×

Habari

Street University Yarejea kwa Kishindo Kikubwa Jijini Mwanza

Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa! Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana...

READ MORE

Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni...

READ MORE

Jaji Mkuu Masaju amuapisha Hillary Massala kuwa Hakimu Mkazi

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju Oktoba 17, 2025 amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukumbi...

READ MORE

Nmb Yawano Wananchi, Vikundi Vya Kijamii Kimanzichana

PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Atoa Heshima za Mwisho kwa Raila Odinga Jijini Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri...

READ MORE

Ibada ya Kitaifa ya Kumuaga Raila Odinga Yafanyika Nairobi

Ibada ya kitaifa ya kumuaga Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, marehemu Raila Amolo Odinga, imefanyika leo jijini Nairobi, ikiunganisha...

READ MORE

Odinga Alipokutana Live na Mwandishi wa Global na Kumshangaza

Nikiwa mwandishi na mpiga picha wa kawaida sana nisiye na makuu Novemba 27 mwaka 2011 nilikuwa mpiga picha wa matukio...

READ MORE

Mkulima Singida Ahukumiwa Kifungo cha Maisha kwa Kumbaka Mjukuu Wake

Mahakama ya Wilaya ya Singida imemhukumu Hamis Said Debwa (65), mkulima na mkazi wa Mnung’una, kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Serikali Yapandisha Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi kwa Asilimia 33.4

Serikali imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa wafanyakazi wa sekta binafsi kwa wastani wa asilimia 33.4, kutoka...

READ MORE

TBL Yafanya Maadhimisho ya Global Beer Responsible Day

Dar es salaam, 17 Oktoba, 2025. Kampuni ya bia Tanzania Breweries Plc (TBL), ambayo ni kuwa sehemu ya familia ya...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Ili Shahidi Atumie Kompyuta Kutambua Vielelezo

Kesi ya Uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu imeahirishwa kwa muda mpaka saa tisa kamili Alasiri baada ya Mahakama...

READ MORE

Vodacom Tanzania Kupitia VTV Yazindua Filamu Ya “NIKO SAWA” Inayochochea Mazungumzo Muhimu Kuhusu Afya Ya Akili

Dar es Salaam, 17 Oktoba 2025: Vodacom Tanzania PLC imetangaza uzinduzi wa filamu ya “NIKO SAWA”, filamu ya kipekee ya...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango Awasili Nairobi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Raila Odinga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 17 Oktoba 2025 amewasili Nairobi nchini...

READ MORE

Bluu Yagusa Maisha Ya Wagonjwa Hospitali Ya Mwananyamala Na Amana

Taasisi isiyo ya kiserikali ya Bluu imeendelea kurudisha kwa jamii kwa kuwasaidia watu wenye uhitaji katika maeneo mbalimbali, ikiwemo Hospitali...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wa Wakuu Wa Nchi Wa SADC Kuhusu Hali Ya Usalama Madagascar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Mahakama yakataa ombi la kusitisha mazishi ya Raila Odinga – familia yapata ruhusa kuendelea

Mahakama Kuu nchini Kenya imekataa ombi lililowasilishwa na kundi la watu waliotaka kusitishwa kwa muda kwa mazishi ya Waziri Mkuu...

READ MORE

Mke wa Akon Atikisa Dunia Afungua Kesi ya Talaka, Adai Euro Milioni 100

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Akon, anakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kifamilia na kifedha baada ya mke wake, Tomeka Thiam,...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Yapanga Mageuzi Makubwa Sekta ya Kilimo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kufanya mageuzi katika sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa...

READ MORE

Rc Chalamila Atembelea  Na  Kukagua Miundombinu  Ya Tanesco Dsm

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kuzalisha umeme TANESCO...

READ MORE

Rais Ruto Aongoza Viongozi Kuuaga Mwili wa Raila Odinga Kasarani

Shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Amolo Odinga, imeanza leo katika Uwanja wa...

READ MORE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi latoa tamko kuhusu uchaguzi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi...

READ MORE

Puma Energy Yazindua Kituo Cha Mafuta Mbezi Beach

Dar-es-Salaam, Puma energy Tanzania imezindua kituo cha mafuta na huduma za ziada ili kurahisha huduma za ziada kwa wateja wao....

READ MORE

Mwili wa Raila Odinga Wawasili Nchini Kenya, Wapokelewa na Rais Ruto JKIA – Video

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, umewasili nchini Kenya leo asubuhi kupitia Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Mgeni Rasmi Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Chakula

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2025 ni mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi ya Raila Odinga Yatolewa – Maziko Kufanyika Jumapili Bondo, Siaya

Ratiba ya Mazishi ya Raila Jumapili Yatolewa Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa...

READ MORE

Meridianbet Virtuals: Burudani isiyo na kikomo, ushindi wa papo kwa papo!

Katika ulimwengu wa michezo unaokua kwa kasi, Meridianbet inasalia mstari wa mbele kwa ubunifu na teknolojia. Kupitia Virtual Betting, chapa...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Yazindua Klabu Ya Matembezi Na Mbio Fupi Ikihamasisha Umuhimu Wa Mazoezi Kwa Afya Ya Mwili Na Akili

Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Melvin Saprapasen (katikati) na Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha...

READ MORE

Dkt. Samia Aahidi Uwanja wa Ndege Mpya Kagera, Kuchochea Utalii na Biashara

MISENYI, KAGERA — Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...

READ MORE

Watuhumiwa 17 Mbaroni Kwa Wizi Wa Pikipiki Zanzibar

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watuhumiwa 17 waliohusika katika makosa ya wizi wa pikipiki ambazo ziliibiwa...

READ MORE

Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yajiimarisha Kisheria Usimamizi Wa Biashara Za Utalii Nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum...

READ MORE

Mgombea wa CCM Dkt. Samia: Nitawawezesha Wavuvi Kupata Mitaji na Vyombo vya Uvuvi

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

CMSA Yafungua Milango Ya Uwekezaji Kwa Mtanzania Wa Kawaida

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na dhamana Tanzania (CMSA) imeeleza kuwa mfuko wa pamoja wa uwekezaji Vertex International Securities Exchange...

READ MORE

Yas ‘Zanzibar International Marathon 2025’ Rasmi Novemba 23

Dar es Salaam, 15 Oktoba 2025 – KampuniyaMawasilino Yas kwakushirikianana Mixx, leo imezindua rasmi maandalizi ya mbio za Yas Zanzibar...

READ MORE

Dkt. Samia: Serikali Italipa Kipaumbele Zao la Vanila na Miundombinu Kagera

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Wenje Ampongeza Dkt. Samia kwa Mapinduzi ya Sheria – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa na aliyewahi kuwa...

READ MORE

Watu Wanne Wakamatwa Dar kwa Kumiliki Vyombo vya Habari Bila Leseni – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wanne kwa tuhuma za kumiliki na kuendesha vyombo...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kifo cha Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yahirishwa Kufuatia Msiba wa Naibu Msajili wa Mahakama Kuu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa leo Jumatano, Oktoba 15, 2025,...

READ MORE

Kesi ya Luhaga Mpina Yatupiliwa Mbali, NEC Yapewa Uhalali wa Maamuzi Yake

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, leo Jumatano Oktoba 15, 2025, imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Luhaga Mpina na...

READ MORE

Slotopia Yapanua Wigo wa Michezo Meridianbet, Fursa Mpya kwa Wapenda Ushindi

  Kama wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, basi habari hii ni ya kukufurahisha kuliko zote. Meridianbet wamezindua...

READ MORE