×

Habari

BREAKING: MBUNGE KATANI HAJAJIUZULU

MBUNGE wa Jimbo la Tandahimba, Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmadi Katani, hajajiuzulu Ubunge wa Tandahimba...

READ MORE

Tanzania kunufaika na fursa za uchumi endelevu wa Bahari

    Katika jitihada za kujenga uelewa juu ya dhana nzima ya uchumi endelevu utokanao na rasilimali za  bahari, mabwawa...

READ MORE

OFISA MALAZI (UDSM) AKABIDHIWA  NDINGA YAKE NA TBL

      KAMPUNI ya TBL leo imemkabidhi mshindi wa kwanza wa zawadi kubwa ya gari  aina ya Renault KWDI,...

READ MORE

Breaking News: Mtolea Ajiuzulu Ubunge wa Temeke – Video

Mbunge wa TEMEKE (CUF), Abdallah Mtolea amejivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya CUF...

READ MORE

Spika Awaapisha Wabunge Chadema Waliyotimkia CCM – Video

Leo Novemba 15, 2018, Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake jijini Dodoma.   Kabla ya...

READ MORE

DC MURO AZISAKA MILIONI 400 ZILIZOKOMBWA ARUMERU

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Arumeru linamsaka aliyekuwa mweka hazina...

READ MORE

Ukatili! Mama wa Kambo Amchoma Kisu Mtoto

Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai...

READ MORE

FAHYMA ATAJA SIRI PENZI LAKE NA RAYVANNY KUDUMU

MZAZI mwenzake na msanii anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ametaja siri inayomfanya kudumu na...

READ MORE

MAGUNIA 100 YA KOROSHO ZA MAGENDO KUTOKA MSUMBIJI YAKAMATWA MTWARA

IKIWA ni siku moja tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa Serikali itanunua korosho kwa bei ya Tshs...

READ MORE

Baba Kanumba Amsaka Lulu

IKIWA ni siku moja imepita tangu msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amalize kifungo cha nje alichokuwa amehukumiwa...

READ MORE

Mipango ya Mo, Okwi tishio CAF

LICHA ya mbwembwe zake na uzoefu wake, Kocha wa Mbabane Swallows ya Swaziland, Thabo ‘Koki’ Vilakati akisikia jina la Mohammed...

READ MORE

BREAKING: Msigwa, Lema Wafukuzwa Bungeni – Video

Naibu Spika Dk Tulia Ackson, amemtoa nje Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa wakati wabunge wakichangia Azimio la kumpongeza...

READ MORE

Kazi Imeanza! JWTZ Yakabidhiwa Rasmi Kiwanda cha Korosho Lindi

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limekabidhiwa rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Buko kilichopo mkoani Lindi tayari kwa kuanza...

READ MORE

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI ALIYEKUWA MHASIBU WA TAKUKURU YAKWAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato...

READ MORE

Waziri Ajiuzulu Kwa Kashfa ya Video ya Ngono na Mkewe

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa South Africa, Malusi Gigaba,  amejiuzulu wadhifa wake huo kutokana na kashfa ya kuvuja...

READ MORE

Wananchi wafurahia ofa  ya Danube

Siku chache baada ya GSM Tanzania kuzindua kampeni ya “BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70%...

READ MORE

TRC Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Umeme – Video

Shirika la Reli  Tanzania (TRC) limeeleza mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu...

READ MORE

Maamuzi ya Waziri Mpya wa Kilimo Kuhusu Korosho

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

ASIA MUSTAFA: BINTI ANAYEISHI BILA FIGO KWA MIAKA 12

  ASIA MUSTAFA ni msichana anayeishi bila figo kwa miaka 12 sasa na alianza kuugua mwaka 2004 ambapo zilifeli zote mbili,...

READ MORE

Moto wa MSIGWA Bungeni, Amnyanyua Waziri – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Petter Msigwa (CHADEMA) amehoji juu ya tatizo la ajira nchini, na kuitaka serikali kuboresha vyuo...

READ MORE

MBOWE Alivyoitwa Mbele ya Makamu wa Rais “Yuko wapi?” – VIDEO

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro katika...

READ MORE

Dereva Mzembe wa Serikali Alivyoingia Kwenye 18 za Polisi – VIDEO

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kinafanya operesheni mbalimbali ili kuhakikisha kinapambana kuzuia ajali mbalimbali zinazotokea nchini ambazo hivi...

READ MORE

WAZIRI MKUU ASIKITISHWA NA WIZI KWENYE MRADI WA NSSF DEGE

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na...

READ MORE

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,...

READ MORE

MAHAKAMA, TPSF KUWA NA JUKWAA LA PAMOJA

Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepanga kuwa na Jukwaa la pamoja kujadili masuala...

READ MORE

Rayvanny, Diamond, WCB Wapigwa Faini ya Tsh 9m na BASATA – Video

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewatoza faini Tsh milioni 9 wanamuziki Rayvanny, Diamond Platnumz na Lebo yao ya WCB,...

READ MORE

Breaking News: Rostam Aziz Atinga Ikulu, Akutana na Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu...

READ MORE

Mwakyembe Kuhusu Yanga: Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa...

READ MORE

Marekani: Waliofariki kwa Moto wa Msituni ‘Camp Fires’ Wafikia 42

IDADI ya watu waliofariki kutokana moto wa msituni katika maeneo mawili ya jiji la Los Angeles,  Jimbo la California nchini...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, NOVEMBA 13, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 13, 2018. Ni yale ya Hardnews, Udaku...

READ MORE

Magufuli Ahudhuria Misa ya Shukrani Rais Mkapa Akitimiza Miaka 80

Rais John Magufuli amempongeza Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kwa mchango mkubwa alioutoa wakati wa uongozi wake...

READ MORE

LEMA: Hali Mbaya, Watu Wanateswa, Nchi Itaendeshwaje? – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema, leo bungeni amesema serikali inatakiwa kuhakikisha wafanyabiashara wote nchini wanakuwa na amani na...

READ MORE

Waziri wa Nishati Avunja Bodi ya REA

WAZIRI wa Nishati Dk Medard Kalemani leo (Novemba 12.2018) amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijiji REA kutokana...

READ MORE

Baba yamkuta kwa ubakaji ‘katoto’

MSALA mzito! Baba mmoja, Chuma Mwakawala (59), mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya jijini hapa...

READ MORE

MBOWE, SERIKALI NGOMA NZITO MAHAKAMNI

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu, Novemba 12, 2018 ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa isimfutie dhamana baada...

READ MORE

HATIMAYE LULU AMALIZA KIFUNGO CHAKE JELA

HATIMAYE msanii wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amemaliza kutumikia kifungo chake cha miaka miwili jela leo Jumatatu, Novemba 12,...

READ MORE

Straika mpya ampa jeuri Zahera

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongoman, Mwinyi Zahera, amesema kuwa wale wanaoponda ushindi kiduchu wa mabao inaoupata timu yake, watanyamazishwa na...

READ MORE

Nape Aibua Suala la Korosho Bungeni, Naibu Waziri Amtuliza – Video

AKIULIZA swali bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu, Novemba 12, 2018, Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye,  ameitaka Serikali kutoa majibu ni...

READ MORE

JPM Apiga STOP Wanunuzi Korosho, Serikali Itainunua kwa 3,300/= – VIDEO

RAIS John Magufuli amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuachana na wafanyabiashara wa korosho waliopewa siku nne na serikali hadi leo...

READ MORE