×

Habari

Majuto: “Mimi ni Mzima, Nikifa Mnizike kwa Wingi”, Amtaja Kanumba – Video

BAADA ya kusambaa kwa taarifa katika kimtandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Muigizaji Mkongwe nchini, Mzee Amri Majuto, amezungumza...

READ MORE

WILLE: Simuombi Msamaha Dudu Baya (Baba Yake) – VIDEO

Baada ya kufanya mahojiano maalum na mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop Bongo, Dudu Baya, kuhusiana na sakata la kudaiwa kumtelekeza...

READ MORE

Wanafamilia 6 Waliokufa Ajalini Mkuranga, Wazikwa! – Video

SIMANZI imetawala katika eneo la Ngunguti wilayani Mkuranga mkoani Pwani ambako watu 10 wa familia moja ni kati ya 14...

READ MORE

Mbunge Amwaga Machozi Bungeni, “Waziri Usikanyage Mtwara” – VIDEO

Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, amewaga machozi wakati akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018...

READ MORE

Hans apewa masharti Azam Fc

  UONGOZI wa Azam FC, umempa masharti kocha wake mpya, Hans van Der Pluijm kuwatumia wachezaji vijana katika kikosi chake...

READ MORE

Hiki Ndicho ‘Kinachokula’ Afya ya Ruge na Seth

DAR ES SALAAM: Walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Juni 19, 2017, Harbinder Seth na James Rugemalira, wengi walishtuka; ‘hee!...

READ MORE

CHIMBO LA UFUSKA LA MASTAA LAIBULIWA

KITENGO Maalum cha Kufichua Maovu cha Global Publishers (OFM) hivi karibuni kimebaini chimbo ambalo mastaa kibao wa kike Bongo wamekuwa...

READ MORE

MAELFU WAHUDHURIA MASHINDANO YA MBIO ZA MBUZI ZA ROTARY, DAR

Fursa ya kwanza ya uandaaji wa mashindano maarufu ya mbio za mbuzi imekua ya mafanikio kwa Klabu ya Rotary ya...

READ MORE

KIBAJAJI ‘Ampiga Marufuku Nape’ Kuizungumzia CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ‘Kibajaji’, akichangia hoja bungeni, amemjibu Mbunge mwenzake wa Mtama, Nape Nnauye (hakumtaja...

READ MORE

RC MAKONDA Amepigania Hati ya Bi Zainab Mpaka Ameipata! – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekabidhi hati ya nyumba ya Bi Zainab na mumewe ambayo ilikuwa...

READ MORE

Padri Kanisa Katoliki Anayehubiri kwa Ku-rap Yamkuta

  PADRI mmoja wa Kanisa Katoliki nchini Kenya aliyepata umaarufu kutokana na mtindo wake wa kuhubiri kwa kutumia muziki wa...

READ MORE

NAPE KALIPUKA: Mnataka Kutuua, Hatutakubali, Hii ni Dharau – Video

Mbunge wa Jimbo la Mtama(CCM), Nape Nnauye, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019...

READ MORE

JPM AWALILIA WANAFAMILIA 14 WALIOFARIKI AJALINI MKURANGA

RAIS Dkt. John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa ya vifo vya watu 14 waliopoteza maisha baada ya basi...

READ MORE

Haloteli yaboresha mfumo wa mauzo na  usajili  wa laini

Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel, imetangaza kuboresha mfumo wake wa mauzo na usajili wa laini za simu na sasa watakaofanya...

READ MORE

Tanzania Yawekwa Kundi la Pili Kupatwa na Ebola

TANZANIA imewekwa kwenye orodha ya nchi sita zilizo hatarini kupatwa ugonjwa hatari wa Ebola.  Hii baada ya kutolewa ripoti ya...

READ MORE

NMB YAWATAKA WAZAZI KUWAWEKEA WATOTO WAO AKIBA

    BENKI ya NMB imeamua kuanza kutoa elimu kwa wazazi wenye watoto kuanzia wadogo hadi wenye umri wa miaka...

READ MORE

Prince William Kutembelea Israel, Palestina Mara ya Kwanza

Prince William akiwa  Jordan jana alikopokelewa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kifalme. MAKAO makuu ya kifalme ya Uingereza yamesema mwanamfalme...

READ MORE

Watu 14 Familia Moja Wafariki Ajalini Mkuranga

WATU 14 ambao ni ndugu wa familia moja waliokuwa wakielekea katika shughuli za mahafali ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ...

READ MORE

Mshindi pikipiki ‘Live’ Global TV Kesho Saa 10 Jioni

KAMPUNI ya Global Publishers haina shaka hata kidogo katika promosheni ambazo wanaziendesha ambapo habari tamu kwa wasomaji wake wa magazeti...

