×

Habari

TFF Yakiri Kudaiwa Milioni 76

Shirikisho la Soka nchini TFF limesikitishwa na utaratibu uliotumiwa na Uongozi wa Shule ya Gilbert Bayi wa kudai stahiki zake...

READ MORE

Waliovamia Bunge la Marekani Wahukumiwa

KWA mara ya kwanza hukumu ya kifungo cha gerezani imetolewa kwa mtu aliyehusika na uvamizi wa jengo la bunge na...

READ MORE

Majaliwa: Tuchukue Tahadhari ya Corona, Tupige Nyungu

WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa amewasisitiza Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Amewataka waendelee kuzingatia mambo...

READ MORE

Kongamano la Katiba! Mbowe, Wenzake Wakamatwa Mwanza

KIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la...

READ MORE

Watuhumiwa 5,429 Wakamatwa

JESHI la Polisi nchini Tanzania, linawashikilia watu 275 kwa tuhuma za mauaji, yaliyotokea nchi nzima kuanzia Mei hadi Julai 2021....

READ MORE

Rais Ashambuliwa kwa Kisu Msikitini

Rais wa Mali, Kanali Assimi Goïta yuko salama baada ya mshambuliaji aliyekuwa amejihami kwa kisu kumshambulia katika msikiti wa Bamako-Grande...

READ MORE

Mahakama Yamwachia Kulthum Mansoor Wa TAKUKURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia kwa dhamana aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Mikusanyiko Yapigwa Marufuku Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti TCU Afariki Dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu tanzania (TCU), Prof Mayunga Nkunya, amefariki dunia leo Jumanne, Julai 20, 2021 katika...

READ MORE

Wanafunzi 11 Wakamatwa kwa Kuchoma Moto Shule

Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia wanafunzi 11 akiwemo msichana mmoja kwa tuhuma za kuchoma moto Shule ya Sekondari Geita...

READ MORE

Hii Ndiyo Silaha Iliyotumika Mauaji Lemax Sinza

Miongoni mwa matukio ya kutisha wikiendi iliyopita ni lile la mfanyabishara Alex Korosso almaarufu Simba kumuua mwenzake, Gift na yeye...

READ MORE

Waziri Mkenda Atinga Bandarini Dar, Atoa kauli Hii

  Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amewasili nchini akitokea nchini Morocco ambapo pamoja na mambo mengine katika ziara...

READ MORE

Video: Shahidi Kesi Ya Sabaya Ashindwa Kumalizia Ushahidi Wake

 Shahidi namba mbili katika kesi inayomkabili Lengai ole Sabaya na Wenzake Numan Jusin ameshindwa leo kufika mahakamani. ⚫️ Kwa...

READ MORE

Auawa kwa Kupigwa na Sururu

MTU mmoja ambae jina lake halijatambulika amefariki dunia kwenye vurugu zilizo tokea baada ya mtu huyo kufika na chuma cha...

READ MORE

Dar: Jambazi Auawa Akipora Simu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limemuua mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi baada ya kumpora simu mama aliyekuwa akitembea...

READ MORE

Usajili Wafanyika Kampeni ya Raise The Bar ya SBL

Mmoja kati ya wateja waliofika katika banda lililowekwa kwa ajili ya kuwaelekeza wenye mabaa namna ya kujisajili katika mpango wa...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Avutia Washiriki wa Mbio za Zanzibar International Marathon

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza mamia ya wakimbiaji walioshiriki mbio...

READ MORE

Jinsi Bolt Iboresha Maisha Kupitia Usafiri wa Mtandao

“Nilivutiwa kujiunga na Bolt baada ya kuona marafiki zangu wakifanikiwa na huduma hiyo. Sijutii uamuzi huo. Katika miaka mine  ambayo...

READ MORE

Shahidi Akana Kutapeliwa na Sabaya “Simtambui” – Video

Shahidi Mohammed Saadi kwenye kesi ya unyang’anyi kutumia silaha inayomkabili aliekuwa DC wa Hai Lengai Sabaya ameseme aliwaona tu kwa...

READ MORE

Shahidi Afunguka Alivyojificha Msikitini Kisa Sabaya – Video

Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo imeanza kusikilizwa...

READ MORE

Dar: Watumishi Watatu wa Serikali Wakutwa na Dawa za Kulevya

TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE...

READ MORE

Kamanda Muliro Ang’aka Ataja Wanaopaswa Kumiliki Bastola

Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna vigezo...

READ MORE

Mbowe Ataka Chanjo ya Corona Iwe Lazima kwa Watanzania Wote

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumatatu, Julai 19, 2021 ameongea na Waandishi wa Habari...

READ MORE

Ukimbizi, Uasi Hadi Mke wa Rais

SAFARI ya maisha ya mke wa Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye; Angeline Ndayubaha Ndayishimiye ni ndefu, baada ya kuzaliwa Juni 18,...

READ MORE

Sabaya Kortini Tena, Kesi Yake Kusikilizwa Siku 14

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu na Daniel Mbula, leo wamepandishwa kwa...

READ MORE

Tanki la Mafuta Laua Watu 13

Watu wapatao 13 wamefariki dunia baada ya tangi la mafuta ya petroli kulipuka huko magharibi mwa Kenya, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Kalemani Atoa Siku 90 Maisome Kupata Umeme wa Tenesco, Ashusha Bei

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 90 kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na wakala wa umeme vijijini...

READ MORE

Mashuhuda Waanika Tukio la Aliyeua Kisha Kujiua kwa Risasi

MASHUHUDA wamesimulia kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya...

READ MORE

Achana na Tozo ya Miamala, Tozo Mpya ya Laini za Simu Kuanza Agosti

  WAKATI kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia...

READ MORE

Hili Ndo Gari la Gharama Zaidi Duniani, Sawa na Nyumba 600

KUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maelekezo Sakata la Tozo za Miamala – Video

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 19, ametoa taarifa ya miamala ya simu na kusema...

READ MORE

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Konde

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha Faki kujipatia kura...

READ MORE

Ditopile: Tumuunge Mkono Rais Samia Tozo Miamala ya Simu

MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka watanzania nchini kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa...

READ MORE

Ufaransa Waandamana Kupinga Chanjo ya Corona

ZAIDI ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa....

READ MORE

Katambi Afunguka Makato Miamala ya Simu

MBUNGE wa Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amewataka wananchi wasilalamike juu ya makato ya miamala ya simu na ongezeko la bei...

READ MORE

Aliyeua na Kujiua Dar Alikuwa Mhasibu

ALEX Korosso kwa jina maarufu la Simba anayedaiwa kuua na kisha kujiua, alikuwa mhasibu wa Chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA),imeelezwa....

READ MORE

Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza

Edga Kombe ambaye ni mdogo wa Marehemu Gift Mushi, analiyeuawa kwa kupigwa risasi Sinza mkoani Dar es Salaam juzi, Julai...

READ MORE

Spika Mstaafu Anne Makinda Aipongeza HKMU Kwa Kuendelea Kujipanua

  SPIKA mstaafu, Anne Makinda amepongeza upanuzi unaofanywa na Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) maeneo ya Boko...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Sh. Mil 68 Kwa Mkoa wa Mara

Benki ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 68 kwa ajili ya kusaidia Sekta za Elimu...

READ MORE

Live: Shigongo Anazungumza na Wanahabari Muda Huu

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala...

READ MORE