×

Habari

Dkt.Nchimbi; Kukimbilia Maandamano ni Uoga wa Hoja, Kukwepa Mazungumzo

Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi wa CCM kuongozea kasi ya kutimiza wajibu...

READ MORE

Rais Felix Tshisekedi aapishwa kuongoza muhula wa pili wa miaka mitano DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi aliapishwa kuongoza muhula wa pili wa miaka mitano Jumamosi  Januari 20,...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon Yazinduliwa Moshi

Kilimanjaro 20 Januari 2024: Toleo la 22 la Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024 limezinduliwa Ijumaa...

READ MORE

Waziri Bashungwa Aagiza Kujengwa Haraka kwa Daraja la Nzali- Chamwino

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga...

READ MORE

Makamu wa Rais Awasili Nchini Akitokea Davos, Uswisi Kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo Januari 20, 2024 amewasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

READ MORE

Bado Droo 3: Fanya Haya Kushinda Gari Na Mamilioni Ya Pesa, Kupitia Magifti Dabo dabo Ya Tigo

Dar es Salaam, 19 Januari 2024: Farida Keppy Kyeumbile na Mohammed Salum ni baadhi ya Wawakilishi wachache kutoka Dar Es...

READ MORE

Waziri Makamba Aongoza Ujumbe wa Tanzania Katika Ngazi ya Mawaziri Kwenye Mkutano wa NAM

Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja...

READ MORE

Nchimbi Aanza Kazi Kwa Mambo Matatu, Akipokelewa Zanzibar

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya wanaCCM...

READ MORE

Bashiri na Meridianbet Uibuke Kuwa Milionea Sasa

Hatimaye wikendi ndiyo hiyo imefika na mechi mbalimbali kutoka ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kesho huku meridianbet nao wakiwa tayari wamejiandaa...

READ MORE

Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Utawala Bora Uswisi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema katika kudhibiti rushwa unahitajika uongozi imara...

READ MORE

DRC: Upinzani Waitisha Maandamano Nchi Nzima Siku Ya Kuapishwa Rais Tshisekedi

Viongozi Watatu wa Upinzani wameitisha maandamano ya Nchi nzima kuanzia Januari 20, 2024, siku ambayo Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa na...

READ MORE

Ishu ya Saido kubaki Simba ipo hivi… Benchikha Atajwa, Agomea Mkataba

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria Abdelhak Benchikha ndiye aliyenusuru panga la kiungo wake mshambuliaji, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kuendelea...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Januari 19, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 19, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Amteua Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Iringa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala...

READ MORE

CMSA Yaangazia Uchumi wa Buluu Zanzibar

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)imewataka Wadau, mashirika na taasisi mbalimbali kutumia masoko ya mitaji kama sehemu ya...

READ MORE

NMB Yazindua Akaunti Ya NMB Pesa, Isiyokuwa Na Makato Ya Mwezi

Benki ya NMB imeanzisha kampeni kubwa ya kuhamasisha na kuwawezesha watu wengi kufungua akaunti ili waweze kunufaika na faida za...

READ MORE

Waziri Makamba Akutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima...

READ MORE

Sikinde OG Kumenoga, Yampa Mkataba Skassy Kasambula Na Waimbaji Wengine Wawili

Skassy Kasambula, nyota wa nyimbo pendwa kama “Christina Moshi” , “Kipipa Ayubu”, “Ajali ya Aminani”, “Salmada” na “Onyo” amejiunga na...

READ MORE

Safari za Treni Mikoa 12 Zasitishwa Kisa Uharibifu wa Miundombinu

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dares Salaam kuelekea Mikoa ya Morogoro,...

READ MORE

Mwanamke wa Marekani ahukumiwa miaka 26 kwa mauaji ya mama yake

Mwanamke mmoja nchini Marekani ambaye alisaidia kumuua mama yake na kuuweka mwili wake kwenye sanduku wakati wa likizo ya 2014...

READ MORE

Rais Samia Aipongeza Taifa Stars licha ya kichapo cha 3-0 dhidi ya Morocco

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Taifa Stars licha ya kichapo cha 3-0...

READ MORE

Linah Shayo Wa Kigamboni Aibuka Na Milioni 5 Ya Magifti Dabo dabo Ya Tigo Wiki Hii

Dar es Salaam, 18 Januari 2024: Mkazi wa Kigamboni jijini Dar, Linah Shayo, leo amekabidhiwa pesa shilingi milioni 5 alizojishindia...

READ MORE

Halotel yamzawadia Gari Mpya Mshindi wa Kampeni Kabambe ya Kivumbi na Halotel

Kampuni ya simu ya Halotel leo imetoa na kukabidhi zawadi kubwa ya gari aina ya Mazda CX5 kwa mshindi wa...

READ MORE

Waziri wa Mambo ya Nje January Makamba Akutana na Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amekutana na Waziri Mkuu na Waziri wa...

READ MORE

Wananchi Chukueni Tahadhari Dhidi Ya Red Eyes

Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya...

READ MORE

Majaliwa: Shilingi Bil. 48 Zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo Wanafunzi Wa Stashahada

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali imetenga Sh. bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo...

READ MORE

Trump aelekeza macho kwenye uchaguzi wa New Hampshire, baada ya kushinda Iowa

Kufuatia Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuibuka mshindi Jumatatu usiku kwenye uchaguzi wa mapema wa kuidhinisha mgombea urais...

READ MORE

Watu 225 Wafariki kwa Njaa huko Tigray, Ethiopia

ZAIDI ya watu 200 wamekufa kwa njaa tangu Julai katika mji wa Edaga Arbi, katika eneo la Tigray lililokumbwa na...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Januari 17, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 17, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Mapato Ya Madereva Wa Bolt Nchini Yaboreshwa Kwa Kuongeza Nauli

Dar es Salaam, 17 Januari 2024 –  Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri barani Afrika Bolt,imerekebisha bei zake za nauli...

READ MORE

Banda la TPA Lawa Kivutio Maonyesho ya Biashara Zanzibar

Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), limeendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa...

READ MORE

Baraza La Uuguzi Na Ukunga Lafuta Matokeo Ya Mtihani Wa Usajili Na Leseni Kwa Watahiniwa 1,330 Wa Stashahada

Taarifa ya Wizara ya Afya imeeleza kuwa Mnamo Septemba 7, 2023, Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania liliendesha Mitihani ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Januari 16, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 16, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Matumizi ya Nishati Jadidifu Yatajwa kuwa Suluhu ya Changamoto Ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi

Wakati Tanzania na dunia kwa ujumla ikipambana na athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na ukosefu wa ajira kwa vijana,...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Atoa Shukrani Kwa Nwenyekiti Dkt. Samia Na Wajumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa

Matukio mbalimbali katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmshauri...

READ MORE

Mfalme Frederik X apewa kiti cha ufalme Denmark

Mfalme wa Denmark Frederik X alipewa kiti cha ufalme siku ya Jumapili, akimrithi mama yake, Malkia Margrethe II, ambaye alijiuzulu...

READ MORE

Kishindo cha Maokoto Ndani ya Kizibo Chazidi Kutingisha Kila Mahali

Kishindo cha Kampeni ya Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo kinazidi kusikika kwa wateja wa SBL ambapo washindi kibaao wanaendelea kujishindia...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Januari 15, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 15, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

ZIC Yazindua Mpango wa Mabadiliko ili Kuchochea Utoaji Huduma kwa Wateja

Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limezindua mpango wake mpya wa kubadili muonekano na taswira yake kijamii na kibiashara hatua...

READ MORE