×

Habari

Magari Yaponea Chupu Chupu Kuzama Shimoni Baada ya Barabara Kupasuka – Video

 Magari mawili  yameponea chupuchupu  kuzama kwenye shimo kubwa lililopasuka mfuniko ghafla kwenye makutano ya barabara katika Jimbo la Nebraska,...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”

Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia...

READ MORE

Kifo cha Baba Kimeacha Pengo Kwa Mtoto Mlemavu, Mama Afunguka – Video

Ni siku ya pili sasa tangu kufanyika kwa mazishi ya marehemu Yohana Kamingwe, baba mzazi wa mtoto Gidion mwenye ulemavu...

READ MORE

Njia 7 Rahisi Zinazosaidia Kwa Tiba ya Mafua Msimu wa Baridi Kali

Mwili unahitaji kuwa na kinga ya kutosha ili kakabiliana na maradhi mbalimbali hasa mafua ambayo huwapata watu mara nyingi katika...

READ MORE

Jaji Mkuu Awataka Majaji, Mahakimu Kuwajibika bila Kusubiri Maelekezo

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amewataka Majaji na Mahakimu nchini kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kwa kujituma...

READ MORE

Gabon Yasitisha Mitandao ya Kijamii Kufuatia Picha ya Rais

LIBREVILLE, Gabon – Serikali ya Gabon imetangaza kusitisha upatikanaji wa mitandao mikuu ya kijamii nchini humo kuanzia Februari 18, 2026,...

READ MORE

Nmb Yatoa Sh. Bilioni12.4 Kwa Wafanyabiashara 6.011

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Reuben Kwagilwa (kushoto) akisalimiana na Meneja...

READ MORE

Serikali Yaongeza Kasi Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Njia ya Hewa

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeziagiza Hospitali za Rufaa za Mikoa, Taifa, Wilaya pamoja na Vituo vya Afya kote nchini...

READ MORE

Mahakama Kuu Yafungua Kikao cha Mwaka, Jaji Kiongozi Asisitiza Uwajibikaji

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani, amewasisitiza Majaji, Mahakimu na Wakurugenzi wa Mahakama ya Tanzania...

READ MORE

Trump: Iran Inatengeneza Makombora Ya Kushambulia Marekani Hataruhusu

Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kwa ufupi hoja yake kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran katika hotuba yake ya Hali...

READ MORE

Samia Aongoza Kikao Kizito cha Kamati Kuu CCM Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari...

READ MORE

Video: Ajali Ya Lori La Mafuta Na Mbao Yaua Watu Watatu Morogoro

Watu watatu ambao majina yao bado hayajatambuliwa wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha magari mawili ya mizigo yaliyogongana...

READ MORE

Wizara ya Afya Yatoa Tahadhari Ongezeko la Influenza, UVIKO-19, Dengue na Kipindupindu – Video

WIZARA ya Afya imetoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa magonjwa ya mlipuko nchini, ikiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19,...

READ MORE

David Kihenzile Aanza Ujenzi wa Ofisi za CCM Mufindi Kusini

MBUNGE wa Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameanza zoezi la kujenga ofisi za Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Benki Ya Exim Tanzania Yaandaa Futari Kuimarisha Mahusiano Na Wateja

Dar es Salaam, 25 Februari 2026  Benki ya Exim Tanzania imeandaa hafla ya futari kwa wateja wake jijini Dar es...

READ MORE

Airtel Tanzania Yathibitisha Dhamira ya Kuendeleza Mapinduzi ya Kidijitali

Dodoma. Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya mawasiliano na huduma za kifedha kidijitali, ikiunga...

READ MORE

Trump Avunja Rekodi ya Hotuba Bungeni, Aahidi Kuzuia Silaha za Nyuklia za Iran – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, amevunja rekodi ya muda katika hotuba yake ya kila mwaka Bungeni, akisisitiza waziwazi kwamba hatairuhusu...

READ MORE

Waziri wa Fedha Azikabidhi Tuzo za Ubunifu za TRA

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha...

