×

Habari

Kiongozi wa Kijeshi Atangaza Kugombea Urais Gabon

Takriban miaka miwili baada ya kuongoza mapinduzi yaliyomaliza utawala wa familia ya Bongo uliodumu kwa zaidi ya nusu karne, kiongozi...

READ MORE

Walimu Kutoka Taasisi Ya Henan Polytechnic (Hpi) Ya China Watoa Mafunzo Kipawa Chini Ya Mradi Wa Zhangheng

WALIMU wawili fani ya Mechatronics kutoka Taasisi ya Henan Polytechnic (HPI), Du Yichen na Liu Yachuang wametoa mafuzo kwa muda...

READ MORE

Msanii Mkongwe wa R&B, D’Angelo Afariki Dunia Akiwa na Miaka 51

Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Michael Eugene Archer almaarufu D’Angelo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya kusumbuliwa...

READ MORE

Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere: Safari Kutoka Magomeni Hadi Uhuru wa Tanganyika – Video

Oktoba 14, 2025 — ni kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeaga dunia Oktoba...

READ MORE

Uhamiaji Yaondosha Raia Wawili wa Kigeni Walioikiuka Masharti ya Viza Tanzania

Idara ya Uhamiaji imesema imelazimika kuwafukuza raia wawili wa kigeni kutoka Tanzania, Dk Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya...

READ MORE

Benki Ya Exim Yazidisha Dhamira Yake katika Afya Ya Akili Kwa Kukarabati Jengo la Watoto Na Vijana Hospitali Ya Taifa Muhimbili

Dar es Salaam, 15 Oktoba 2025 – Benki ya Exim Tanzania imekabidhi rasmi jengo lililokarabatiwa la Kitengo cha Afya ya...

READ MORE

Ujenzi wa Daraja la 6 Kwa Urefu Tanzania la Pangani Wafikia Asilimia 74.3

Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na Barabara unganishi na mchepuko zenye urefu wa Kilomita 25...

READ MORE

Viongozi wa CHADEMA Wakabiliwa na Kesi ya Jinai, Waitwa Mahakamani Jumatano

Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025, inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiongozwa na...

READ MORE

Meridianbet Yaiunga Mkono Chanika Veteran Bonanza 2025 

Kama ilivyo jadi yake, kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri nchini, Meridianbet, imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama mdau mkubwa...

READ MORE

Vodacom Na Bolt Kwa Pamoja Kutoa Punguzo Kwa Kila Safari Kupitia Tuzo Points

Dar es Salaam, Tanzania 15 Oktoba 2025: Leo, Vodacom Tanzania PLC kwa ushirikiano na Bolt, Kampuni inayotoa huduma za usafiri...

READ MORE

Airtel Yafanya Mazungumzo ya Kimkakati na COPRA  Kuimarisha Ujumuishi wa Kifedha Sekta ya Kilimo

Dar es Salaam, Tanzania,  Airtel Money Tanzania imefanya mazungumzo ya kimkakati na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko...

READ MORE

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina Ajificha Baada ya Jaribio la Kumuua

Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amesema amejificha mahali salama kufuatia jaribio la kumuua lililoripotiwa kutokea baada ya wiki kadhaa za...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango, Majaliwa Wahudhuria Ibada Ya Kumuombea Mwalimu Nyerere Mbeya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameshiriki leo, Oktoba 14, 2025, katika Ibada ya kumuombea Baba...

READ MORE

Kanisa Katoliki Wakanusha Waraka wa Uchaguzi “Ni FAKE!” – Video

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limekanusha vikali taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni tamko rasmi la baraza...

READ MORE

Ugonjwa Hadi Kifo: Safari ya Mwisho ya Mwalimu Julius Nyerere Ilivyokuwa

BABA wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alifariki dunia Oktoba 14, 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, mjini London, Uingereza.Kabla ya...

READ MORE

Farid Musa Asifiwa kwa Utu na Unyenyekevu Nje Soka, Ajenga Msikiti – Video

Jirani wa karibu na Msikiti Masjid Aisha, uliopo karibu na eneo la mchezaji wa Yanga SC, Farid Musa Malik, amemuelezea...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Amuenzi Hayati Magufuli kwa Dua Maalum, Chato

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliomba...

READ MORE

Sheikh Mkuu: Hatutumiwi na Serikali, Tunahubiri Uzalendo na Amani – Video

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) litaendelea kusimamia maslahi mapana...

