×

Habari

Yaliyojiri Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa – Dodoma

Hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hoja ya utekelezaji wa ilani ya CCM ndani ya mkutano mkuu wa chama...

READ MORE

Mahakama Kuu Yamwachia Huru Sheikh Ponda

MAHAKAMA Kuu imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga...

READ MORE

Kinana Afunguka Ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM – (Video)

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeanza mkutano wake mkuu wa Taifa Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017....

READ MORE

INAUMA SANA: Zanzibar Heroes Wamwaga Machozi Hadharani – (Video)

NDOTO ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji iliota mabawa jana Jumapili baada...

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Akifungua Mkutano Mkuu wa CCM – (Video)

MKUTANO Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017...

READ MORE

JPM: Tumewaburuza Wapinzani Kata 42 kwa Sababu Hizi – (Video)

Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017...

READ MORE

ACT Wazalendo Kususia Uchaguzi wa Wabunge Januari

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitasusia uchaguzi mdogo wa wabunge utakaofanyika Januari 13 mwaka kesho katika majimbo matatu.   Hayo...

READ MORE

Magufuli, Dkt. Shein na Philip Mangula Wachaguliwa Kuwania Uongozi CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...

READ MORE

UZINDUZI WA GAZETI LA SPOTI XTRA ULIVYOBAMBA KITAA (Pichaz + Video)

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra ambalo ni gazeti dada na Gazeti la Championi linalotolewa na Kampuni ya Global...

READ MORE

Bakwata Watoa Tamko Tishio La Kumuondoa Mufti

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Dar es Salaam limewalaani vikali watu waliotoa na kusambaza taarifa za uongo...

READ MORE

Tundu Lissu Amjibu Job Ndugai Kuhusu Matibabu Yake

MBUNGE wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Pialali Amchakaza Mhindi Bagamoyo (Video)

  BONDIA wa ngumi za kulipwa  nchini, Idd Pialali amefanikiwa kushinda ubingwa wa kimataifa baada ya kuchakaza mpinzani wake, Shiva...

READ MORE

Magufuli Ahudhuria Misa Kanisa Kuu Katoliki Dodoma Leo

RAIS   John  Magufuli na mkewe,  Mama Janeth Magufuli,  leo wameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba,...

READ MORE

Takukuru inamshikilia aliyekuwa Rais wa CWT Gratian Mukoba kwa tuhuma za rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian...

READ MORE

Lukuvi Amtumbua Mkurugenzi Mkuu NHC, Nehemia Mchechu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la...

READ MORE

Askari JWTZ Walionusurika Shambulio la DRC Wanaendelea Vizuri – Pichaz

  KUFUATIA wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), waliouawa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Kauli ya Ramsey Noah Baada ya Kufika Kaburini kwa Kanumba

NGULI wa filamu za Nigeria, Ramsey Noah amesema japokuwa miaka mingi imepita tangu kufariki dunia kwa aliyekuwa msanii mahiri wa...

READ MORE

Ramsey Noah Atembelea Kaburi la Kanumba – (Video)

MSANII nguli wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Noah, ametembelea kaburi la swahiba wake aliyekuwa gwiji wa filamu Bongo, Steven Kanumba,...

READ MORE

KINJE AMVUTA UWOYA KIMYAKIMYA, ATANGAZA BIFU NA DOGO JANJA

Msanii wa filamu za Kibongo anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Chriss Lubango ‘Kinje’, amemvuta msanii mwenye mvuto wa kipekee Bongo,...

READ MORE

Spika Ndugai Asema Atakwenda Kwa Tundu Lissu Baada ya Krismasi

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb.) ameusema kuwa atakwenda nchini Kenya kumuona Mbunge...

READ MORE

MASKINI: Miaka 20 ya Binti JUDITH Kitandani, Alizaliwa na Sura ya Ajabu!

Binti anayefahamika kwa jina la Judith Mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Tabata Jijini Dar es Salaam, ambaye anaishi...

READ MORE

Wadada Wanaodaiwa Kujihusisha na Usagaji Waachiwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza imewaachia kwa dhamana wadada wawili waliokamatwa kwa tuhuma zinazoashiria kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya...

READ MORE

Pesa ni M-Pesa, Lipa Kwa M-Pesa Pata Zawadi Za Papo Hapo

Katika kusherehekea msimu huu wa Sikukuu, kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na Watanzania kwa ujumla kampeni...

READ MORE

Jaji Mkuu Awaapisha Mawakili Wapya 80

ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa...

READ MORE

LIVE: Mama Samia Suluhu Ahamia Dodoma Rasmi

MAKAMIU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa, Desemba 15 amehamia rasmi makao...

READ MORE

Dongo la Polepole kwa Wapinzani, ‘Muulizeni Mwenyekiti Wenu Alikopeleka Pesa’

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amevipiga kijembe vyama vya upinzani akimtaka mwenyekiti wa...

READ MORE

CHADEMA Watoa Kauli Kuhusu Kujiuzulu kwa Mbunge wa Siha, Molel

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) tarehe 14 Disemba,2017 tumepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Siha...

READ MORE

RAIS NYUSI WA MSUMBIJI AWASILI DODOMA, APOKELEWA NA JPM

         

READ MORE

Twaweza: Tumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000

  TAASISI ya utafiti ya Twaweza imesema kuwa, kuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000 katika kujifunza stadi za...

READ MORE

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA VIWANDA VYA NGUO ILI KUKIDHI SOKO LA NDANI

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuthamini wajasiriamali wa viwanda vya kutengeneza nguo hapa nchini vinavyoendelea kukua na kukidhi mahitaji ya wanachi....

READ MORE

Askari Auawa Kwa Risasi Na Askari Mwenzie Kisa Chadaiwa ni Wivu Wa Mapenzi

ASKARI Magereza Faustine Masanja wa Gereza la Kisongo anadaiwa kumuua askari mwenzake aliyefahamika kwa jina la Ombeni Mwakiyani kwa kumpiga...

READ MORE

Mke wa Mwandishi Azory Afunguka Mzazito Mumewe Alivyopotea, Cheki Video

ZIKIWA zimepita siku zaidi ya 20 tangu kupotea kwa mwandishi wa Mwananchi, Azory Gwanda, wilayani Kibiti mkoani Pwani, aliyepotea tangu...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa Siha Atangaza Kuhama Chadema, Ajiunga CCM -(Video)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia...

READ MORE

Lissu Aibua Mapya Kuhusu Wasaliti wa Chadema

MBUNGE wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye sasa Kenya akiendelea na matibabu...

READ MORE

JPM: Wanaosema Vyuma Vimekaza, Waweke Grisi la Sivyo Vitavunjika (Video)

RAIS John Magufuli amesema kuwa wanaodai maisha ni magumu mitaani huku wakitumia msemo wa “vyuma vimekaza”, basi waviwekee grisi vilainike,...

READ MORE