×

Habari

NMB Yaweka Historia kwa Kuwa Benki ya Kwanza Tanzania Kuzindua NMB TAP Wearables

  BENKI ya NMB imedhihirisha kiwango cha juu cha ubunifu, baada ya kuwa ya kwanza nchini kuzindua Teknolojia Mpya, ya...

READ MORE

Mabalozi wa Mashina Ndiyo Nguzo ya Kukipambania Chama – Katibu Mkuu CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Mabalozi wa Mashina ndiyo nguzo ya kukipambania Chama,Kwani ndiyo macho, masikio na...

READ MORE

CCTV Camera Zilivyonasa Jamaa Akipigana na Askari Polisi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari...

READ MORE

Polisi Watoa Ufafanuzi Kuhusu Video ya Askari Kupambana na Mtuhumiwa Benki

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limetoa ufafanuzi kuhusiana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Askari wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi Muungano na Mazingira Dodoma

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –...

READ MORE

Mzee Edwin Mtei Kuzikwa Januari 24 Arumeru Arusha

Mashinda Mtei, mtoto wa tatu wa aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Waziri wa zamani wa...

READ MORE

Mume Aliyemn’gata, Kumpiga Sufuria Mkewe Apandishwa Mahakamani – Video

Hamza Omary (38), fundi Selemala na mkazi wa Luchelele, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Mkuyuni, Wilaya ya Nyamagana...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi Uganda Atishia Maisha ya Bobi Wine – Video

Mvutano wa kisiasa nchini Uganda umeongezeka zaidi baada ya mkuu wa jeshi la nchi hiyo, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kutoa vitisho...

READ MORE

Waziri Kapinga Awashukuru Wananchi, Ahaidi Kutatua Changamoto

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Salvio Kapinga, ametembelea Kata za Mkako na...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mzee Mtei – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mzee Edwin...

READ MORE

Mwanzilishi wa CHADEMA na GAVANA wa Kwanza BOT Afariki Dunia

Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edwin Mtei...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yatoa Kapu La Vifaa Vya Shule Tabora

Afisa wa Vodacom Tabora Christian Mushanga ( kulia), akikabidhi Kapu la Voda kwa mzazi Modester Kashindye  (kushoto) na Mwanafunzi Samwel...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuimarisha Ushirikiano Na Wadau, Yasisitiza Mwelekeo Wake Utoaji Huduma Jumuishi Za Kifedha

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana kwa ukaribu na wadau mbalimbali wakiwemo Serikali,...

READ MORE

Bruce Melodie agonga kolabo na Diamond Platnumz

Na MWANDISHI WETU MSANII wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ametoa kibao kikali kinachokwenda kwa jina la POM POM. Katika...

READ MORE

Ulaya Yakataa Vitisho vya Ushuru wa Trump Kuhusu Greenland

Waziri Mkuu wa Denmark, Mette Frederiksen, amesema kuwa Ulaya haitakuwa chini ya shinikizo la vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais...

READ MORE

Lecturer Alitaka Nitembee Naye Vinginevyo Atanifelisha, Hiki Ndicho Nilichokifanya

Nilipojiunga na chuo, nilikuwa na ndoto kubwa. Nilijua masomo yangekuwa magumu, lakini sikuwa tayari kukutana na jaribio ambalo lingeweka maadili...

READ MORE

Kutokwa na Damu Nyingi Wakati wa Hedhi – Sababu na Suluhisho Soma Hapa

Hedhi ni sehemu ya kawaida ya mzunguko wa uzazi wa mwanamke, lakini kutokwa na damu kunapokuwa kupita kiasi, kunaweza kuingilia...

READ MORE

Butiku Aeleza Mtazamo wa Haki Kwenye Mgogoro wa CHADEMA

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumatatu Januari 19, 2026, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu...

READ MORE

Kanisa la Mlima wa Moto Kufanya Maombezi Maalum ya Kuliombea Taifa

  Mjumbe wa kamati ya Maandalizi ya Kongamano Mchungaji Samwel Hillary akizungumza na Waandishi wa habari katika Kanisa la Mlima...

READ MORE

Serikali Yatenga Bilioni 25, Maeneo Maalum Ya Uwekezaji Viwanda Vya Dawa

Serikali imetenga maeneo maalum la uwekezaji wa viwanda vya bidhaa za afya pamoja na kutenga kiasi cha zaidi ya Bilioni...

