×

Habari

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Yupo Tayari Kufanya Mambo Makubwa Kwa Wenye Ulemavu

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye...

READ MORE

Familia Yalia Baada ya Kutupiwa Vyombo Nje Nyumba Yao Jijini Dodoma – Video

Mwanadada Josephine Mosha, amesimulia kisa cha kuhuzunisha cha jinsi familia yao ilivyotupiwa vyombo nje kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi, kisa kikiwa...

READ MORE

Serikali Ya Tanzania Kuendelea Kuwekeza Kwenye Nguvu Kazi Yenye Ujuzi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuwekeza katika kujenga nguvu kazi yenye ujuzi...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Yaadhimisha Ubunifu Na Ushirikishwaji Kupitia GirlCode Hackathon 2025

Mkurugenzi wa Kitengo cha Teknolojia wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Emanuel Mwinuka ( wa nne kushoto) akizungumza na washiriki...

READ MORE

Mawaziri Waimwagia Pongezi Nmb Kwa Utendaji Wake

  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, na Waziri wa...

READ MORE

Rc Senyamule Aagiza Ujenzi Wa Shule Jumuishi Bahi Ukamilike Kwa Wakati

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametaka jengo la Shule Jumuishi Bahi kukamilishwa kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa...

READ MORE

Macron Amrejesha Sébastien Lecornu Kama Waziri Mkuu wa Ufaransa

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemteua tena Sébastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu, hatua iliyowashangaza wengi baada ya kiongozi huyo kujiuzulu...

READ MORE

Video: Polisi Wafunguka Tukio la Kutoweka kwa Padri wa Jimbo Kuu la Songea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na uchunguzi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu...

READ MORE

Video: Baba Alalamika Baada ya Mtoto Wake Kudaiwa Kubakwa Bagamoyo

Baba mmoja aitwaye Revocutus Dions, mkazi wa Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, amefika katika ofisi za Global TV akilalamika...

READ MORE

Polisi Watoa Onyo Kuhusu Kutumia Mitandao Vibaya Kueneza Uhasama na Uzushi

Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia msemaji wake DCP David Misime limesisitiza kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya Kijamii pamoja...

READ MORE

Rais Tshisekedi Awataka Waasi wa M23 Kujiondoa Mara Moja Mashariki mwa DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi, ametoa wito kwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuwaamuru waasi...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaahirisha Hukumu ya Shauri la Kikatiba la Mpina hadi Oktoba 15

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, imeahirisha kutoa hukumu katika shauri la kikatiba namba 24027 la mwaka 2025,...

READ MORE

Meridianbet Yawapa Wachezaji Wapya Bonasi Tatu Kwa Mpiko, Fursa Ya Pekee Ya Ukaribisho

Ikiwa ni sehemu ya kuongeza msisimko kwa wateja wapya wanaojiunga na jukwaa lake, Meridianbet imetangaza BONASI YA UKARIBISHO YA KIPEKEE,...

READ MORE

Askofu Dallu Atangaza Kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, Waomba Msaada wa Polisi – Video

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, Damian Dallu, ametangaza kutoweka kwa Padri Camillus Nikata, ambaye ni Mhadhiri...

READ MORE

Kikwete: Sijafa Mimi Mzima Sina Ninapougua, Wanaoniobea Mabaya Watatangulia Wao – Video

Bagamoyo, Oktoba 10, 2025 — Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kuwa yeye ni mzima na afadhali afya...

READ MORE

Waandishi Wa Habari Wakutana Na NEEC Ili Kupata Elimu Namna Ambavyo Inafanya Majukumu Yake

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kushirikiana kwa karibu na vyombo vya habari nchini ili kuongeza uelewa wa...

READ MORE

Dkt. Samia Ahimiza Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mugumu Serengeti Kuendeleza Utalii – Video

Mara/Simiyu, Oktoba 10, 2025 — Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia...

READ MORE

Maria Corina Aibuka Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2025, Trump Akosa

Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel imemtangaza Maria Corina Machado, kiongozi wa upinzani na mwanaharakati wa demokrasia kutoka Venezuela,...

READ MORE

Tanzania Kuimarisha Mifumo Ya Nishati Ili Kukuza  Uchumi Wa Viwanda

Tanzania inaongeza kasi ya uwekezaji katika miundombinu ya nishati ili kuendeleza malengo yake ya uzalishaji wa viwandani na kujitokeza kama...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yatoa Tuzo Kwa Wafanyakazi Katika Hitimisho La Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Mkurugenzi wa Sheria wa Vodacom Tanzania Plc, Olaf Mumburi (kushoto), akikabidhi tuzo kwa mfanyakazi Francis Baragwiha (katikati) wakati wa hafla...

