×

Habari

KAMISHNA MAGEREZA, AWAVISHA VYEO MAOFISA DAR, PWANI

 KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo,  kuwa Kamishina Msaidizi wa...

READ MORE

Tanzania, Uganda Kujenga Umeme wa Maji Kikagati-Murongo

SERIKALI za Tanzania na Uganda zinatekeleza ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa Kikagati-Murongo, uliopo kwenye mto Kagera...

READ MORE

HAUSIGELI ANAYEDAIWA KUMUUA bosi WAKE KWA SHOKA AHENYA

MIONGONI mwa kesi zenye msisimko wa aina yake na simulizi ya kutisha ni ile ya mauaji inayomkabili aliyekuwa mfanyakazi wa...

READ MORE

Mugabe alazwa hospitali Singapore

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amelazwa hospitalini nchini Singapore, amesema Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa, katika taarifa aliyotoa...

READ MORE

BREAKING NEWS: NDEGE NDOGO YA ABIRIA YAANGUKA MAFIA PWANI

  NDEGE ndogo ya abiria (5H-NOW) iliyokuwa inatokea Zanzibar-Dar es Salaam  kisha kwenda Mafia imeanguka na kuwaka moto maeneo ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU MGENI RASMI SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO

SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na...

READ MORE

Mtoto wa Dereva wa RC Aliyepata Ajali Afariki Dunia

MTOTO wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kasobi Shida ( 26), aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

READ MORE

Balinya, Tshishimbi wafunika utambulisho Yanga

MASTAA wa Yanga, straika Juma Balinya na kiungo Papy Tshishimbi, jana walishangiliwa kwa shangwe nyingi zaidi wakati majina yao yakitajwa...

READ MORE

Kizaazaa ‘mti wa mikosi’ Dar!

MTI aina ya ‘Terminalia Catappa’, unaodaiwa kuwa wa mikosi, umezua kizaazaa upya baada ya watu mbalimbali kuendelea kuukata katika maeneo...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WANAJUMUIYA YA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amefungua maonesho ya wiki ya viwanda kwa nchi wanachama wa...

READ MORE

Baada ya kifo cha Sir Chande BOSI MPYA FREEMASON BONGO ashangaza

MASHARTI ya kumuona bosi mpya wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki ambaye amechukua mikoba ya aliyekuwa kiongozi kabla...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Rugazia Afariki Dunia

JAJI Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania,  Projestus Aloyce Rugazia (pichani),  amefariki dunia Agosti 04, 2019 akiwa anapatiwa matibabu katika...

READ MORE

Erick Kabendera asomewa mashtaka mahakamani

MWANDISHI wa habari Tanzania Erick Kabendera leo, Agosti 5, 2019, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya ya kosa la kimtandao baada...

READ MORE

MSANII WA BOBI WINE ATEKWA NA KUUAWA KIKATILI

MWANAMUZIKI wa nchini Uganda, Ziggy Wine,  ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’  ya mwanamuziki/mwanasiasa  Bobi Wine,  amefariki dunia usiku...

READ MORE

Utapeli kutumia simu za mkononi kuendelea kudhibitiwa

MATAPELI wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu kwa makosa ya...

READ MORE

MTOTO WA DEREVA ANUSURIKA KIFO AKIENDESHA GARI LA SERIKALI

GARI ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima,  jana lilipata ajali mbaya iliyosababishwa na mtoto wa dereva wake anayedaiwa...

READ MORE

SWAHILIFLIX Inaweza Kuwajenga au Kuwabomoa Bongo Muvi!

HIVI karibuni kampuni mpya ya kusambaza kazi za wasanii wa filamu ilianzishwa ambapo imewachukua mastaa mbalimbali wa fani hiyo ili...

READ MORE

VIDEO: DINI YA AJABU YAIBUKA DAR, WAUMUNI WAKE HAWAAMINI KIFO!

DUNIA ina mambo! Ukiambiwa kuna imani ya dini inayofundisha waumini wake kwa kutumia vitabu viwili vitakatifu vya Biblia na Quran...

READ MORE

DJ Maarufu Kutoka Sauz Kutua Global Radio Jumatatu

UKIFIKA nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kisha ukaulizia DJ’s wakali ni wazi utatajiwa DJ Tira, Black Coffee, DJ Oskido, DJ Fresh...

READ MORE

Basi la Hood lapata Ajali Uchira Moshi leo

Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali leo Jumapili,...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAPILI, AGOSTI 4, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE TABORA

WATU wawili raia wa Afrika Kusini wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea mapema asubuhi ya leo majira ya saa moja...

