×

Habari

Utapeli kutumia simu za mkononi kuendelea kudhibitiwa

MATAPELI wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu kwa makosa ya...

READ MORE

MTOTO WA DEREVA ANUSURIKA KIFO AKIENDESHA GARI LA SERIKALI

GARI ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima,  jana lilipata ajali mbaya iliyosababishwa na mtoto wa dereva wake anayedaiwa...

READ MORE

SWAHILIFLIX Inaweza Kuwajenga au Kuwabomoa Bongo Muvi!

HIVI karibuni kampuni mpya ya kusambaza kazi za wasanii wa filamu ilianzishwa ambapo imewachukua mastaa mbalimbali wa fani hiyo ili...

READ MORE

VIDEO: DINI YA AJABU YAIBUKA DAR, WAUMUNI WAKE HAWAAMINI KIFO!

DUNIA ina mambo! Ukiambiwa kuna imani ya dini inayofundisha waumini wake kwa kutumia vitabu viwili vitakatifu vya Biblia na Quran...

READ MORE

DJ Maarufu Kutoka Sauz Kutua Global Radio Jumatatu

UKIFIKA nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kisha ukaulizia DJ’s wakali ni wazi utatajiwa DJ Tira, Black Coffee, DJ Oskido, DJ Fresh...

READ MORE

Basi la Hood lapata Ajali Uchira Moshi leo

Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali leo Jumapili,...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAPILI, AGOSTI 4, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE TABORA

WATU wawili raia wa Afrika Kusini wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea mapema asubuhi ya leo majira ya saa moja...

READ MORE

VIDEO: RC MAKONDA AWAPA ULAJI WACHONGA VINYAGO NA WACHORAJI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Agosti 3, 2019 ametangaza akiwa eneo la Mwenge jijini...

READ MORE

Kigogo Wizara ya Fedha Aliyejinyonga Azikwa Karagwe

MWILI wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi Wizara ya Fedha na Mipango, Leopold Lwajabe,  umezikwa leo Jumamosi Agosti 3, 2019,  katika kijiji...

READ MORE

Zahera akoshwa na mabao ya Sibomana, Balinya

  LICHA ya kukaa kwa siku chache na wachezaji wake kambini Morogoro, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR...

READ MORE

VIDEO: LUKUVI Amrejeshea Kiwanja BRIGEDIA Aliyedhulumiwa

 WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi, leo Agosti 03, 2019,  amemrejeshea kiwanja Brigedia Mstaafu, Fransis Mbenna, alichokuwa...

READ MORE

DStv Yazindua Msimu Mpya wa ‘Soka Mwanzo Mwisho’!

VUGUVUGU la msimu mpya wa soka linazidi kupamba moto huku maelfu ya mashabiki wa soka kote nchini wakisubiri kwa hamu...

READ MORE

Yusuph Manji Adaiwa Kukamatwa na Polisi Marekani

BILIONEA maarufu hapa nchini na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji,  inasemekana yupo chini ya mikono ya polisi tangu...

READ MORE

Ofisa TRA Adakwa na PCCB Kwa Kuomba Rushwa Mil. 50

OFISA Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Elias Yunus (38), anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru),...

READ MORE

Simba SC yanasa video ya wapinzani wao Caf

KOCHA wa Simba Patrick Aussems tayari amekabidhiwa video za wapinzani wao UD Songo ya kutoka Msumbiji. Simba itavaana na UD...

READ MORE

WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU BAJAJ, BODABODA KULIPISHWA FAINI PAPO KWA PAPO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku Bajaji na Bodaboda kulipishwa faini papo kwa papo wanapofanya...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta apokea Tausi wanne Aliopewa na Rais Magufuli

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana, August 2, 2019 amemkabidhi Rais Uhuru Kenyatta zawadi ya Tausi 4 aliyopewa...

READ MORE

Shule ya Viziwi Buguruni Wapewa Vifaa na Kampuni ya AMC

KAMPUNI ya magari ya AMC Tanzania imepeleka furaha shule ya Viziwi Buguruni baada ya kukabidhi kwa uongozi wa shule bidhaa...

READ MORE

NMB KUWAWEZESHA WAKULIMA, YADHAMINI MAONESHO YA NANENANE SIMIYU

  BENKI ya NMB imesema kuwa itahakikisha inaendeleza jitihada zake kwa wakulima za kuwawezesha kadri wanavyohitaji kulingana na mazao yao...

