×

Habari

Makamu wa Rais Amwakilisha Rais Samia Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu Dar (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Trump Atangaza Vita dhidi ya Iran, Milipuko Yaripotiwa Mashariki ya Kati, Iran Yajibu

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuanza kwa kile alichokiita “operesheni kubwa za kivita” dhidi ya Iran, akisema hatua hiyo...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Ashiriki mazishi ya Kardinali Pengo Pugu Dar (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Februari 28, 2026 ameshiriki mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi na Waziri Mkuu Washiriki Misa Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu, Dar -Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026...

READ MORE

Ligue 1, EPL, La Liga, Serie A – Odds Kubwa Leo Kwenye Meridianbet

Meridianbet siku ya leo wanasema hivi una nafasi ya kutimiza malengo yako endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet. Timu kutoka...

READ MORE

Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito – Video

Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali...

READ MORE

Mamia Washiriki Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu, Dar – Live

Mamia ya waombolezaji wamejitokeza asubuhi hii kushiriki Misa ya mazishi ya Kardinali Pengo katika eneo la Kituo cha Hija, Pugu,...

READ MORE

Ndege Iliyobeba Pesa Mpya Yaanguka barabarani Yaua 15, Watu Wagombea Pesa!

WATU 15 wafariki baada ya ndege ya kijeshi aina ya Hercules ya Jeshi la Anga la Bolivia kuanguka kwenye barabara...

READ MORE

Golden Matrix Group Sasa Kutambulika Kama Meridian Holdings Inc

Golden Matrix Group imetangaza rasmi kubadilisha jina lake na kuwa Meridian Holdings Inc, hatua inayoashiria mwanzo wa sura mpya ya...

READ MORE

Safari ya Utenzi na Heshima: Kumbukumbu ya Huduma ya Kardinali Pengo

Wimbo huu umetungwa na Christopher Makwaia, mwandishi na mtunzi anayejishughulisha na uandishi wa kazi za kifasihi zenye maudhui ya kiroho,...

READ MORE

Vijana Tanzania Hawajaathirwa na Changamoto ya Afya ya Akili – Ripotii

Ripoti mpya ya kimataifa imeitaja Tanzania kushika nafasi ya tano duniani kwa kuwa kizazi cha vijana ambao hawajaathiriwa na changamoto...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Kardinali Pengo (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu...

READ MORE

Samsung Yabadilisha  Viwango Vya Faragha Ya  Simu  Duniani

Kwa  Kuzinduab Galaxy  S26 Ultra Dar es Salaam, Tanzania – Februari 27, 2026:  Samsung Electronics imezindua rasmi Galaxy S26 series...

READ MORE

Chalamila Aandaa Iftar Maalum Kwa Wakazi Wa Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 27,2026 ameandaa Iftar maalum kwa wakazi wa Mkoa...

READ MORE

Askofu Mkuu Ruwa’ichi Aongoza Ibada ya Mwisho Kuaga Mwili Kardinali Pengo – (Picha+Video)

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap, akishirikiana na Askofu Msaidizi Henry Mchamungu, leo...

READ MORE

Makamu Wa Rais Aongoza Kilele Cha Tamasha La Kumbukuzi Ya Mashujaa Vita Vya Majimaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema Mashujaa wa Vita ya Majimaji wanapaswa...

READ MORE

Kardinali Rugambwa Aongoza Makardinali Kutolewa Heshima za Mwisho Mwili wa Pengo

Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, amewaongoza makardinali wenzake kutoa heshima za mwisho kwa...

READ MORE

Raoma Vodacom Wazindua Mfumo Wa Kidijitali,SOMO Chini ya Kampeni Ya Twende Zetu Darasani

27 Februari 2026 – Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya...

READ MORE

Waumini Wajitokeza Kuaga Mwili Kardinali Pengo Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – (Picha+Video)

  Waumini na viongozi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa Polycarp Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini...

READ MORE

Meridianbet Kuendeleza Biashara na Mshikamano wa Jamii Dar

Meridianbet inathibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kwa hatua thabiti ya kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia...

