×

Habari

Putin Hana Lengo Tena la Kukamata Kyiv – Live Updates

 Jarida la Wall Street Journal, likiwanukuu maafisa wakuu wa Marekani ambao hawakutajwa majina, linasimulia kuhusu kubadilisha mbinu za uvamizi...

READ MORE

Video: Mbowe, Aeleza Mambo 4 Aliyoteta Na Rais Samia ..Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Ukraine Yadai Kumuua Kamanda Mwingine Wa Urusi

Ukraine imedai leo kuwa vikosi vyake vimemuua kwa kumpiga risasi Kamanda wa Jeshi la Maji wa Urusi, Andrey Paliy mwenye...

READ MORE

Urusi Yadai Kuwauwa Wanajeshi 100 wa Ukraine Schytomyr

Shambulio la Urusi katika kituo cha mafunzo cha karibu na mji wa kati wa Ukraine wa Schytomyr linadaiwa kuwaua wanajeshi...

READ MORE

Breaking: Spika wa Bunge la Uganda Amefariki

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kifo cha Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Oulanyah leo Jumapili “Alikuwa Kada mzuri...

READ MORE

Makombora Ya Urusi Yaipiga Shule Walikohifadhiwa Watu 400

Makombora ya Urusi usiku wa Jumamosi yameipiga shule ya sanaa katika Mji wa Mariupol na kusababisha madhara makubwa ambapo watu...

READ MORE

Watumishi wa Umma Wahimizwa Kufanya Kazi Kwa Weledi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akizungumza wakati wa...

READ MORE

Wanajeshi Wanne Wa Marekani Wafariki Kwenye Ajali Ya Ndege

Ndege ya Kivita ya Marekani imeanguka na kuua watu wanne huko Kusini mwa Norway kwenye jimbo la Nordland katika mazoezi...

READ MORE

Maelfu ya Wananchi Waandamana Kuiunga Mkono Urusi

ZAIDI ya wananchi 10,000 wa Serbia, wameingia mitaani na kuandamana katika Jiji la Belgrade kuelekea katika ubalozi wa Urusi nchini...

READ MORE

Kocha Azam Aapa Kutibua Ubingwa Yanga

BAADA ya Jumatano kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Namungo, Kocha Mkuu wa Azam, Abdul Hamid Moallin,...

READ MORE

Rais wa Urusi Asherehekea Ushindi wa Crimea

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameshiriki katika mashindano ya mbio za magari ambayo yamefanyika katika uwanja wa Luzhniki ulioandaa mashindano...

READ MORE

Ajali Yaua 22 Morogoro, Rais Samia Awalilia -(Picha +Video)

WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi Akiwa huko, Waziri Mkuu atamwakilisha Rais...

READ MORE

Muhimbili Kuanzisha Benki ya Maziwa

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, inatarajia kuanzisha benki ya maziwa ya binadamu. Akizungumza leo Ijumaa Machi 18, wakati wa ziara ya...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Banda

Rais Hakainde Hichilema wa Zambia, jana, Alhamisi, Machi 17, 2022 ameongoza waombolezaji kwenye mazishi ya Kitaifa ya Rais mstaafu wa...

READ MORE

Mzozo wa Ukraine: Afisa wa China Akutana na Balozi wa Urusi – Live Updates

Afisa wa wizara ya mambo ya nje ya China alikutana na balozi wa Urusi nchini China siku ya Alhamisi ili...

READ MORE

Chadema Kuchagua Warithi wa Mdee, Wenzake

KUSUKA au kunyoa kwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘Chadema’ uamuzi wake upo mikononi...

READ MORE

‘Mfalme Zumaridi’ na Wenzake Wafikishwa Mahakamani

Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 84 leo Alhamisi Machi 17, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Waliosambaza Video Za Prof Jay Mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), linawashikilia Samuel Mhina,...

READ MORE

Watu 13 Wakamatwa, Video Ya Prof Jay Iliyovuja Akiwa ICU-Video

JESHI la polisi kanda maalum ya Dar kwa kushirikiana na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) linawashikilia watu kwa tuhuma za...