READ MORE

Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Yakamilisha Ujenzi Jengo Jipya

…Shule ya sekondari ya amali Mwambasha nayo yakamilika. …Halmashauri ya Wilaya Shinyanga yampongeza Rais Samia kwa bilioni tatu HALMASHAURI ya...

READ MORE

Askari Polisi 7 Wauawa Baada ya Kushambuliwa na Wahalifu – Video

Maafisa saba wa polisi wamepoteza maisha baada ya magenge ya uhalifu kufanya mashambulizi ya kuratibiwa dhidi ya vikosi vya usalama...

READ MORE

Basi na Lori Zagongana na Kuua Wanafunzi 13 – Video

Wanafunzi 13 wamefariki dunia nchini Afrika Kusini baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugongana na lori kusini mwa jiji la...

READ MORE

CAF Wamfungulia Kesi ya Kinidhamu Kocha Mkuu wa Senegal – Video

  CAF imefungua rasmi kesi za kinidhamu dhidi ya kocha mkuu wa Senegal Pape Thiaw. Kocha huyo wa Senegal sasa...

READ MORE

Mzee Butiku Afunguka Kuhusu Alipo Polepole – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Kiutu – Video

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Netanyahu Ampinga Trump, Akosoa Bodi ya Amani Gaza

Kiongozi wa Israel, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ameongoza mkutano wa dharura na washauri wake wakuu wa kisiasa na kiusalama kujadili...

READ MORE

Treni za Mwendokasi Zagongana na Kuua Watu 21, Hispania

Takribani watu 21 wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya treni za mwendokasi iliyotokea kusini mwa Hispania, huku mamlaka za nchi...

READ MORE

Mzee Butiku Azungumzia Utekaji na Mauaji – Video

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari...

READ MORE

Rais wa Senegal Atangaza Mapumziko Baada ya Kushinda AFCON – Video

Dakar, Senegal — Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye ametangaza mapumziko ya kitaifa kufuatia ushindi wa kihistoria wa timu ya...

READ MORE

Kilimo Viwanda Jinsi Elimu Inavyobadilisha Sekta Ya Kilimo Tanzania

Dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu, mjadala unaelekezwa kwenye nafasi ya elimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania....

READ MORE

Mtoto Nilsa Afariki Dunia Akipatiwa Matibabu – Video

Mtoto Nilsa, ambaye alikuwa akiishi na changamoto ya kiafya tangu kuzaliwa, amefariki dunia leo, Januari 18, 2026. Kifo cha Nilsa...

READ MORE

Stanbic Yaunga Mkono Utoaji Wa Sukuk Ya Ak Barakah Ya Benki Ya CRDB Kama Mratibu Mwenza

Stanbic inaonesha utaalamu wake kama Mshirika mwenza wa Mpango katika kuunga mkono utoaji wa hivi karibuni wa Sukuk ya Al...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Burudani Mpya Ya Sloti Kupitia Slotopia

Meridianbet imechukua hatua nyingine kubwa katika kubadilisha taswira ya kasino mtandaoni kwa kuleta mshirika mpya mwenye nguvu, Slotopia. Huu ni...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Amshutumu Trump kwa Vifo vya Waandamanaji – Video

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, siku ya Jumamosi amemlaumu Rais wa Marekani Donald Trump kwa wiki kadhaa za...

READ MORE

Niffer Athibitisha Kuachana na OG, Aomba Kuheshimiwa

Mfanyabiashara maarufu anayefahamika kwa jina la Niffer amethibitisha rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, OG Phone and...

READ MORE

Mpenzi Wangu Aliniacha na Kuolewa na Mwanaume Mwingine, Baadaye Alirudi Akilia

Siku niliyopokea ujumbe wake wa mwisho bado unauma hadi leo. Hakukuwa na maelezo marefu, hakukuwa na majibu ya maswali yangu....

READ MORE

Senegal Yatwaa Ubingwa, Sadio Mané Aibuka Mchezaji Bora

Mchezaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mané, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

Zambia Yadhibiti Matumizi ya Dola, Kwacha Yapaa Afrika

Kwa sasa, Kwacha ya Zambia inatajwa kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi barani Afrika dhidi ya Dola ya Marekani,...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE