×

Habari

Kajala Aanika Kuvunja Ndoa ya P Funk, Adai Kuishi Naye Miaka 9 – Video

MKALI wa filamu za Kibongo, Kajala Masaja ‘Kay’amefungukia madai ya kuvunja ndoa ya mzazi mwenzake ambaye pia ni prodyuza maarufu wa Bongo Records,...

READ MORE

Shuhudia Video ya Majambazi 8 Walioteka Gari Walivyokamatwa

  JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani wamefanikiwa kukamata majambazi nane waliohusika na tukio la utekaji wa gari lenye namba...

READ MORE

TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini...

READ MORE

Prof. Ndalichako: Hakika Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji  kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Maria...

READ MORE

Sangoma Awafanyia Watoto Tukio Baya

MGANGA wa kienyeji ‘sangoma’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja na wateja wake, Peter Msambili na Zawadi Juma wanashikiliwa...

READ MORE

Wosia wa Maria, Consolata Waliza Wengi!

KILA nafsi itaonja umauti, tuwaombeeni Maria na Consolata walale mahali pema peponi! Hicho ndicho kinachosemwa na kila aliyewafahamu pacha walioungana...

READ MORE

MARIA NA CONSOLATA WALIVYOPENDANA HADI KABURINI – VIDEO

  WATOTO mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki Jumamosi iliyopita Juni 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wataendelea...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Maagizo Kufuatia Ajali Ya Kigoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10...

READ MORE

Mbunge Prof Majimarefu Afiwa na Mkewe, Spika Atoa Pole

Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani maarufu ‘Profesa Majimarefu’ leo Jumatano Juni 6, 2018 amefiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa...

READ MORE

MCHUNGAJI ATAFUNWA NA MAMBA AKIBATIZA ZIWANI

  MCHUNGAJI ambaye aliyekuwa akiendesha ibaada ya kubatiza waumini ufukweni mwa ziwa amefariki baada ya kushambuliwa na mamba wakati akibatiza...

READ MORE

Serikali Yalitaka Baraza la Maaskofu KKKT Kuufuta Waraka wa Pasaka

  SERIKALI ya Tanzania imelitaka Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Tanzania kufuta waraka lililoutoa...

READ MORE

KUTOKA IRINGA: Miili ya Maria na Consolata Yaagwa – Video

   MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa...

READ MORE

Harmonize Kufanya Show Babkubwa Dar Live Idd Pili

  MSANII kutoka kwenye kundi la Wasafi Class Baby (WCB), Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa kushirikiana na Global Group, anatarajia...

READ MORE

Treni Yagongana na Basi, 7 Wafariki, 27 Wajeruhiwa

WATU saba wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo...

READ MORE

Maxcom Africa Watoa Ufafanuzi Kukosekana Kwa Huduma ya Tiketi Vituoni

Maxcom Africa PLC watoa ufafanuzi juu ya kukosekana kwa huduma ya Tiketi vituoni tarehe 3 na 4 juni 2018  

READ MORE

MAKONDA AWAMWAGA SUMA JKT MTAANI, WATUPA UCHAFU KUSHUGHULIKIWA

      Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, leo ametangaza kuanza kwa oparesheni kabambe ya kuwakamata...

READ MORE

TANZIA: Mzazi Mwenziye na Shilole Afariki Dunia

MZAZI mwenziye na  Staa wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed , aliyejulikana kwa jina la Makala Elia Joseph, amefariki dunia...

READ MORE

MWANAFUNZI AUAWA KINYAMA KWA VISU

MWANAFUNZI wa Chuo cha St. Joseph, Tawi la Luguruni jijini Dar aliyejulikana kwa jina la James John Tumati (pichani) aliyekuwa...

READ MORE

JENEZA, KABURI WATAKAMOZIKWA MARIA NA CONSOLATA – PICHAZ

ZOEZI la uchimbaji wa kaburi kwa ajili ya maziko ya mapacha walioungana, marehemu Maria na Consolata limefanyika katika Makaburi ya...

READ MORE

Kimekuka! Mbunge Kuwaita Wenzake ‘Mbwa’, Spika Aingilia Kati – Video

BUNGENI, DODOMA: Spika Job Ndugai leo Juni 05, amelazimika kumpokonya Najma Giga kijiti cha kuongoza kikao cha Bunge baada ya...

READ MORE

Halotel yazindua laini mpya za watu mashuhuri VIP  

    KAMPUNI ya Mawasiliano ya simu ya Halotel, kwa mara ya kwanza imezindua laini mpya za watu mashuhuri zilizopewa...

READ MORE

Vifo Vyazidi Kuongezeka Mlipuko wa Volkano Guatemala – Pichaz

IDADI ya vifo vilivyotokea kutokana na Mlipuko wa Volcano ulioikumba Guatemala, imefikia watu 65 hadi sasa huku vikosi vya uokoaji...

READ MORE

Kwa Heri Maria na Consolatha, Huu ni Zaidi ya Msiba – Video

MUNGU ni mwema na ni wa ajabu kwa sababu matendo yake ni makuu! Ukuu wake umejidhihirisha katika muujiza wa watoto...

READ MORE

MSIGWA: Tutapigana Makofi Hapa, Pesa Mmetoa Wapi – Video

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Fedha na...

READ MORE

SILINDE: Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto – Video

MBUNGE wa Momba kwa tiketi ya CHADEMA , Silinde Ernest David, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara...

READ MORE

DENTI ALIYEFIA SHULENI… UTATA MZITO WAIBUK A

INAUMA sana! Ndiyo maneno yanayoweza kukutoka kufuatia kuibuka kwa simulizi yenye utata mzito kuhusiana na kifo cha binti, Faith John...

READ MORE

Simba Sc Waigonga Kariobang Sharks ya Kenya, Watinga Nusu Fainali

TIMU ya Simba imefanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup, baada ya kuinyuka Kariobang...

READ MORE

Walinzi wa Wanyamapori Watakiwa Kuwa Makini

WALINZI wa wanyamapori katika maeneo yanayozunguka Pori ya Akiba la Maswa yanayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wametakiwa kuwa...

READ MORE

MAKONDA APOKEA TENDE, AAHIDI KUWAPELEKEA YATIMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amepokea shehena ya Tende kutoka Taasisi ya Darul...

READ MORE

JPM Awaapisha Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama Kuu- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Juni 4, 2018 amewaapisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),...

READ MORE

Dawa ya Kunasa Wezi Yazua Balaa!

WIKI kadhaa baada ya kuibuka kwa taharuki iliyosababishwa na kijana Salum Hamisi ‘Frank Joseph’ aliyedaiwa kunasiana na mzigo wa wizi...

READ MORE

MPAKA HOME: Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Mwinjaku – Video

GOOD NEWS: Kwa watazamaji wa Global TV na wapenzi wa kipindi cha ‘MPAKA HOME’, msimu wa kwanza wa kipindi hichi...

READ MORE

Ndugai Atoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Mapacha Maria, Consolata

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametuma salamu za pole kwa familia ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti, waliofariki dunia juzi...

READ MORE

JPM: Siridhishwi na Uendeshaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo – Video

RAIS John Magufuli amesema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) , kutokana na kushindwa...

READ MORE

Njia 2 za Kuongeza Kipato Chako!

KARIBU msomaji wangu, ni Jumatatu nyingine murua! Hivi umewahi kujiuliza utawezaje kuongeza pesa ambazo unazipata katika maisha yako? Watu wengi...

READ MORE

JPM Azindua Mkakati wa Kukuza Kilimo Awamu ya Pili

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli anazindua Program ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) katika Ukumbi wa...

READ MORE