×

Habari

Mzee Mbizo Aingia Studio Kupiga Kolabo na Mwanaye

INAWEZA kukuwia vigumu kuamini, lakini ndiyo hivyo tena, akiwa anatimiza umri wa miaka 68, miaka 39 ya kuwepo kwenye fani...

READ MORE

Wanawake Wanaswa kwa Tuhuma za Ujambazi – VIDEO

WANAWAKE wawili wakazi wa jiji la Dar es Salaam, Beatrice Jackson juzi Jumatatu waliibua mshangao kwa kupandiswa kizimbani katika Mahakama...

READ MORE

Vigogo Sita Wafukuzwa Kazi Bodi ya Mikopo

  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewafukuza kazi wakurugenzi wake sita kwa tuhuma mbalimbali zinazowakabili...

READ MORE

EXCLUSIVE: NAPE Afungukia ‘Bao la Mkono’ – Video

MBUNGE wa Mtama na aliyewahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ametoa ufafanuzi kufuatia kauli yake...

READ MORE

IGP SIRRO ATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  jana Jumanne alikabidhi msaada wa aina mbalimbali kwa watoto yatima ikiwa...

READ MORE

Moto Mkubwa Waibuka Kariakoo (Video)

MOTO mkubwa umeibuka Kariakoo katika mitaa ya Livingstone na Aggrey na unaendelea kuteketeza maduka. Tayari vikosi vya zimamoto vipo eneo...

READ MORE

Taarifa Maalum Kwa Wasomaji Wa Magazeti Ya Global Publishers

Uongozi wa Global Publishers Limited, wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Championi, Ijumaa, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Spoti Xtra, unapenda...

READ MORE

Gavana Joshua Dariye wa Nigeria Afungwa Miaka 14 kwa Ubadhirifu

Seneta Joshua Dariye  wa Jimbo la Plateau Magharibi, Nigeria, amepatikana na hatia na kufungwa jela kwa ubadhirifu wa  Naira bilioni...

READ MORE

JPM Ampongeza TB Joshua Siku Yake ya Kuzaliwa

RAIS John Magufuli amemkumbuka na kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mhubiri maarufu Barani Africa, Nabii Temitope Belgun Joshua ‘TB...

READ MORE

UMUHIMU WA SPARK 2 KWA WATANZANIA

  Suala la ulinzi wa siri kwa watumiaji simu janja imekua ni tatizo hasa kwa watanzania kutokana aina nyingi za...

READ MORE

Mawakala Halo pesa sasa kuweka na kutoa fedha kupitia NMB

  KATIKA  kutekeleza azma ya  kuboresha utoaji huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti,  Kampuni ya mawasiliano ya Halotel na benki...

READ MORE

Wanandoa Meghan, Prince Harry Kufanya Ziara ya Kwanza

WANANDOA wa jamii ya kifalme ya Uingereza  (Duke and Duchess of Sussex) kati ya mwanamfalme, Prince Harry na Meghan Markle,  wanategemea kuanza ziara...

READ MORE

Nape: Nilaumuni kwa ‘Bao la Mkono’

MBUNGE wa Mtama na aliyewahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye,  ameshindwa kujizuia na kujikutaka akijibu...

READ MORE

JPM Amwaga Tsh. Milioni 10 Cash Ujenzi wa Msikiti Dar – Video

RAIS John Magufuli ametoa pesa taslim kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa ajili ya kusaidia ununuzi wa mifuko 625 ya...

READ MORE

TECNO POUVOIR 2 UHAKIKA WA CHAJI NDANI YA MASAA 96

Pamoja ya kuwa kampuni inayosifika katika uzalishaji wa simu zinazotunza chaji, kampuni ya simu ya TECNO imeendelea kudhihirisha ubora wake...

READ MORE

UKWELI KUHUSU WANAFUNZI UDSM WALIOFARIKI DUNIA AJALINI

TAARIFA zinazosambaa mitandaoni zikisema mwanafunzi  wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Maria Godian Soko amefariki dunia kwa ajali...

