-Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakutakuwa na sekta itakayokosa fedha kwa sababu ya mabadiliko ya sera ya baadhi ya mataifa zinazolenga...

READ MORE

Waziri Mkuu Ampongeza Rais Dkt. Samia Mafanikio Miaka Minne

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio yaliyopatikana katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Rais Samia Ameamua Kuifungua Mikoa Ya Kusini Kiuchumi

MTWARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla Rais Samia...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha...

READ MORE

Kikwete Awakilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Congo

Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum...

READ MORE

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar Yaandaa Mkutano wa Uwekezaji

Dar es Salaam, Tanzania –Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza rasmi Mkutano ujao wa Uwekezaji waVitega Uchumi Zanzibar 2025,...

READ MORE

Chadema: INEC Haina Mamlaka ya Kuiondoa Kwenye Uchaguzi – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Aprili 15, 2025 kimepinga vikali kauli ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri Aizungumzia Hamas kivitani

Mkuu mpya wa jeshi la Israel ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la utawala huo vinakosa nguvu kazi na rasilimali za...

READ MORE

Breaking News: Carina Afariki Dunia Nchini India

Habari zilizotufilia hivi punde, zinaeleza kuwa mwanadada Carolina Hawa almaarufu Carina aliyekuwa akitibiwa nchini India, amefariki dunia. Taarifa za awali...

READ MORE

Huyu Mwanamke Amenisingizia Mambo Mabaya Sana

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia...

READ MORE

Ufahamu Mchezo huu wa Kasino Unaolipa kuliko yote..

Moja kati ya vitu vyenye thamani kubwa duniani kwa rasilimali za asili ukiachana na mafuta kuna hii kitu inaitwa dhahabu,...

READ MORE

Mashabiki wa Simba na Yanga, Nyaishozi Mkoani Kagera Wapiga Bonge la Dabi Kumaliza Ubishi

Afisa Tarafa wa Tarafa ya Nyaishozi Wilayani Karagwe mkoa wa Kagera, Kelvin Berege ameratibu ‘dabi’ ya mashabiki wa Simba na...

READ MORE

Waziri Mkuu Afungua Mkutano Wa Toa Taifa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 14, 2025 atafungua mkutano wa 15 wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Je, Unataka Kuongezwa Mshahara Kazini Kwako? Fanya Haya

Nyongeza ya mshahara ni jambo ambalo limekuwa likimvutia kila mfanyakazi katika kazi yake, ndivyo ilivyokuwa na kwangu mimi, kila mara...

READ MORE

Burudika Na Aviator, Shinda Ps5 – Fursa Ya Kipekee Kutoka Meridianbet!

Wapenzi wa michezo ya mtandaoni, huu ndio wakati wenu! Meridianbet inakuletea fursa ya kipekee kupitia promosheni kali ya Aviator –...

READ MORE

Mazishi ya Mama wa Meja Kunta Yafanyika Yombo Dovya Dar – (Video+Picha)

MAZISHI ya mama wa msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, yamefanyika leo, Aprili 14, 2025 katika Makaburi...

READ MORE

Kassim Majaliwa: Tutaendelea Kudhibiti Uhalifu Wa Kifedha

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa...

READ MORE

Tutaendelea Kudhibiti Uhalifu Wa Kifedha : Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa...

READ MORE

Mwili wa Mkurugenzi Tanesco Kuagwa Aprili 16, Mazishi Kufanyika Bunda

Shirika la umeme nchini Tanzania Tanesco limeeleza kuwa Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la umeme Tanzania Gissima Nyamo-hanga...

READ MORE

DRC yalaani mauaji ya raia 52 yaliyofanywa na M23

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imelaani mauaji ya raia 52 yaliyofanyika usiku wa Ijumaa hadi Jumamosi katika...

READ MORE

Sloti yenye Thamani Zaidi Mafia Clash Kutoka Meridianbet Kasino

Tunakuletea mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko...

READ MORE

Mabalozi Kutoka Nchi Mbalimbali Wajivika Jukumu la Kutangaza Vivutio vya Tanzania

Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini, huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania...

READ MORE

Kiongozi wa Mapinduzi Gabon Jenerali Nguema Ashinda Uchaguzi

Kiongozi wa kijeshi wa Gabon Jenerali Brice Oligui Nguema, ambaye mwaka 2023 aliongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Ali Bongo, ameshinda...

READ MORE

Mhe. Chana Aanika Mikakati ya Uhifadhi Kwa Wananchi wa Wanging’ombe Kukabiliana na Changamoto ya Wanyamapori

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi semina ya kuwajengea uwezo wadau wa uhifadhi...

READ MORE

Majaliwa: Rais Samia Ni Chachu ya Mapinduzi Katika Sekta ya Sanaa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejidhatiti kuendelea kukuza na kuimarisha sanaa nchini ikiwa ni moja ya sekta rasmi ya...

READ MORE

Mstaafu Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalum Kwa Waziri wa Nchi ya Guinea ya Ikweta

Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum...

READ MORE

TANZANIA KUWA MWENYEJI KATIKA TUZO ZA MWAKA 2025

Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa hafla ya kutangaza washindi wa Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi, iitwayo...

READ MORE

Zaidi Ya Wanachama 50 Wa ACT Wazalendo Lindi Watimkia CCM, Wafichua Sababu Nzito

  Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na chama Cha mapinduzi ( CCM) Wanachama hao...

READ MORE

JWTZ na Jeshi la India Wazindua Mazoezi ya Pamoja Washirikisha Nchi Rafiki 9

Dar es Salaam, 13 Aprili 2025: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb)...

READ MORE

Rais wa TLS, Mwabukusi Aipinga Tafsiri ya NEC Kuhusu Maadili ya Uchaguzi

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume...

READ MORE

Meja Kunta Afiwa na mama yake mzazi, Kuzikwa Kesho Yombo Dovya

Msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, amepata pigo baada ya kuondokewa na mama yake mzazi, Mosi Mkalawile....

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko kufuatia...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamohanga Afariki Dunia Kwa Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Gissima Nyamohanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika ajali ya...

READ MORE

Trump Aondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki

Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeondoa ushuru kwa simu za mkononi, kompyuta, na vifaa vingine vya kielektroniki –...

READ MORE

Kiongozi Mbio za Mwenge wa Uhuru Atoa Wito Kwa Wananchi Kutunza Miundombinu Ya Maji

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Bw. Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Manispaa ya Morogoro na...

READ MORE

Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri

Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10...

READ MORE

Chadema Kushindwa Kusaini Makubaliano ya Kanuni za Uchaguzi, Wanachama Wakaribishwa Kuchagua CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Chadema Yataja Sababu ya Kukataa Kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Bi. Brenda Rupia ameeleza kuwa msimamo wa Chadema...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB kwa Kampeni Bora ya Upandaji Miti Nchini

  SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika...

READ MORE