×

Habari

Airtel Yaendelea Kupanua Wigo wa Huduma za Mawasiliano kwa Kujenga Minara 5

22 Disemba, 2025. Airtel Tanzania imezindua rasmi minara 5 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Kigoma, Singida, Kilimanjaro, Geita na Morogoro. Minara...

READ MORE

OUT Yatangaza Ajira Mpya 15 za Tutorial Assistant Kanda Mbalimbali

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa kada ya Tutorial Assistant katika fani tofauti, kwa...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaendelea Kugawa Kapu  La Sikukuu Mkoani Kagera

Timu ya Vodacom Tanzania  kanda ya ziwa ikiendelea kusambaza upendo kwa wateja wake kwa kugawa Kapu la Vodacom ikiwa ni...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Libya afariki katika ajali ya ndege nchini Uturuki

Waziri Mkuu wa Libya ametangaza kwamba Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo, Jenerali Mohammed Ali Ahmed al-Haddad, amefariki katika ajali...

READ MORE

Inspector Haroun atoa nyimbo mpya AI na Maisha Ndo Haya, Afunguka Mapaya – Video

Msanii wa Bongo Flava, Inspector Haroun, amesema alimshirikisha msanii Ibraah katika wimbo wake Final Sub kutokana na nidhamu, heshima na...

READ MORE

Asia Mustapha Afariki Baada ya Kuishi Miaka 20 Bila Figo

Habari mbaya zilizotufikia asubuhi hii ya Desemba 24, 2025 zinaeleza kuwa, mwanadada Asia Mustapha aliyesumbuliwa na figo kwa zaidi ya...

READ MORE

Naibu Waziri aagiza tathmini ya kina kuhusu uendeshaji wa Kituo cha Mabasi Magufuli

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, ameagiza kuundwa kwa timu maalum itakayofanya tathmini ya...

READ MORE

Africup Spinners Zazinduliwa Mubashara betPawa Wakati AFCON Inapamba Moto

Dar es Salaam. Kadri mashindano makubwa ya soka barani Afrika yanavyoendelea kupamba moto mwezi huu, mashabiki kote barani wanaingia kwenye...

READ MORE

Vyakula 5 vya Kuepuka Kula Vibichi Ikiwa Una Mafuta Kwenye Ini

Wataalamu wa afya wanashauri watu wenye ugonjwa wa mafuta kwenye ini (fatty liver) kuepuka kula baadhi ya vyakula vikiwa vibichi,...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Kuimarishwa kwa Usalama na Makusanyo Mpaka wa Mutukula

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amehimiza ushirikiano kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo cha...

READ MORE

Polisi Wamshikilia Mtu Mmoja kwa Tuhuma za Kumuua Mtoto wa Jirani

Jeshi la Polisi linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kumuua mtoto wa jirani yake katika tukio lililotokea katika eneo la...

READ MORE

Rais Samia Akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mwigulu Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...

READ MORE

Airtel Yawataka Wanavyuo Kutumia Fursa ya Kimtandao Kuwasaidia Kuboresha Taaluma Zao

Kampuni ya Airtel Tanzania imewataka wanavyuo nchini kutumia fursa ya kimtandao katika kuwasaidia kuboresha taaluma zao pindi wawapo vyuoni. Hayo...

READ MORE

Polisi Wakana Taarifa za Gari la Polisi Kusababisha Kifo cha Mwananchi Kongowe – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zinazodai kuwa...

READ MORE

Serikali Yapongeza Uzalishaji wa Magari ya Umeme ya Ndani

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, akiwa ameambatana na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera, Utafiti na Ubunifu, Audax Bahweitima,...

READ MORE

Taifa Stars Yapambana na Nigeria Katika Mechi Ngumu ya Kundi

Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa...

READ MORE

Kwagilwa Aagiza Kukamatwa Mkandarasi Na Mhandisi Mshauri Wa Mradi Wa Barabara Ya Kitunda–Kivule–Msongola

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, amemuagiza...

READ MORE

Polisi Waendelea Kuimarisha Ulinzi Nchini Kuelekea Sikukuu – Video

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwajulisha wananchi kuwa, leo ni takribani siku ya kumi tangu kutolewa kwa taarifa ya hali...

READ MORE

Wakazi wa Dodoma Wahamasishwa Kuichangamkia Huduma ya Lipa kwa Simu ya Mixx

Dodoma, Tanzania – Kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imewahamasisha wakazi wa Dodoma kuendelea kutumia huduma...

READ MORE

Airtel Kunogesha Msimu wa Sikukuu na “Santa Mizawadi”

Airtel Tanzania inaendelea kuwafikia na kuwasogezea wateja wake kampeni ya sikukuu ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”, ikiwa ni...

