×

Habari

MAMBOSASA: Mo Dewji Alifichwa Hapa Baada ya Kutekwa! – VIDEO

 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameonyesha nyumba anayodaiwa kuhifadhiwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’...

READ MORE

MREMBO SUDAN AOLEWA KWA NG’OMBE 520, TOYOTA 3 KALI

HATIMAYE familia ya mrembo wa Sudan ya Kusini aliyekuwa anagombewa na waposaji kibao walioahidi kutoa mahali kubwa zisizo za kawaida,...

READ MORE

PUMA YATUMIA KLABU YA WANAFUNZI KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI

KLABU ya Usalama barabarani ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge wametoa elimu ya usalama wa barabarani kwa madereva wa...

READ MORE

Maalim Seif Afuguka: Mkataba wa Mafuta, Gesi ni Batili – VIDEO

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema mkataba wa utafutaji na uchimbaji wa mafuta na...

READ MORE

Rwanda Yataka Rwigara, Mama’ke Wafungwe Miaka 22

UPANDE wa mashitaka nchini Rwanda umeitaka Mahakama Kuu ya Kigali kutoa adhabu ya kifungo cha miaka 22 jela kwa Diane...

READ MORE

BREAKING: JPM AWATUMBUA TIZEBA, MWIJAGE, AMTEUA WAITARA

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumamosi, Novemba 10, 2018 amefanya mabadiliko madogo ya Baraza lake la Mawaziri ambapo ametengua uteuzi...

READ MORE

MWILI WA MAMA MERCY MENGI WAZIKWA – PICHAZ

Mwili wa mmoja wa waanzilishi wa makampuni ya IPP, Mama Mercy Anna Mengi, umezikwa leo eneo la Wari Machame Moshi,...

READ MORE

SAMIA, MGHWIRA WAUAGA MWILI WA ANNA MENGI – VIDEO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, ameungana na waombolezaji katika ibada ya kuuaga mwili Mercy...

READ MORE

BREAKING: HASHIM RUNGWE AFUNGUKIA USHOGA! – VIDEO

Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amefunguka kuhusu masuala mbalimbali nchini ambayo yametokea kwa kpindi cha majuma kadhaa nyuma ikiwemo sakata...

READ MORE

JPM AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSOMBA KOROSHO “SITIKISIKI HATA IWEJE” – VIDEO

Rais John Magufuli leo Jumamosi, Novemba 10, 2018 amekagua magari ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Usafirishaji cha...

READ MORE

Mhadhiri Makerere Agomea Dhamana, Ataka Museveni Afike Mahakamani

MHADHIRI katika idara ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, Dr Stella Nyanzi, ameitaka mahakama ya Buganda Road Court...

READ MORE

SERIKALI IMEANZA KUJENGA DARAJA JIPYA LA MTO WAMI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa, ameliambia Bunge jana (Ijumaa) Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction...

READ MORE

Sakata la Ushoga: Benki ya Dunia Kusitisha Ziara Zake Tanzania

BENKI ya Dunia  imeungana na nchi kadhaa duniani zinazoishutumu Tanzania kuhusiana na kile kilichotajwa kuwa ni kuwadhalilisha mashoga ambapo imeamua...

READ MORE

NMB YAFANYA KONGAMANO LA MAWAKALA WAKE

BENKI ya NMB leo imefanya kongamano la mafunzo kwa mawakala mbalimbali wanaotoa huduma za kibenki kwa wateja wa benki hiyo,...

READ MORE

SAMATTA, DIAMOND, MAJUTO NI DARASA TOSHA!

 HAKUNA mtu ambaye anakataa kwamba pesa sasa hivi imekuwa ngumu kupatikana. Bila kufanya kazi kwa juhudi na maarifa utaishia kusema,...

READ MORE

HOTEL YA MAREHEMU ABDALLAH KIGODA YATEKETEA KWA MOTO

HOTELI ya aliyekua Mbunge wa Handeni mkoani Tanga marehemu Abdalah Kigoda inayoitwa Bwawani imeteketea kwa moto leo Ijumaa, Novemba 9,...

READ MORE

BABA MZAZI AFICHUA MAZITO YA AMBER RUTTY – VIDEO

AR ES SALAAM: Baba mzazi wa mwanamitindo Nascat Abukary ‘Amber Rutty’, Abubakary Abdul Milenga, mkazi wa Bomba Mbili Songea, ameibuka...

READ MORE

MUSUKUMA Ataka Bangi Iuzwe, ‘Awachamba’ Maprofesa Mdahalo wa JPM- VIDEO

Mbunge Joseph Kasheku ‘Msukuma’ akichangia bungeni Dodoma, leo Novemba 9, ameishauri serikali iruhusu kilimo cha bangi, awataka watalamu na watafiti...