READ MORE

Majibu ya DNA ya Naomi kutoka kesho

WAKATI familia ikiwa inategemea majibu ya DNA ya marehemu ndugu yao, Naomi Marijani, yatoke leo, hali imekuwa tofauuti baada polisi...

READ MORE

Mkude: Kwa muziki wa Shiboub kazi ipo

KIKOSI cha Simba kimerejea nchini juzi Jumatano kikitokea Afrika Kusini kilipokuwa kimeweka kambi yake ya wiki tatu ya kujiandaa na...

READ MORE

‘Yesu’ Atua Kenya, Azua Taharuki!

SERIKALI ya Kenya imemkamata mchungaji mmoja nchini humo aliyemleta Yesu bandia na kuwadanganya waumini wake kuwa Yesu karudi. Yesu huyo...

READ MORE

VIDEO: KUAGWA KIGOGO ‘ALIYEJINYONGA’, MAMA AISHIWA NGUVU!

MWILI wa aliyekuwa mtumishi Wizara ya Fedha, Leopold Kwemba Lwajabe, aliyedaiwa kujinyonga siku chache zilizopita,  umeagwa jana Agosti 1, 2019, ...

READ MORE

VIDEO: MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA ‘MO’ DEWJI

  RAIS John Magufuli,  leo Agosti 1, 2019, amefungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi na ngano cha 21st Century...

READ MORE

VIDEO: BEKA IBROZAMA NDANI YA GLOBAL RADIO

Mwanamuziki Beka Ibrozama, leo Bongo 255  anatambulisha ngoma zake mpya mbili alizozitoa kwa mkupuo zinazoitwa Mbali na Mahabuba. 

READ MORE

MSANII-DIWANI BABA LEVO AHUKUMIWA JELA MIEZI MITANO

DIWANI wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo, amehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela...

READ MORE

VIDEO: ONA MAGUFULI ALIVYOPIGA PUSHAPU LEO AIRPORT, WATU HAWAJAAMINI!

 Rais Dkt John Magufuli, leo Agosti 01, anazindua jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa...

READ MORE

VIDEO: JPM AZINDUA JENGO ‘TERMINAL 3’ UWANJA WA NYERERE

 RAIS John Magufuli leo Alhamisi Agosti Mosi, 2019, amezindua  rasmi jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Julius...

READ MORE

NMB yauza Hati Fungani za Bil.83.3/=

    BENKI ya NMB, imetangaza matokeo ya mauzo ya toleo la tatu la programu ya hati fungani ya benki...

READ MORE

VIDEO: Aliyepona Akili Amweleza Lukuvi Alivyodhulumiwa Nyumba

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi,  amemrejeshea mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, Ramadhani Sudi Balega,...

READ MORE

Mabao Yampagawisha Balinya Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mganda Juma Balinya amefunguka kuwa anafurahishwa na kasi yake ya kupachika mabao ambayo amekuwa nayo katika mechi...

READ MORE

HUKU LIGI IKIKARIBIA… FIRST ELEVEN YANGA HII HAPA

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kikosi kilichoanza kwenye mchezo wa jana Jumanne ndiyo kikosi chake cha msimu huu.  ...

READ MORE

Kichuya: Narejea Tanzania kukipiga

WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya ameweka wazi kwamba baada ya muda wake kumalizika ndani ya klabu ya ENNPI...

READ MORE

Ajibu, Kahata wapigwa ‘stop’ Simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amewataka viungo wake kupiga pasi za haraka wakati wakiwa na mpira wakishambulia huku...

READ MORE

ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA

AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga. ...

READ MORE

Kumpata Samatta sasa Bilioni 53

INAELEZWA uongozi wa klabu ya KRC Genk umeamua kuongeza tena dau kwa timu zinazomtaka mshambuliaji wake, Mtanzania Mbwana Samatta kutoka...

READ MORE

Simba Yamrejesha Okwi Kikosini

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ambaye hivi karibuni alitangaza kuachana na klabu hiyo, kuna uwezekano mkubwa akarejea tena...

READ MORE

Chid Benz, Mr. Blue, Mobeto Uso kwa Uso Dar Live

PATA picha kwa mara ya kwanza jukwaani unamuona msanii mpya wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto pembeni yake Chid Benz na...

READ MORE

Uhamiaji Yafunguka Kushikiliwa Mwandishi Erick Kabendera

SERIKALI kupitia Idara ya Uhamiaji imetoa ufafanuzi kuhusu mwandishi wa kujitegemea, Erick Kabendera, baada ya kusambaa kwa taarifa kwenye vyombo...

READ MORE