READ MORE

Polisi Dar  wakabidhiwa Tani 60 za saruji

    POLISI Mkoa wa Dar es Salaam wamekabidhiwa Tani 60 za mifuko ya Saruji kutoka kwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Lateua Rais Mpya

BARAZA la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) leo Jumapili Juni 24, 2018 limemchagua Askofu wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Gervas...

READ MORE

MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA AFRICANA-KINZUDI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  ameweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa  ujenzi wa Barabara ya...

READ MORE

Breaking News: Katibu Itikadi CCM Mkoa wa Simiyu Afariki

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Danhi Makanga,  amefariki dunia leo Jumapili Juni...

READ MORE

Infinix, GOOGLE KUZINDUA SIMU MPYA BARANI AFRIKA

  KAMPUNI ya simu ya Infinix kuzindua simu mpya ikiwa ni muendelezo wa Infinix NOTE 4 kwa kushirikiana na GOOGLE....

READ MORE

Naibu Spika Tulia Akiimba Subalkheri ya Aslay na Nandy – Video

Naibu Spika TULIA Akiimba SUBALKHERI ya ASLAY na NANDY Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa hafla...

READ MORE

Breaking News: Mkutano wa Waziri Mkuu Walipuliwa

Waziri Mkuu, Abiy Ahmed. BOMU limelipuka katika mkutano aliokuwa akifanya Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia, Abiy Ahmed, leo Jumamosi.  ...

READ MORE

Changamkia Dili Jipya, Tsh. 800 Inakupa Pikipiki Mpyaaaaa!

#TusuaMaishaNaGlobal,☝🏿 mambo ni moto…ni fireeeee 🔥🔥🔥 🔥 Global Publishers kama kawaida yetu tunaendelea kujujali msomaji wetu… baada ya kutoa nyumba...

READ MORE

Mapadri Wafunguka Uteuzi wa Askofu Ruwaichi

MARA baada ya Baba Mtakatifu Francisco kumteua Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza,kuwa askofu mkuu mwandamizi mwenye haki ya kurithi...

READ MORE

Daktari Achambua Ugonjwa wa Mbowe

BAADA ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa saa 24, madaktari waliozungumza na gazeti hili juzi...

READ MORE

Mzee Majuto Arejea Kutoka India, Apelekwa Muhimbili – Video

MUIGIZAJI nguli nchini Tanzania, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto amewasili nchini na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Kilimo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

MBOWE ASABABISHA KESI YA VIGOGO WA CHADEMA KUPIGWA KALENDA

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kusikiliza kesi inayowakabili Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maedeleo (HADEMA) kwa sababu Mwenyekiti wa...

READ MORE

Hali ya Mwarabu Fighter Baada ya Kupata Ajali na Kupasuka Kichwa – Video

KUFUATIA Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter aliyepata ajali mbaya alfajiri ya leo katika eneo la...

READ MORE

Afariki kwa Kugongelewa Misumari Kichwani na Bosi Wake

MWANAMME mmoja, Robert Muchangi aliyepigiliwa misumari miwili kichwani na bosi wake nchini Kenya amefariki dunia jana Juni 22 katika Hospitali...

READ MORE

MWARABU FIGHTER APATA AJALI, APASUKA KICHWA

BODIGADI wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amedai kuwa amepata ajali mbaya iliyosababisha kupasuka kichwani na kukimbizwa...

READ MORE

Madawa ya Kulevya Yamuua Kaka’ke Eric Omondi!

KAKA mkubwa wa mchekeshaji maarufu, Eric Omondi, Joseph amefariki dunia huku dawa za kulevya zikitajwa kuwa ndiyo chanzo.  Saa chache kabla...

READ MORE

Mama Amvaa Mchungaji, Asambaratisha Ndoa ya Bintiye Kanisani

DAR ES SALAAM: Vuta picha bibi harusi ameshavaa shela, bwana harusi ameshatinga suti yake matata kabisa, wameshaingia madhabahuni kanisani, tayari...

READ MORE

Tajiri Aliyedaiwa Kuuawa na Nyumba Ndogo Giza Nene

NI Majonzi! Ndilo neno pekee unaloweza kulitamka kufuatia kifo cha tajiri mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Exaud Makyao ambaye...

READ MORE

TAASISI YA WAZALENDO NA NGUVU YA MWANAMKE WAADHIMISHA ‘SIKU YA MTOTO WA AFRIKA’

TAASISI ya Wazalendo Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Nguvu ya Mwanamke leo wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika katika...

READ MORE

Papa Francis Amteua Askofu Mkuu Ruwaichi Kumrithi Pengo

  BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar...

READ MORE