READ MORE

LUGOLA: VIUNGO WANAVYOTUMIA MASHOGA VINA KAZI MAALUM – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameingilia kati suala la ampenzi ya jinsia moja ambayo hivi karibuni sakata hilo...

READ MORE

Jokate Mwegelo Awapandisha Ndege Madenti – VIDEO

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Energy (T) LTD kwa kushirikiana na Kampuni ya Air Tanzania Limited imezindua mradi unaojulikana kama...

READ MORE

BANDA, HIMID HALI TETE KLABUNI KWAO

WALINZI wawili tegemeo wa Taifa Stars, Himid Mao na Abdi Banda timu zao ziko kwenye hali mbaya kwenye Ligi. Banda...

READ MORE

MCHEPUKO AUA MKE KWENYE FUMANIZI DAR

MWANAMKE Hajira Ramadhani (38) mkazi wa Mbagala, wilayani Temeke Dar, ameaga dunia; kilichomtoa uhai ni tukio la fumanizi.  Ijumaa limedokezwa na...

READ MORE

SIMBA YAPANGWA NA WABABE WA SWAZILAND

Klabu ya Simba imepangiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya Mbambane...

READ MORE

KABUDI: ZITTO ‘UMETUMWA?’ MTEGO WAKO SITOUINGIA KAMWE – VIDEO

Jumla ya mashauri 13 yamefunguliwa nje ya nchi dhidi ya Serikali tangu Novemba mwaka 2015 huku madai kwenye mashauri hayo...

READ MORE

TCU Yafuta Usajili wa Chuo Kikuu, Yaamuru Wanafunzi Wahamishwe – Video

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta usajili wa kituo cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo)...

READ MORE

BREAKING: Serikali Yatoa Siku 4 kwa Wanunuzi wa Korosho – Video

SERIKALI imetoa siku nne kwa wanunuzi wote 35 waliojiandikisha kununua korosho wawe wamepeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakionesha ...

READ MORE

Breaking News: Mabehewa ya treni Yaanguka Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba...

READ MORE

BASHE: “Serikali Ina Matatizo, Mamuonea Huruma Waziri” – VIDEO

JANA Alhamisi, Novemba 8, 2018 wakati akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2019/20 uliowasilishwa bungeni na...

READ MORE

‘POVU LA BWEGE’ BUNGENI UTACHEKA “WALINIFUATA WANINUNUE” – VIDEO

MBUNGE wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

MAGUFULI AMTUMBUA KIDATA, AMVUA UBALOZI

Rais Magufuli jana November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata. Uamuzi...

READ MORE

HAONGA: Mmemkimbia MBOWE, Sasa Pambaneni na MAGUFULI – Video

MBUNGE wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga amesema watu walioaminiwa na kuchaguliwa wakiwa upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) uwezo...

READ MORE

AMEUMBUKA: KIGOGO POLISI ANASWA NA KIBINTI KITANDANI – VIDEO

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni na kama ni kuumbuka, basi huku ndiko kuumbuka kwenyewe, Risasi Mchanganyiko lina habari...

READ MORE

MSAKO WA MAKONDA… KIJANA ATANGAZA KUACHA USHOGA

KUTOKANA na msako wa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja ‘mashoga’ aliotangaza Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,...

READ MORE

WAKILI WA MSIGWA AJITOA KESI YA VIONGOZI CHADEMA

WAKILI anayemtetea Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aitwaye, Jamhuri Johnson, amejitoa kumtetea mteja wake katika kesi ya uchochezi...

READ MORE

AMANI, SPOTI XTRA SASA NI GUMZO KILA KONA

Kama kawaida leo Alamisi, novemba 8, 2018 kikosi kazi cha promosheni ya magazeti ya Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya...

READ MORE

JPM, LOWASSA WAUNGANA NA FAMILIA KUAGA MWILI WA MAMA MENGI

  RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mke wa Dkt. Reginald Mengi, ambaye...

READ MORE

DTB-TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA.

Diamond Trust Bank (T) Ltd, (DTB-Tanzania) leo hii, imekabidhi vifaa tiba kwa uongozi wa hospitali ya rufaa ya Amana, ikiwa...

READ MORE

WAFANYAKAZI CPJ WALIYOSHIKILIWA UHAMIAJI TANZANIA WAACHIWA

Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imezitaka Mamlaka nchini Tanzania kuwaachia huru wawakilishi wake wawili barani Afrika,...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Watumishi Dodoma Kuhamia Dar

SERIKALI imepiga marufuku Watumishi wa Umma waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma kwa gharama za Serikali kuomba uhamisho wa kurejea...

READ MORE

TANZIA: MAMA WA FREDERICK SUMAYE AFARIKI DUNIA

TAARIFA NA SALAAM ZA POLE MSIBA WA MAMA MZAZI WA MZEE SUMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa...

READ MORE