×

Habari

TRA Yasitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha Kati ya Tanzania na DRC

  MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) imetangaza kusitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidekrasia...

READ MORE

Kisutu: Yaliyojiri Kesi ya Tido Mahakamani Leo

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando,  amesomewa maelezo ya awali ya kesi ya matumizi mabaya...

READ MORE

Wafuasi 3 wa Chadema waliojeruhiwa Kwa Risasi Wafikishwa Mahakamani

Wafuasi 3 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliojeruhiwa kwa risasi wakati Polisi wakitawanya waandamanaji Kinondoni wafikishwa Mahakamani Makada...

READ MORE

KAMPUNI ZA TANZANIA, KOREA ZASAINI USHIRIKIANO KATIKA UJENZI

  KAMPUNI  mbili za Tanzania, Blue Mark iliyo chini ya Mkurugenzi wake, Eric Shigongo,  na JONTA Investment  Ltd  iliyo chini...

READ MORE

Makamu wa Rais Amsaidia Wheel Chair Mama Aliyegongwa na Lori

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempatia kiti cha magurudumu (wheel chair), Bi....

READ MORE

Wastara sasa Yupo Fiti, Kurejea Nchini Kesho Alhamisi

HAKIKA Mungu ni muweza! Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na...

READ MORE

AFYA YA WASTARA MUNGU MKUBWA!

MUNGU mkubwa! Afya ya staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya...

READ MORE

MBOWE, Wenzake Wasota Sentro 5, Waachiwa kwa Dhamana -Video

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wameachiwa kwa...

READ MORE

BABA MCHUNGAJI AMTOROKA MKEWE, AENDA KUOA ‘KIFAA’ – VIDEO

HII ni aibu ya baba mchungaji! Mchungaji wa Kanisa la Elgibbon Ministry lililopo Songwe mkoani Mbeya, Imani Kalinga amejikuta akipata...

READ MORE

MWANAFUNZI ATOWEKA SIKU 30, APATIKANA, AFARIKI

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mikocheni B, Khadija Ally Masoud (15), amefariki dunia Jumamosi iliyopita baada...

READ MORE

Kigogo TRA Anayedaiwa Kumlawiti Mtoto Anyimwa Dhamana

MAHAKAMA Kuu Zanzibar Vuga, imemnyima dhamana mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hassan Abuutwalib maarufu Kiringo ambaye anashtakiwa kwa...

READ MORE

Benki ya NMB yafungua tawi jipya Ruaha, Iringa

  BENKI ya NMB Tanzania imezindua tawi jipya Ruaha ambalo limeanzishwa kwa lengo la kusogeza huduma za kifedha karibu zaidi na...

READ MORE

Polisi DR Congo Afungwa Maisha Kwa Kuua Waandamanaji

  Mahakama kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imemhukumu kifungo cha maisha askari polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga  na...

READ MORE

UFISADI BIL 224 MLIMANI CITY ZIMEENDA WAPI?

  SAKATA la ufisadi katika mkataba wa Mradi wa Majengo ya Biashara ya Mlimani City kati ya Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Mbowe Aongoza Viongozi Chadema Kuripoti ‘Central’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho leo wamekwenda kuripoti Kituo...

READ MORE

FATUMA KARUME, BOB WANGWE KUISHTAKI SERIKALI

  WAKILI Fatma Karume  na Bob Wangwe  watafungua kesi mahakamani kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi nchini.   Akizungumza na wanahabari leo,...

READ MORE

BREAKING: MBOWE AISHUTUMU NEC, JESHI LA POLISI

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameishutumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa walishindwa...

READ MORE

Mwanamke Aweka Rekodi Kuendesha Ndege ya Kivita

AVANI Chaturvedi (24), ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha ndege ya kivita akiwa peke yake nchini India baada...

READ MORE

Majaliwa Aiagiza Kuwakamatwa Aliyekuwa Mkugenzi wa Masasi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa  kumtafuta popote alipo na kumkamata aliyekuwa...

READ MORE

Kamanda wa Jeshi la Polisi Arusha Apata Ajali

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa...

READ MORE

ANAYEDAIWA DEREVA BODABODA AUAWA, MWILI WATUPWA! – VIDEO

MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amekutwa ameuawa huku mwili wakwe ukiwa umetupwa vichakani katika eneo la Oysterbay...

READ MORE

Wafanyabiashara wa Tanzania, Korea wakutana kujadili sekta ya ujenzi

  Baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania na Korea, wamekutana na kujadili namna ya kukuza sekta ya ujenzi hapa nchini.  ...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Arusha Apata Ajali

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa...

READ MORE

Mastaa Walivyoguswa na Kifungo cha Sugu

KUFUATIA Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga kuhukumiwa jela...

READ MORE

MAHAKAMA YAITUPA KESI YA MCHUNGAJI MWINGIRA

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia  mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dkt. William Morris, raia wa Marekani dhidi...

READ MORE

Chadema Kukata Rufaa Kumnasua Sugu Jela

CHAMA cha Demkorasia na Maendeleo (Chadema) kimekusudia kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Mbunge wa Mbeya Mjini,...

READ MORE

Polisi: Wema Aliniambia Anatumia Bangi Kujistarehesha Tu!

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na kesi inayomkabili muigizaji Wema Sepetu ambapo Ofisa wa Polisi WP Mary ameieleza mahakama kuwa mnamo Februari...

READ MORE

‘Freemasonry Mnyonya Damu’ na Tapeli Akamatwa na Polisi Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia, Rajabu Mohamed(25) anayejifanya ni Freemason na amekuwa akifanya ukatili,unyanyasaji wa...

READ MORE

Breaking News: Sugu, Masonga Wahukumiwa Jela kwa Kumkashifu JPM

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga, wamehukumiwa kifungo cha miezi...

READ MORE

Shy-Rose Bhanji Akanusha Kupinga Utawala wa JPM

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shy-Rose Bhanji amekanusha taarifa ilisambaa...

READ MORE

Taharuki: Lori Lenye Shehena ya Sementi Nusura Liue

LORI la mizigo  lililokuwa limebeba sehena ya saruji limezua taharuki kwa wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kushindwa kupandisha...

READ MORE

SportPesa Kukarabati Nyumba ya Madaktari Zanzibar

  KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri nchini ya SportPesa Limited, imekubali kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya madaktari wawili...

READ MORE

Updates: Hukumu ya Sugu Mahakani Mbeya

Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt. Jonh Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Basi la Abiria Yatokea Kimara

Basi la abiria (Daladala) linayofanya safari zake kati ya Mbezi na Makumbusho jijini Dar es Salaam limepinduka leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Hatima ya Sugu Kortini ni Leo Feb 26

HATIMAYE ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...

READ MORE

Magufuli Ashiriki Misa Kigango Cha Mlimani, Chato (Picha + Video)

Rais John Magufuli akishiriki misa Parokia  ya Mlimani Wilaya ya Chato,  Geita, leo. …Akisali. …Akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka...

READ MORE

JAQUELINE WOLPER AFANYA KUFURU ‘BABY SHOWER’ YA GIGY MONEY!

  MSANII wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo alifanya kufuru ya aina yake baada ya kumtunza minoti...

READ MORE

WANAFUNZI MWENYEHERI ANUARITE WAPEWA MBINU ZA KUJIAJIRI

  WANAFUNZI  wa Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anuarite iliyopo Kimara jijini Dar es Salaam, wamezipongeza mbinu mbalimbali za ziada...

READ MORE