READ MORE

Dkt. Samia Akumbuka Urithi wa Baba wa Taifa Katika Ziara ya Butiama

Butiama, Mara — Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti...

READ MORE

Watanzania Kulipa Dhamana Mpya ya Viza Marekani Kuanzia Oktoba 23, Serikali Yafunguka

Kuanzia Oktoba 23, 2025, Watanzania wanaoomba viza za utalii au biashara kwenda Marekani watahitajika kuweka dhamana ya kifedha (visa bond)...

READ MORE

CCM Yawajibu ACT Wazalendo Kuhusu Hali ya Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi kimekitaka ACT Wazalendo kutoidanganya dunia na kutoa madai kuwa Zanzibar inadai Haki zake hivyo yeye na wenzake...

READ MORE

Hukumu ya Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Mpina Kusomwa Leo Dodoma

Dodoma, Oktoba 10, 2025 — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, inatarajiwa leo saa nane mchana kusoma hukumu ya...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aitikisa Nyamwage Rufiji Akiomba Kura za Dkt. Samia

Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametikisa Mkutano...

READ MORE

Majumuisho ya Kongamano la Nafasi ya PPP Katika Kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Kufikisha mwishoni mwa kongamano baada ya uwasilishaji na mjadala, wanakongamano wametoa michango ifuatayo: 1. Ubia kati ya sekta ya umma...

READ MORE

Aggy Baby Afichua Ukweli! Asema Poshy Hajaolewa, Ile Ilikuwa Kiki Tu!

MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman Kihamba maarufu kama Aggy Baby ameendelea kusisitiza kuwa mrembo wa mitandaoni Poshqueeen hajaolewa, akidai...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 10, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Silaa awasha moto kampeni za nyumba Kwa nyumba

UTAMU WA kampeni za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi WA nyumba na mtaa Kwa mtaa zimezidi kuwanogea waomba kura za...

READ MORE

Post Yatoa Msaada Ocean Road Kuelekea Siku Ya Post Duniani

  la Posta Tanzania limetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Nigeria: Waziri Wa Sayansi Ajiuzulu Baada Ya Kughushi Vyeti

Uche Nnaji, Waziri wa Nigeria wa Ubunifu, Sayansi na Teknolojia, amejiondoa madarakani siku chache baada ya kuibuka kwa madai kwamba...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yakabidhi Vifaa Tiba Kuimarisha Huduma Za Afya Pwani

Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na wateja maalum wa Benki ya Stanbic, Omari Mtiga akizungumza wakati wa hafla hiyo...

READ MORE

Ng’wasi Damasi Kamani Atoa Wito kwa Vijana wa Tanzania

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM  Oktoba 8, 2025 jijini Mwanza, Mgombea Ubunge wa Viti Maalum (Kundi...

READ MORE

Mshtuko! Mwanaume Adaiwa Kumuua Mama Yake wa Kambo

Mwanaume mmoja (Tatizo Yohana Mzumbwe) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mama yake wa kambo katika tukio...

READ MORE

Makonda: Dkt. Samia Ni Mwanamke Wa Kwanza Kusababisha Kuwa Na Umeme Wa Uhakika

Mgombe Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini na aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, Ndugu. Paul Makonda, amewaeleza Wananchi wa...

READ MORE

Dkt. Mwinyi: SMZ Kuendelea Kuimarisha Miundombinu ya Uchumi wa Buluu

Mkoani, Kusini Pemba — Oktoba 8, 2025 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali...

READ MORE

Afisa Mkuu wa Japan Hukumiwa Kifungo kwa Kutazama Picha za Unyanyasaji wa Watoto

Paris, Ufaransa – Afisa mkuu wa Shirikisho la Soka la Japan (JFA), Masanaga Kageyama, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela...

READ MORE

Airtel Yawatembelea Wateja na Mawakala Wake Jijini Dar Katika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Airtel Tanzania Yawatembelea Wateja na mawakala wake Jijini Dar es Salaam Katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2025....

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Kuzindua Wiki Ya Vijana Mkoani Mbeya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amesema Maadhimisho ya Wiki ya...

READ MORE

Dk. Bashiru: Watanzania Hawawezi Kuivunja Nchi Yao

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amesema hana wasiwasi na mustakabali wa nchi, akibainisha kuwa...

READ MORE