×

Habari

Mbowe Akutana na Raila Odinga Kenya

Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi. Kipekee, amewasihi...

READ MORE

DRC Mwanachama Mpya EAC

Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wameridhia nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti Mpya, CAG Asema Deni la Taifa Limepanda Tsh. 7.76 Trilioni

Deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.76 trilioni mwaka uliopita hadi kufikia Sh64.52 trilioni kufikia Juni 30, 2021. Hayo yamesemwa...

READ MORE

Rais Samia Amuwashia Moto Waziri Bashungwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka...

READ MORE

Taasisi za Umma 19 Zapata Hati Zenye Mashaka – Video

TAASISI 19 za umma kati ya taasisi 999 zilizofanyiwa ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) katika...

READ MORE

Kinana Atajwa ‘Kurudi CCM’ Adhabu 3 Zamsubiri Wankyo-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

DRC Mwanachama Mpya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) leo Mach 29, 2022 wameidhinisha rasmi ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...

READ MORE

Urusi kupunguza Mashambulizi Kyiv na Chernihiv

Naibu waziri wa ulinzi wa Urusi Alexander Fomin anasema Urusi  itapunguza kwa kiasi kikubwa shughuli za kijeshi nje ya Kyiv...

READ MORE

Benki Kuu ya Ethiopia, Safaricom Ethiopia Wajifunza Namna Huduma za M-Pesa Zinavyofanyakazi

  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose akizungumza na maofisa kutoka benki kuu ya Ethiopia (National Bank of...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda wa Polisi – Video

Kamanda wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi huku...

READ MORE

RPC Aliyekitaka Kiti cha Sirro Aondolewa Kupisha Uchunguzi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Ma RPC akiwamo Wankyo Nyigesa kutoka Kagera kwenda Makao Makuu....

READ MORE

Ukraine Yagoma Kusalimu Amri Kwa Urusi

Mshauri mkuu wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Ukraine haipo tayari kusalimisha eneo lake lote kwa Urusi kama nchi...

READ MORE

Watu 6 Wafariki Katika Ajali Tanga

Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea leo asubuhi Machi 29, 2022 baada ya gari aina...

READ MORE

Live: Mgogoro KKKT: Maaskofu Kukutana Kujadili Hatma Yake, Ajali Iliyomuua…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Wateja wa Airtel Money Waendelea Kujishindia Mkwanja na Tesa Kimilionea Wiki Ijayo Gari

    KAMPUNI ya Airtel leo imeendelea kurudisha fadhila kwa wateja wake kwa kugawa mkwanja kupitia promosheni yake ya Tesa...

READ MORE

Guinness Smooth yatanua soko lake Kanda ya Ziwa

Mwanza, Machi 29, 2022: Bia ya Guinness Smooth, mwanafamilia mpya wa Guinness nchini Tanzania, inaongeza soko lake kwa kasi sana...

READ MORE

Njemba Yauawa Baada ya Kufamaniwa

JESHI  la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa...

READ MORE

Geita: Mfanyabiashara Adaiwa Kubaka na Kulawiti Watoto Watatu

JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto...

READ MORE

Kipa PSG Awapa Hifadhi Wakimbizi 30 wa Ukraine

KIPA wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Costa Rica, Keylor Navas amewachukua wakimbizi 30 wa Ukraine na...

READ MORE

Mrema Awaonya Watoto Wake Wasimuingilie Kwenye Mali-Video

MWENYEKITI wa TLP, Agustino Mrema, ameelezea kuhusiana na mali zake, ambazo watu wanadai kuwa amemrithisha zote mke wake mpya anayeitwa...

READ MORE

Jeshi Lazingira Makazi ya Makamu wa Rais

VIKOSI  vya serikali ya Sudan Kusini vimeripotiwa kuzingira makazi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar katika mji mkuu...

READ MORE

Breaking: Prof Ngowi Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki...

READ MORE

Mapya Sakata La KKKT, Waumini Kumlinda Dk Mwaikali-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Halotel Waja na “Shinda na Halopesa” Shuhudia

  Kampuni ya huduma za Mawasiliano ya mkononi nchini ya Halotel Tanzania kupitia mfumo wake wa kifedha wa Halo Pesa...

READ MORE

NMB Yazindua Huduma ya Wakala kwa Simu za Mkononi

      Benki ya NMB imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa pesa kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi: Urusi Haitafaulu Kuigawa Ukraine

Mkuu wa idara ya ujasusi ya Ukraine ameonya kuwa Urusi ina njama za kutumia “mbinu za Korea” kwa Ukraine hii...

READ MORE

Gari Ya Mbunge wa Masasi Yateketea Kwa Moto

Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na...

READ MORE

Kiduku Bingwa Mpya wa UBO, Amchapa Mkongo Kwa Pointi (Picha +Video)

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Twaha Kiduku Machi 26, 2022 amefanikiwa kumtwaa mkanda wa Ubingwa wa UBO Afrika kwa...

READ MORE

Rais Joe Biden Asema Putin Hafai Kubakia Madarakani

Rais wa Marekani Joe Biden amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin hafai kuendelea kubaki madarakani baada ya uvamizi wa Uruai...

READ MORE

Serikali Yaipongeza Clouds Kuendesha Malkia wa Nguvu

Serikali imeipongeza Clouds Media Group kwa kuendesha programu ya Malkia wa Nguvu yenye kauli mbiu ‘Tupo Site’ na kuwapa moyo...

READ MORE

Tanzania: Tunaendelea na Uboreshaji wa Sera na Mitaala ya Elimu

  Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshiriki Mkutano wa Kimataifa Doha Forum kuhusu masuala ya Maendeleo uliofanyika...

READ MORE

Msuva Adai Timu Kibao Zinamtaka

MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars, Simon Msuva, amesema kuwa Watanzania na mashabiki wake wasiwe na hofu juu ya kiwango chake kwani...

READ MORE

Makombora 1500 ya Ujerumani Yawasili Ukraine

SHEHENA  ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani,...

READ MORE

Bondia Ukraine Aondoka Jeshini Kumuwinda Joshua

BINGWA wa uzito wa juu Oleksandr Usyk ambaye anashikilia mikanda ya WBA, IBF, WBO na IBO amethibitisha kuondoka jeshini na...

READ MORE

Urusi Yathibitisha Wanajeshi Wake 1,351 Wameuawa Ukraine

Wizara ya ulinzi ya Urusi imetoa taarifa kuhusu vifo va wanajeshi wake pamoja na majeruhi – kwa mara ya pili...

READ MORE

Ulaya Yakataa Kununua Gesi ya Urusi Kwa Sarafu ya Taifa Hilo

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuzilia mbali takwa la rais wa Urusi, Vladimir Putin la kuyataka mataifa ya Ulaya kununua...

READ MORE

Tigo Yakabidhi 40m kwa Washindi 20 wa Kwanza wa” Pesa Mwaa Mwii na Tigo Pesa”

    DAR ES SALAAM, Ijumaa, Machi 25, 2022, Katika jitihada za kuongeza kasi ya malipo ya fedha kidijitali na...

READ MORE

Tigo Wazindua Duka Jipya la Kisasa Palm Village Mall

    DAR ES SALAAM,  Machi 25, 2022. Mtandao namba moja Nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo Tanzania...

READ MORE

Walimu Sengerema Sekondari Walia Kuishi Nyumba Chakavu

Walimu 25 kati 49 shule ya sekondari Sengerema iliyoko Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali kuwasaidia kukarabati nyumba zako...

READ MORE