×

Habari

Wasanii Nguli Wa Nyimbo Za Injili Kutumbuiza Tamasha La Pasaka

Wasanii nguli wa nyimbo za Injili kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuungana na waimbaji wa  Nyimbo za Injili hapa nchini kutumbuiza...

READ MORE

Vodacom Yaendeleza Mpango Wa Kapu La Vodacom Kupitia Kampeni Ya “Back to School” Kusaidia Elimu Nchini

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc eneo la Kawe na Bagamoyo Naomi Kasera (kulia) akikabidhi Kapu kwa Mzazi Fransisca Mosha...

READ MORE

Nilihangaika Kwa Miaka Mitatu Kwenye Ndoa Bila Kupata Mtoto, Mbinu Hii Ikanisaidia

Kwa miaka mitatu ya ndoa yangu, kila siku ilionekana kuwa changamoto isiyoisha. Nilikuwa na furaha ya ndoa na mume wangu,...

READ MORE

Trump Atuhumu Serikali ya Colombia Kuhusishwa na Biashara ya Dawa za Kulevya

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameibua mjadala mpana baada ya kudai kwamba huenda Jeshi la Marekani likachukua hatua za kijeshi...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Awasili Zanzibar Kwa Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili Zanzibar leo, Januari 4, 2026, kwa ziara ya...

READ MORE

Delcy Rodríguez Aapishwa Kuongoza Venezuela kwa Muda

Mahakama Kuu ya Venezuela imemteua Makamu wa Rais Delcy Rodríguez kuwa Rais wa Mpito wa nchi hiyo, kufuatia tangazo la...

READ MORE

Kamala Harris Amshambulia Donald Trump Kufuatia Kukamatwa kwa Maduro

Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Kamala Harris, amemshambulia vikali Rais Donald Trump kufuatia uamuzi wa serikali ya Marekani...

READ MORE

Polisi Wafunguka Ukweli wa Ajali ya Shilole Kigoma, Watoa Wito kwa Madereva

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetolea ufafanuzi taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan TikTok, zikidai kuwa msanii wa...

READ MORE

AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali

Kipa Djigui Diarra na wenzake wa Timu ya Taifa ya Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Video: ‘Wachawi Walinigeuza Fisi Nibebe Maiti – Nimeteseka Zaidi Ya Miaka 14’ – Mtumishi Mathayo Darema

Katika kijiji cha Balangda, wilayani Hanang’, mkoani Manyara, anaishi Mathayo Darema, mtumishi wa Mungu mwenye ulemavu ambaye miaka mitatu iliyopita...

READ MORE

Operesheni ya kijeshi Iliyoiwezesha Marekani kumteka Nicolas Maduro

Nchini Venezuela, usiku wa kuamkia Januari 3, vikosi vya Marekani vilimteka Rais Nicolas Maduro katika shambulio kubwa lililoitwa “Absolute Resolve,”...

READ MORE

Arsenal Yaendeleza Moto Ligi Kuu England Yaichapa Bournemouth 3–2

Arsenal imeendelea kuonesha ubabe kwenye Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi wa tano mfululizo, mara hii wakiichapa AFC Bournemouth...

READ MORE

Trump Asema Marekani Itaiweka Venezuela Chini ya Usimamizi wa Mpito

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kwamba nchi yake itaiendesha Venezuela kwa kipindi cha mpito hadi itakapohakikisha kuna uhamisho wa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Sangu, Balozi UAE Wajadili Fursa za Ajira kwa Watanzania

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa...

READ MORE

Rais Samia Aizawadia Taifa Stars Milioni 500 Baada ya Kufuzu 16 Bora AFCON

Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeizawadia timu ya Taifa (Taifa Stars) kiasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akutana na Viongozi wa TAMISEMI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,...

READ MORE

Marekani Yafanya Shambulio Kijeshi Venezuela na Kumkamata Rais Maduro

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Marekani imefanya mashambulizi makubwa ya kijeshi dhidi ya Venezuela na kufanikiwa kumkamata Rais...

READ MORE

Museveni na Bobi Wine Wapishana Kauli, Joto la Uchaguzi Uganda Laanza Kupanda

Huku zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Uganda kufanyika Januari 15, Rais Yoweri Museveni na mpinzani wake...

READ MORE

Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma

Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed amepata ajali ya gari akiwa njiani...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amefika kukagua ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya, ambayo miezi kadhaa iliyopita...

READ MORE

Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali, Arudishwa Gerezani

Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia, wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji...

READ MORE

Polisi Waendelea na Uchunguzi Ajali ya Lori Morogoro – Video

Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa kwa umma kuwa linaendelea na uchunguzi wa ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Desemba 31,...

READ MORE

Baada ya Miezi 10 Gerezani Sudan Kusini, Dereva Juma Maganga Aachiwa Huru – Video

Baada ya miezi 10 akiwa gerezani nchini Sudan Kusini, dereva wa magari makubwa wa mizigo, Juma Ally Maganga (45), ameachiliwa...

READ MORE

Boti Ya Wahamiaji Yapinduka Gambia — Wengi Waokolewa, Wengine Watafutwa

Serikali ya Gambia imethibitisha kisa cha kusikitisha ambapo Boti iliyokuwa imebeba Wahamiaji zaidi ya 200, imeripotiwa kupinduka usiku wa manane...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Hakikisheni Mradi Wa Bwawa La Maji Kidunda Hausimami – Dkt Mwigulu

WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa...

READ MORE

Video: PM Mwigulu Akagua Athari za Mvua Kidete, Atoa Hakikisho la Serikali

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete,...

READ MORE

Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi

Zohran Mamdani ameanza rasmi kazi yake kama Meya wa Jiji la New York, akiahidi kuubadili utendaji wa serikali ya jiji...

READ MORE

Wakazi Wa Lindi Waendelea Kusherehekea Mwaka Mpya Na Makapu Ya Vodacom

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Lindi  Omary Kilumanga (wa nne kulia) akizungumza na wateja pamoja na wakazi wa...

READ MORE

PM Mwigulu Aanza Ziara Morogoro, Akagua Mradi Mkubwa wa Bwawa la Kidunda

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 ameelekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ambapo atakagua maendeleo ya...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi, Oktoba hadi Desemba Yakusanya Sh. Trilioni 9

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13...

READ MORE

AFCON Yazua Balaa: Gabon Yasimamisha Timu, Aubameyang Afungiwa na Kocha Atimuliwa!

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia...

READ MORE

Watu 40 Wafariki, Zaidi ya 100 Wajeruhiwa Mkesha wa Mwaka Mpya – Video

 Mlipuko mkubwa uliotokea mapema alfajiri umeikumba baa ya Le Constellation katika kituo cha kuteleza kwenye barafu cha Crans-Montana, nchini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti leo Januari 2,2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mtaalamu Atoa Njia Salama za Kuepuka Radi, Mwongozo wa Kutokufa Upo Hapa

Mtaalamu wetu juu ya Fizikia ya Anga hapa anatujuza na huku akitutahadharisha kuhusu namna nzuri ya kuchukua tahadhari wakati hali...

READ MORE

Rais Mwinyi Awataka Wananchi Washiriki Michezo kwa Afya na Maendeleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na...

READ MORE

Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0

Timu ya Bupandwa FC imeibuka mshindi wa Bonanza la Shigongo la Kufunga Mwaka, baada ya kuichabanga Katwe FC kwa mikwaju...

READ MORE

TRC Yasitisha Safari za Treni ya SGR Kati ya Dodoma na Morogoro

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kusitisha safari za treni ya mwendokasi (SGR) kwa ruti ya Dodoma – Morogoro kwa...

READ MORE