READ MORE

Hamza Johari: Mageuzi ya Tekonolojia na AI Yanahitaji Maboresho ya Sheria za Anga

Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Hamza Johari amesisitiza juu ya umuhimu wa kutambua mabadiliko na mageuzi makubwa ya kiteknolojia kunakopelekea ongezeko la...

READ MORE

Simulizi ya Kusikitisha ya Punch the Monkey, Akataliwa na Mama Yake, Ateka Mitandao – Video

Punch the Monkey amekuwa gumzo mtandaoni baada ya video zake kuenea kwa kasi, zikimuonesha akiwa ameshikilia mdoli wake wa kitambaa...

READ MORE

Kamanda Mkuu wa Waasi wa M23 Auwawa Katika Shambulio la Drones Mashariki mwa DRC

Kamanda wa juu wa kundi la waasi la M23, Lieutenant-Colonel Willy Ngoma, ameuawa mapema Jumanne katika shambulio la drones karibu...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Afanya Ukaguzi wa Mradi wa Stendi Kuu ya Mabasi Arusha

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 25, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mwigulu Aonya Watumishi Kumiliki Vizimba Kwenye Masoko Ya Halmashauri

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaonya watumishi wa Halmashauri mbalimbali ambao wamekuwa wakichukua...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali Dhidi ya Uhalifu Dar, Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele – Video

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kihalifu ndani ya...

READ MORE

Kula Sahihi Wakati wa Ramadhani, Linda Afya Yako kwa Lishe Bora

  Katika kipindi hichi cha Ramadhani na Kwaresima nataka kuwapa tips za vyakula ambavyo mnatakiwa kupika kipindi hiki. Kama tunavyojua...

READ MORE

Ushuru mpya wa 10% wa Trump waanza kutekelezwa

Rais wa Marekani, Donald Trump, amezindua utekelezaji wa ushuru mpya wa 10% kwenye baadhi ya bidhaa za kuagizwa baada ya...

READ MORE

Dkt. Samia Afyatua Bastola Kuzindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo Dodoma – Video

 Dodoma, Februari 24, 2026 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Waziri wa Ulinzi Afunguka Walivyomnasa El Mencho Kupitia Mwanamke – Video

 Taarifa kubwa duniani kwa sasa ni kifo cha Kiongozi wa kundi la madawa ya kulevya Jalisco New Generation Cartel (CJNG),...

READ MORE

Video: Rais Samia Azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari 2026 amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi...

READ MORE

Mahakama Kuu Yagomea Ushahidi Mpya Dhidi ya Tundu Lissu

Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya jamhuri kuwasilisha mahakamani hapo notisi ya...

READ MORE

Vaso Psycho Sambamba Na Ushindi Mkubwa Kwa Wanaothubutu

Mambo yamebadilika kwa kila sehemu na hivyo ubunifu mpya unaletwa kila kukicha ili kukidhi uhitaji wa soko la sasa. Meridianbet...

READ MORE

Iran Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuhusu Mashambulizi na Mazungumzo ya Nyuklia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa onyo kali kwa Marekani kuwa nchi yake itajibu mashambulizi yoyote...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 24, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Majisafi Sinya–Namanga, Arusha

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya,...

READ MORE

Chalamila Asaini Kitabu Cha Maombolezo Kufuatia Kifo Cha Cardinali Pengo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Feb 23,2026 akiwa ameambatana na kamati ya usalama Mkoa, amesaini...

READ MORE

Ruwa’ichi Atangaza Ratiba ya Mazishi ya Kardinali Pengo, Waumini Waombwa Kujitokeza – Video

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, ametangaza kuwa heshima za mwisho kwa...

READ MORE

Mufti Aomboleza Kifo cha Kardinali Pengo Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph – Video

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, leo Februari 23, 2026 amefika katika Kanisa Kuu...

READ MORE

Tundu Lissu Apinga Ushahidi Mpya Katika Kesi ya Uhaini

Malumbano makali ya hoja yameibuka mahakamani katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...

READ MORE

Video: Ajali Kubwa Kwa Idd, Arumeru: Basi la Dar Express Lagongwa na Daladala

Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, baada ya basi la kampuni ya Dar Express...

READ MORE