×

Habari

Waziri Gwajima Ampongeza Lilian Mwasha kwa juhudi zake za kuwalinda watoto wa kiume

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, kupitia ukurasa wake wa Instagram amempongeza mtumishi wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 6, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

NBC Yazindua Hati Fungani ya Sh Bilioni 27.2 Kuwezesha Wajasiriamali Nchini

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi Kiwango cha kwanza cha sehemu yake ya pili ya Hati Fungani ya...

READ MORE

Mtangazaji wa kituo cha Tv3 Aliyedaiwa kupotea Apatikana Kwa Shangazi

Mtangazaji wa kituo cha Tv3 na mwanafamilia wa tasnia ya habari kwa ujumla, Gwamaka Francis ‘BOIBOI MKALI” ambaye aliripotiwa kupotea,...

READ MORE

Stanbic na PBZ Zashirikiana Kuiwezesha Serikali ya Zanzibar Kupata Mikopo ya Ndani

Picha ya pamoja Benki ya Stanbic Tanzania (SBT) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) zimeungana kwa pamoja kuiwezesha Serikali...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya...

READ MORE

Waandishi Wapigwa Msasa Kuhusu Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Imeelezwa kuwa Tanzania haikuchaguliwa kwa bahati mbaya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, isipokuwa...

READ MORE

Rungwe Mzee Wa Ubwabwa Awalipua Chadema, Uchaguzi Umejaa Rushwa – Video

Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema haoni sababu ya viongozi na wanachama wa Chama cha...

READ MORE

Mjane wa King Kikii Afunguka Kuhusu Mumewe, Walipata Watoto – Video

Mjane wa marehemu King Kikii amefunguka kupitia Global Tv na kueleza kuhusiana na ndoa yake, ambapo ameeleza kuwa yeye na...

READ MORE

Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy Wachaguliwa Shule za Vipaji Maalum

WANAFUNZI 86 kati ya 156 wa shule ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es...

READ MORE

Bob Wangwe Amuunga Mkono Lissu badala ya Freeman Mbowe

Mwanachama maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bob Chacha Wangwe amesema ameamua kumuunga mkono Tundu Lissu badala ya...

READ MORE

Necta Yatangaza Matokeo Ya Darasa La Nne na Kidato Cha Pili, Yapo Hapa – Video

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne na kidato cha pili ambapo matokeo...

READ MORE

Trump Kufika Mahakamani Januari 10 Kusikiliza Hukumu Yake

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kufika mahakamani Januari 10 kwa ajili ya kusikiliza hukumu yake, zikiwa zimesalia siku...

READ MORE

Mvulana wa miaka nane Aishi Siku 5 Katikati Ya Msitu wa Simba, Tembo

Mvulana wa miaka nane, Tinotenda Pudu, ameacha ulimwengu ukishangaa baada ya kuokolewa akiwa ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Matusadona,...

READ MORE

Madonna Avishwa Pete na Kiserengeti Boy Chake Akiwa na Umri wa Miaka 66

Si huwa wanasema age is nothing but numbers wakimaanisha umri si chochote bali ni namba tu? Basi mkongwe wa muziki...

READ MORE

Dkt Kikwete Akoshwa na Ushiriki wa Wadau Binafsi Kwenye Miradi ya Maendeleo, Aipongeza Benki ya NBC

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na serikali katika katika kufanikisha miradi mbalimbali ya maendeleo...

READ MORE

FBI: Alituma Meseji kwa Ex Wake Kabla ya Kulipua Cybertruck na Kujipiga Risasi

Kufuatia tukio lililotokea siku ya Mwaka Mpya na kuzua gumzo kubwa la mwanaume aliyetambulika kwa jina la Matthew Livelsberger (37)...

READ MORE

Korea Kusini: Jeshi Lawazuia Polisi Wasimkamate Rais Aliyeondolewa Madarakani

Mamlaka nchini Korea Kusini zimejikuta katika mgogoro mkubwa na kikosi cha usalama cha Rais aliyeondolewa Madarakani Yoon Suk-yeol baada ya...

READ MORE

Kamanda Muliro Afichua: Sadoki Na Fredy Jela Maisha, Ayoubu Miaka 30 Jela Kwa Makosa Ya Kulawiti!- Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanza mwaka 2025 kwa mafanikio, likitoa ripoti ya usimamizi bora wa sherehe...

READ MORE

Pamela Achukua Fomu Ya Kugombea Nafasi Ya Katibu Mkuu Bawacha – Video

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Pamela Massaiy, Januari 2, 2025, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Katibu...

READ MORE

ATCL Yatangaza Nafasi Mpya za Kazi, Mwisho wa Maombi Januari 12

Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limetangaza nafasi mpya za kazi kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu unaohitajika, ili kujiunga...

READ MORE

Trump: Vita ya Ukraine Imeua Vijana Wengi inashangaza

Ahadi ya Rais Mteule wa Marekani Donald Trump ya kumaliza vita vya Urusi na Ukraine ndani ya saa 24 baada...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kuaga Mwili Wa Marehemu Jaji Werema (Picha + Video)

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuaga mwili wa marehemu Jaji...

READ MORE

Bilionea Namba moja Duniani Aja Na Balaa Jipya, Aanzisha Mji Wake Mpya – Video

Bilionea Namba moja Duniani, Elon Musk, ambaye kwa sasa ndye Bilionea wa kwanza aliyefikisha utajiri wa zaidi ya dola BILIONI...

READ MORE

Rais Biden: Muuaji Alichochewa na Magaidi Wa IS

Rais wa Marekani Joe Biden amesema mhusika wa shambulizi la mjini New Orleans lililoua watu 15 na wengine 35 kujeruhiwa...

READ MORE

Watano Wafariki Ujerumani Mkesha Wa Mwaka Mpya

Watu watano wamefariki dunia nchini Ujerumani huku afisa mmoja wa polisi akijeruhiwa kutokana na ajali zinazofungamana na matukio ya kurushwa...

READ MORE

FBI Yamuanika Aliyefanya Mauaji Marekani

FBI imemtaja mshambuliaji wa mauaji ya kutisha kuwa ni Shamsud-Din Jabbar mwenye umri wa miaka 42 – mwanajeshi mkongwe na...

READ MORE

Watu 10 Wauwawa New Orleans Baada ya Dereva Kuparamia Umati

WATU wasipungua 10 wamekufa na zaidi ya wengine 35 wamejeruhiwa baada ya dereva kulivurumisha lori lake kwenye umati wa watu...

READ MORE

Stori za Watoto Njiti na Wagonjwa wa Fistula Zathaminiwa na Benki ya Absa

Watoto wanaozaliwa na changamoto mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,  wana kila sababu ya  kupata ahueni mara baada ya...

READ MORE

Watumiaji wa Yas Waukaribisha Mwaka Mpya kwa Furaha ya Mamilioni

Dar es Salaam, 3 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa simu ya Yas, kupitia kampeni yake ya Magift ya Kugift,...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Biteko Ahutubia Wananchi Wa Bukombe Sherehe za Kuupokea Mwaka Mpya 2025

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za kuupokea Mwaka...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi ya Makusanyo Tangu Kuanzishwa Kwake

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imerekodi ongezeko la asilimia 17.6 ya makusanyo yake ya Desemba 2024 ikilinganishwa na Desemba 2023....

READ MORE

Zimbabwe Yaondoa Rasmi Adhabu Ya Kifo

Sasa ni rasmi adhabu ya kifo imeondolewa nchini Zimbabwe baada ya Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa kutia saini sheria...

READ MORE

Lissu aanza na Katiba Mpya, Uchaguzi wa haki Chadema – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara na mtia nia nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu...

READ MORE

Rais Mwinyi Aipongeza NMB Kudhamini, Kushiriki Siku ya Mazoezi Kitaifa Z’bar

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea...

READ MORE

Msama Aachiwa Huru Kesi Ya Kughushi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Kinondoni imemuachia huru Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama baada ya upande wa Jamhuri kushindwa...

READ MORE

Uhamiaji Yatakiwa Kuimarisha Udhibiti Wa Wahamiaji Haramu

Idara ya Uhamiaji nchini imetakiwa kuimarisha udhibiti wa Wahamiaji haramu na baadhi ya wageni wanaoingia na kufanya biashara haramu huku...

READ MORE

WHO Yaitaka China Kueleza Chanzo Cha Uvico 19

Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO bado linasubiri ushirikiano kamili kutoka kwa serikali ya China ili kufafanua chanzo cha janga...

READ MORE

Rais Ruto Akiri Mapungufu Ya Vikosi Vya Usalama

Rais wa Kenya, William Ruto, jana Jumanne amekiri ukiukaji unaofanywa na vikosi vya usalama vya Kenya, kufuatia maandamano dhidi ya...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Jan 01, 2025

Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zitakazotumika nchini kuanzia Jumatano, tarehe 1 Januari, 2025, saa 6:01 usiku. Wafanyabiashara wa rejareja...

READ MORE