READ MORE

Japan Yaziona Meli za Kivita za Urusi Zikielekea Ukraine

Meli nne kubwa za kivita za Urusi zimeonekana zikisafiri karibu na visiwa vya Japan vya Honshu na Hokkaido zikielekea Ulaya,...

READ MORE

Marekani Kupeleka Ukraine Ndege Hatari Zisizo na Rubani

Marekani inatuma ndege 100 zisizo na rubani nchini Ukraine kama sehemu ya msaada mkubwa wa kijeshi uliotangazwa na utawala wa...

READ MORE

Putin Azipiga Mkwara Mzito Nchi Za Magharibi

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin kupitia njia ya runinga ameyapiga mkwara mzito mataifa ya Magharibi huku Marekani akiwa mlengwa mkuu...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Watanzania Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Hayati Magufuli -(Picha +Video)

LEO Alhamisi, Machi 17, 2022 ni siku ya kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5 wa Jamhuri...

READ MORE

Rais Joe Biden Amwita Putin Kuwa Mhalifu wa Kivita

Wakati hali ikiendelea kuwa mbaya nchini Ukraine, Rais Joe Biden wa Marekani amemwita rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ni...

READ MORE

Sabaya Aumwa Ghafla Akisikiliza Utetezi Wa Mshtakiwa Mwenzake-Video

KESI ya Uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na Wenzake Saba imemaliza kusikilizwa hapo...

READ MORE

Mwaka Mmoja Bila Kishindo Cha Magufuli, -Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Samsung Yawakutanisha Wadau Wa Afrika Mashariki

Kampuni ya kielektroniki ya Samsung, imefanya mkutano katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau mbalimbali...

READ MORE

Washindi 100 wa Droo ya 10 NMB MastaBata Wapatikana

    DROO ya wiki ya mwisho ya msimu wa tatu wa Kampeni ya ‘NMB MastaBata Kivyako Vyako’ inayoendeshwa na...

READ MORE

Mwanafunzi ajinyonga kwa waya Dar

Mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari Mpigimagohe iliyopo Mbezi, Abdul Kasuku (16) amejiua kwa kujinyonga kwa waya...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 30 Jela kwa Kumbaka Mwanafunzi Mara mbili

Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela...

READ MORE

Serikali Yaendelea Kuimarisha Huduma Kwa Watu Wenye Ulemavu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara za Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi...

READ MORE

Mhariri wa Urusi Aliyekatiza Habari Kupinga Vita Hajulikani Alipo

Mwandishi wa habari wa Urusi ambaye alikatiza kipindi cha moja kwa moja cha habari kweye televisheni kupinga vita vya Ukraine...

READ MORE

Live Updates: ICC Kutoa Uamuzi wa Uvamizi wa Urusi Nchini Ukraine

Mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu, ICC inataraji hii leo kutoa maamuzi kuhusu ombi la dharura la Ukraine la...

READ MORE

Emirates Kuanza Kutangaza Vivutio Vya Utalii Vya Tanzania

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Shirika la ndege la Umoja wa...

READ MORE

Vita vya Ukraine: Viongozi wa Ulaya Wapanda Treni Kukutana na Zelensky

Ukraine imepongeza ujasiri wa viongozi wa Ulaya waliosafiri kwa treni kutoka Poland hadi Kyiv kuonesha mshikamano wao baada ya mji...

READ MORE

Serikali Yakamilisha Mifumo Ya Kidigitali Ya Wasanii

Serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bodi ya Filamu na Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imefanikiwa kuzindua mifumo...

READ MORE

Waziri Balozi. Dkt Pindi Chana Atoa Faraja kwa Waraibu Dawa za Kulevya

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Balozi Dkt.Pindi Chana amewataka waraibu wa dawa...

READ MORE

Video: Rais Samia Azungumza Na Watu Wenye Ulemavu Ikulu – Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo march 16, 2022, amekutana na kuzungumza na watu...

READ MORE