READ MORE

VIDEO: RC MAKONDA AWAPA ULAJI WACHONGA VINYAGO NA WACHORAJI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Agosti 3, 2019 ametangaza akiwa eneo la Mwenge jijini...

READ MORE

Kigogo Wizara ya Fedha Aliyejinyonga Azikwa Karagwe

MWILI wa aliyekuwa Ofisa Mwandamizi Wizara ya Fedha na Mipango, Leopold Lwajabe,  umezikwa leo Jumamosi Agosti 3, 2019,  katika kijiji...

READ MORE

Zahera akoshwa na mabao ya Sibomana, Balinya

  LICHA ya kukaa kwa siku chache na wachezaji wake kambini Morogoro, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR...

READ MORE

VIDEO: LUKUVI Amrejeshea Kiwanja BRIGEDIA Aliyedhulumiwa

 WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi, leo Agosti 03, 2019,  amemrejeshea kiwanja Brigedia Mstaafu, Fransis Mbenna, alichokuwa...

READ MORE

DStv Yazindua Msimu Mpya wa ‘Soka Mwanzo Mwisho’!

VUGUVUGU la msimu mpya wa soka linazidi kupamba moto huku maelfu ya mashabiki wa soka kote nchini wakisubiri kwa hamu...

READ MORE

Yusuph Manji Adaiwa Kukamatwa na Polisi Marekani

BILIONEA maarufu hapa nchini na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji,  inasemekana yupo chini ya mikono ya polisi tangu...

READ MORE

Ofisa TRA Adakwa na PCCB Kwa Kuomba Rushwa Mil. 50

OFISA Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Elias Yunus (38), anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru),...

READ MORE

Simba SC yanasa video ya wapinzani wao Caf

KOCHA wa Simba Patrick Aussems tayari amekabidhiwa video za wapinzani wao UD Songo ya kutoka Msumbiji. Simba itavaana na UD...

READ MORE

WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU BAJAJ, BODABODA KULIPISHWA FAINI PAPO KWA PAPO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku Bajaji na Bodaboda kulipishwa faini papo kwa papo wanapofanya...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta apokea Tausi wanne Aliopewa na Rais Magufuli

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana, August 2, 2019 amemkabidhi Rais Uhuru Kenyatta zawadi ya Tausi 4 aliyopewa...

READ MORE

Shule ya Viziwi Buguruni Wapewa Vifaa na Kampuni ya AMC

KAMPUNI ya magari ya AMC Tanzania imepeleka furaha shule ya Viziwi Buguruni baada ya kukabidhi kwa uongozi wa shule bidhaa...

READ MORE

NMB KUWAWEZESHA WAKULIMA, YADHAMINI MAONESHO YA NANENANE SIMIYU

  BENKI ya NMB imesema kuwa itahakikisha inaendeleza jitihada zake kwa wakulima za kuwawezesha kadri wanavyohitaji kulingana na mazao yao...

READ MORE

Majibu ya DNA ya Naomi kutoka kesho

WAKATI familia ikiwa inategemea majibu ya DNA ya marehemu ndugu yao, Naomi Marijani, yatoke leo, hali imekuwa tofauuti baada polisi...

READ MORE

Mkude: Kwa muziki wa Shiboub kazi ipo

KIKOSI cha Simba kimerejea nchini juzi Jumatano kikitokea Afrika Kusini kilipokuwa kimeweka kambi yake ya wiki tatu ya kujiandaa na...

READ MORE

‘Yesu’ Atua Kenya, Azua Taharuki!

SERIKALI ya Kenya imemkamata mchungaji mmoja nchini humo aliyemleta Yesu bandia na kuwadanganya waumini wake kuwa Yesu karudi. Yesu huyo...

READ MORE

VIDEO: KUAGWA KIGOGO ‘ALIYEJINYONGA’, MAMA AISHIWA NGUVU!

MWILI wa aliyekuwa mtumishi Wizara ya Fedha, Leopold Kwemba Lwajabe, aliyedaiwa kujinyonga siku chache zilizopita,  umeagwa jana Agosti 1, 2019, ...

READ MORE

VIDEO: MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA ‘MO’ DEWJI

  RAIS John Magufuli,  leo Agosti 1, 2019, amefungua kiwanda cha kusaga unga wa mahindi na ngano cha 21st Century...

READ MORE