READ MORE

Ezekia Wenje Ahama CHADEMA, Ajiunga CCM Chato – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa zamani wa Jimbo la...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Tanzania Yashiriki Kongamano la Afya Duniani Jijini Berlin

Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Bw. Ismail Rumatila unashiriki Kongamano la Afya la...

READ MORE

Dkt. Nchimbi: CCM Ndio Chama Kilichojidhihirisha Kinaweza Kuhangaika na Matatizo ya Wananchi Wake

MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM ndiyo chama pekee...

READ MORE

Serikali Imeweka Mikakati Dhabiti Ya Kukabiliana Na Majanga Nchini-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya majanga, kupitia...

READ MORE

Pingamizi La Jamhuri Latupiliwa Mbali Kesi Ya Tundu Lissu

Mahakama Kuu Masjala Ndogo, Dar es Salaam, imeridhia ombi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Rais Mwinyi Azindua Jumuiya ya Wakandarasi wa Sekta ya Ujenzi Zanzibar

Zanzibar, 12 Oktoba 2025 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameizindua rasmi...

READ MORE

Umati wa Wananchi wa Katoro Wampongeza Dkt. Samia Katika Mkutano wa Kampeni – Picha

Sehemu kubwa ya wananchi wa Katoro, mkoani Geita, wamejitokeza kwa wingi leo kushiriki mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea...

READ MORE

Burudani Kabambe na Pesa ya Kutosha Ndani ya Meridianbet

Kasino mtandaoni imekuwa chaguo kuu la burudani kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, na sasa Meridianbet imepiga hatua mpya ya...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Ataka Mabadiliko Ya Haraka Huduma Ya Usafiri Jiji La Dar

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Oktoba 14, 2025 amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi...

READ MORE

Dkt. Samia Ahimiza uchumi wa wananchi kupitia rasilimali za madini

Bukombe, Geita — Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Wanajeshi 15 wa Pakistan wauawa katika mapigano makali na Taliban mpakani

Wanajeshi 15 wa Pakistan wameuawa katika mapigano makali kati ya vikosi vya Taliban na jeshi la Pakistan karibu na mpaka...

READ MORE

Kiwanja Kinauzwa – Bagamoyo, Kaole Magambani

Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama. Umbali wa mita 500 kutoka...

READ MORE

Kampeni Ya Kijiji Kwa Kijiji Jimbo La Musoma Vijijini

Musoma Vijijini, Oktoba 12, 2025Madiwani kupitia Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameungana na Mbunge wa Jimbo la Musoma...

READ MORE

Mashabiki Wapagawa Na Ngoma Mpya Ya Diamond Platnumz – Video

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua shamrashamra kubwa...

READ MORE

Manka Chuga Azua Gumzo Mitandaoni Kwa Kunywa Vinywaji Vikali Kwa Wakati Mmoja, Afunguka Mazito – Video

Mwanadada Getruda Fedrick, anayejulikana zaidi kwa jina la Manka Chuga, amevutia hisia mitandaoni kutokana na aina yake ya kunywa vinywaji...

READ MORE

Madaktari Bingwa wa Tanzania Wahudumia waComoro 3,653

Madaktari bingwa wa Tanzania wahudumia waComoro 3,653 20 wafanyiwa upasuaji mkubwa na wengine wapata rufaa kuja Dar BALOZI wa Tanzania...

READ MORE

Vodacom Na Ligi Ya Mpira Wa Kikapu Ya Dar Es Salaam Waadhimisha Usiku Wa Tuzo Za Wachezaji.

Dar es Salaam, 13 Oktoba 2025: Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Chama cha Mpira wa Kikapu Dar es Salaam...

READ MORE

Mgombea Urais Dkt. Samia Aahidi Kuimarisha Madini na Upatikanaji wa Maji Mbogwe, Geita

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM...

READ MORE

ALAF Yatoa Fursa Zaidi kwa Wanawake Katika Uongozi

Kampuni ya ALAF Limited, inayoongoza katika suluhisho mbalimbali za ujenzi, imejizatiti kuhakikisha inawajengea wanawake uwezo zaidi wa kushika nafasi za...

READ MORE

Polisi Arusha Washikilia Watu 5 Kufuatia Mauaji ya Askari Omary Mnandi – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), ambaye...

READ MORE

Maelfu Wamiminika Kumsikiliza Dkt. Samia Mbogwe, Geita

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa CCM...

READ MORE