READ MORE

AFCON 2025: Morocco Yafungua Pazia, Vigogo Waanza Vita ya Ubingwa

Mashindano ya AFCON yamekuja maalumu kwaajili yako ili uweze kujikwamua kiuchumi. Timu kibao zipo kwaajili yako leo hivyo ingia kwenye...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yakabidhi Kapu La Sikukuu Moshi

Meneja Mauzo wa Vodacom wilaya ya Hai, Gallus Massama (kulia), akikabidhi kapu Vodacom kwa ajili ya sikukuu kwa mkazi wa...

READ MORE

Dkt Mwigulu Aagiza Ziundwe Timu Za Mikoa Za Wakaguzi Wa Miradi – Video

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Waziri wa Nchi (OWM-TAMISEMI) awaandikie barua Wakuu wote wa Mikoa ili waunde timu za...

READ MORE

Airtel Yapanua Wigo wa Huduma za Mawasiliano kwa Kujenga Minara Mitano

24 Desemba 2025: Airtel Tanzania imezindua rasmi minara 5 katika maeneo mbalimbali ikiwemo Mkuranga, Kilimanjaro, Dodoma, Karatu, na Simiyu. Minara...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Amwakilisha Rais Samia Mkutano Wa Dharura Entebbe, Uganda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Waziri Kombo  Aongoza  Ujumbe  Wa  Tanzania  Kushiriki  Katika Mkutano  Wa  Pili Wa Jukwaa  La  Mawaziri  Wa Mambo Ya  Nje Wa  Nchi Za Afrika  Na  Urusi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki...

READ MORE

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Akutana na Kassim Majaliwa – Picha

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi. Mheshimiwa Dkt....

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Lindi-Ruangwa-Nachingwea

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 21, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Lindi-Ruangwa-...

READ MORE

Daktari Afariki Baada ya Kuanguka Kutoka Ghorofa ya Tano ya Hospitali

Biratnagar, Desemba 21 — Daktari anayefanya mafunzo kwa vitendo (intern), Amit Yadav, amefariki dunia leo Jumapili asubuhi baada ya kuanguka...

READ MORE

CCM Yapeleka Tabasamu Kwa Watoto Wanaolelewa Malaika Kids

3 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimepeleka tabasamu kwa watoto wanaolelewa Kituo cha kulea watoto wanaishi katika mazingira magumu cha Malaika Kids...

READ MORE

Hatimaye Katavi Yametimia: Watalii Wa Ndani Na Nje Waanza Kumiminika

Muda mfupi baada ya Uzinduzi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu na TANAPA – Msimu wa pili ndani ya Hifadhi...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Kuharakishwa kwa Mradi wa Bandari ya Ngongo Lindi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Mchemba leo Desemba 21, 2025 amekagua hali ya bandari ya Barazani mkoani Lindi na kuiagiza Mamlaka...

READ MORE

Waziri Simbachawene Awakilisha Waziri Mkuu Katika Ibada Karagwe

Karagwe, Kagera – Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewasili wilayani Karagwe mkoani Kagera kumuwakilisha Waziri Mkuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa Aagwa kwa Heshima Kubwa Ruangwa

Jumamosi Desemba 20, 2025, wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wameandaa hafla maalum ya kumshukuru na kumuaga aliyekuwa Mbunge...

READ MORE

Katibu Mkuu: OSHA Ina Nafasi Muhimu ya Kuwezesha Shughuli za Uzalishaji

Wajumbe wa Baraza la OSHA wakifuatilia majadiliano mbalimbali yaliowasilishwa katika kikaocha Tano cha Baraza la Tano la wafanyakazi wa OSHA...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Airtel Tanzania Yazindua Kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”

Dar es Salaam, 19 Desemba 2025 :KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua rasmi kampeni ya “Sikukuu Imenyooka na Airtel Santa Mizawadi”,...

READ MORE

Watanzania 8 Wavuna Milioni 12 Droo ya Pili ya ‘Magifti ya Mixx Pesa’

Dar es Salaam, Tanzania – Kampuni inayotua huduma za kifedha kidijitali, Mixx, leo imekabidhi kiasi cha shilingi milioni 12 kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Akagua Mradi Unaojegwa Mradi Wa LNG na TPDC, Lindi

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 20, 2025 amekagua maendeleo ya mradi wa shule mpya ya msingi ya Likong’o...

READ MORE

Ofisi za TRA Zipo Wazi Nchi Nzima Kukuhudumia Jumamosi ya Leo, Desemba 20, 2025

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuwa ofisi zake zote nchini zitakuwa wazi leo Jumamosi, Desemba 20, 2025, ikiwa ni...

READ MORE