READ MORE

Historia Imeandikwa: Trump, Kim Jong Un Wakutana Live Singapore

MKUTANO  wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani,  Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini,  Kim Jong Un,  umefanyika nchini...

READ MORE

KWA MISINGI HII, KAMWE PENZI LAKO HALITADUMU

TUANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii njema. Kama kawaida hapa huwa tunazungumza mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Kafulila Kuchambua Sakata la Tegeta Escrow

ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema ataanza kuelezea kwa kina sakata lililotikisa nchi la kashfa ya Tegeta Escrow...

READ MORE

AJALI YAUA DENTI MJAMZITO UDSM, DEREVA NA NESI

AJALI mbaya imetokea usiku huu wa Jumatatu, Juni 11, 2018 katika maeneo ya Ubungo Riverside jijini Dar es Salaam ambapo...

READ MORE

SABA MBARONI KWA KUKUTWA NA SILAHA BILA VIBALI – VIDEO

JESHI la Polisi  Mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na  Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wamewakamata  watu saba  katika hifadhi...

READ MORE

CUF Wamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Ajiuzulu Mara Moja, Kisa… – Video

Chama cha Wananchi CUF kimeendelea kuwa katika hali ya mvutano mkubwa wa uongozi wa chama hicho ambao umegawanyika katika makundi...

READ MORE

KIMENUKA: Viongozi wa Kiserikali 946 Waanza Kuchunguzwa Mali Zao! – Video

Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma, imewaonya viongozi wa umma watakaojaribu kuchepusha mali au madeni yao kwa kuwapa watoto...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatupilia mbali pingamizi la Mbowe na wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali pingamizi la viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  akiwemo Freeman Mbowe la kutaka...

READ MORE

HAUSIGELI AJINYONGA HADI KUFA, KISA WIVU WA MAPENZI – PICHAZ

IKIWA zimebaki siku chache ili kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mrembo aliyejulikana kwa jina la Juliana Martin...

READ MORE

NMB yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10 kwa serikali

Dodoma. Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.17 kwa serikali kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2017.  ...

READ MORE

ABDUL NONDO AFUNGUKA WANAFUNZI BUNGANDO KUTIMULIWA – VIDEO

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TNSP), Abdul Nondo ameiomba serikali kupitia mamlaka zake, kuhakikisha zinafuatilia kwa kina sakata la...

READ MORE

YAMETIMIA: Hatimaye Trump, Kim Watinga Singapore kwa Mazungumzo

HATIMAYE, Rais wa Marekani, Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili jana nchini Singapore kwa ajili ya...

READ MORE

MDAU WA MITINDO NA UREMBO AWAKUMBUKA WATOTO YATIMA

  Mdau wa mitindo ya mavazi na urembo, Salma Kader maarufu kama Salma Collection jana aliwatembelea watoto yatima wa Kituo...

READ MORE

BENKI YA NIC YAFUTURISHA WATEJA WAKE

 BENKI ya NIC  imewafuturisha baadhi ya wateja wake wa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuboresha uhusiano na...

READ MORE

WATANZANIA TUSIKUBALI KUCHONGANISHWA-MAJALIWA  

SWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu baada ya kufuturisha kwenye viwanja vya  Benki...

READ MORE

Breaking News: Msafara Mwenyekiti UVCCM Taifa Wapata Ajali Meatu

  MSAFARA wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James,  umepata ajali wilayani Meatu baada ya gari la polisi lililokuwa kwenye...

READ MORE

Hellen Dausen Alichomwa Jua, Akakatishwa Tamaa, Sasa Anaishi Ndoto Zake!

  MREMBO Hellen Dausen ni mshindi wa kinyang’anyiro cha Miss Universe 2010. Ni miongoni mwa wajasiriamali na wanadada wa chuma...

READ MORE

Serikali Yafunguka Kuhusu Sh. 204B, Ni Sehemu ya Sakata la Sh. 1.5T

  SAKATA LA TRILIONI 1.5: Serikali yafunguka kuhusu Tsh. Bilioni 204 ambazo ni sehemu ya sakata la Tsh. Trilioni 1.5...

READ MORE

MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI

MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada...

READ MORE