READ MORE

Watumishi wa Idara ya Afya Kwimba Wapatiwa Mafunzo ya Kutumia Gesi ya Kupikia

Mwanza: Watumishi wa idara ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na...

READ MORE

Mgogoro wa Kisiasa Somalia; Tuhuma dhidi ya Rais Mohamud Kuongoza kwa Maamuzi ya Upande Mmoja

Uwanja wa siasa nchini Somalia unashuhudia ongezeko la mvutano huku mwaka wa tatu wa muhula wa Rais Hassan Sheikh Mohamud...

READ MORE

Msanii Janka Rino Afariki Dunia Kwa Kifua Kikuu – Video

Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva na mwanzilishi wa kundi la LWP Majitu, pamoja na kuwa sehemu ya kundi la Maingizo...

READ MORE

TAKUKURU Temeke llivyochukulia Hatua Kero ya Wananchi Buza

Dar es Salaam: 27 Machi 2026, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa TAKUKURU wa Temeke jana...

READ MORE

Mwili Kardinali Pengo Ulivyowasili Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – (Video +Video)

Mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Pengo ulivyowasili katika viunga vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – Jimbo Kuu la Dar...

READ MORE

Prof. Shemdoe Ataka Mageuzi Ya Uchumi Wa Vijijini Kuhusisha Uchumi wa Buluu, Ufugaji, Misitu Na Mazao yake

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema ili mageuzi ya uchumi wa vijijini...

READ MORE

Historia ya Karimjee Hall na Familia Iliyochangia Uhuru wa Tanganyika

UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma unaitwa Karimjee Hall. Kwa kifupi, majina hayo...

READ MORE

Aliyekuwa Anawauza Wakenya Kujiunga Na Jeshi Urusi Akamatwa

Idara ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kuwarubuni raia...

READ MORE

Msingwa: Hatutavumilia Matumizi Mabaya ya Usajili wa Meli – Video

Serikali imethibitisha kuwa meli iliyokamatwa nchini El Salvador ilikuwa imesajiliwa Tanzania kupitia upande wa Zanzibar, huku ikieleza kuwa tayari hatua...

READ MORE

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Aongoza Futari ya NBC, Apongeza Kwa Mchango wa Maendeleo

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla jana aliwaongoza baadhi ya waislamu visiwani...

READ MORE

Puma Energy Tanzania Yaandaa Futari Lengo Ni Kuimarisha Ushirikiano Na Umoja

Dar-es-Salaam, 27 Februari 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Video: Polisi Kuhusu Mwenyekiti BAVICHA Kupotea – ”Amekimbia Kesi ya Mauaji”

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi rasmi kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne,...

READ MORE

Kafulila – ”Kardinali Pengo Aliamini Umoja wa Kitaifa Bila Kujali Upepo wa Kisiasa”

Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa...

READ MORE

Video: Serikali Ya Tanzania Yajibu Meli Iliyokamatwa Na Dawa Za Kulevya El Salvador

Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amezungumzia tukio la kukamatwa kwa meli ya FMS Eagle katika nchi ya El Salvador, baada...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Awasili Songea kwa Maadhimisho ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Majimaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 26...

READ MORE

Video: Maryam Bint Amran Foundation, Global Publishers Wazigusa Familia Zenye Uhitaji

Mkurugenzi wa Global Publishers na Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amekabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo vya...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Takukuru Kuchunguza Ubadhirifu Wa Fedha Jengo La DC Kiteto

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemtaka Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Manyara, Bahati Haule, kufanya uchunguzi wa kina na kuwasilisha...

READ MORE

Video: Magari Yagongana Uso kwa Uso Na Kuwaka Moto, Mmoja Afariki

Mtu mmoja amefariki dunia na watu wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana uso kwa uso na...

READ MORE

Magari Yaponea Chupu Chupu Kuzama Shimoni Baada ya Barabara Kupasuka – Video

 Magari mawili  yameponea chupuchupu  kuzama kwenye shimo kubwa lililopasuka mfuniko ghafla kwenye makutano ya barabara katika Jimbo la Nebraska,...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”

Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia...

READ MORE