×

Habari

Mahakama Yatoa Maamuzi Kuhusu Nabii Tito

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imemuamuru Mkuu wa Gereza la Isanga kumpeleka hospitali kuu ya magonjwa ya akili (Mirembe), mkazi...

READ MORE

MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA KINONDONI NA SIHA

  NI saa 12 asubuhi, Jumamosi Februari 17, sipeleki watoto wangu shuleni, hivyo bado nipo kitandani, mkononi mwangu nimeshika simu...

READ MORE

ISABELLAADAIWA KUTUNDIKWA MIMBA NA JACK PEMBA

  UBUYU uliopo  mezani leo ambao unamung’unywa ni wa chengachenga, lakini ni mlaini na hauchubui ulimi! Ubuyu wenyewe unayeya kuwa,...

READ MORE

MZEE MAJUTO MUNGU MKUBWA – VIDEO

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari njema kuwa, mchekeshaji Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’...

READ MORE

Taharuki: Polisi Wazingira Makao Makuu ya CUF Zanzibar

  TAHARUKI imeibuka mjini Zanzibar baada ya jeshi la Polisi visiwani humo kuzingira makao makuu ya ofisi ya Chama cha...

READ MORE

IGP SIRO AFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU AKWILINA KUTOA POLE KWA FAMILIA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha...

READ MORE

NDALICHAKO, MASAUNI WATOA POLE KWA FAMILIA YA AKWILINA

Waziri wa Elimu Pro. Joyce Ndalichako  na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, jioni  ya leo wamefika nyumbani...

READ MORE

Serikali Kugharamia Mazishi ya Mwanafunzi wa NIT, Akwilina (Video)

Waziri wa Elimu, Profesa. Joyce Ndalichako amesema kuwa serikali itagharamia shughuli za mazishi ya Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha...

READ MORE

Magufuli Aomboleza Kifo cha Mwanafunzi wa NIT

Rais John Magufuli ametoa pole kwa familia, ndugu, wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) na wote walioguswa na kifo cha...

READ MORE

CCM Yaibuka Kidedea Ubunge Kinondoni na Siha (Videos)

TUME ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la...

READ MORE

Tamko la CHADEMA Kuhusu Kuyakataa Matokeo ya Uchaguzi wa Marudio

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi: Dkt. Mollel Aibuka Kidedea Ubunge Siha

Mgombea Dkt. Godwin Mollel (CCM) ameibuka mshindi wa kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Wakimbizi Warejeshwe Kwao Haraka

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba  ameliagiza Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  kuwaondoa wakimbizi 32,000...

READ MORE

CCM Yaitupia Lawama Chadema Zoezi la Uchaguzi

Tamko la Chama Cha Mapinduzi (CCM) likilaani CHADEMA kuwa chanzo cha vurugu zilizojitokea kwenye chaguzi. CCM imesema ukaidi wa CHADEMA...

READ MORE

Tazama Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea...

READ MORE

Tazama Matokeo ya Uchaguzi Kinondoni Kutoka Vituo Mbalimbali

HAPA nimekuwekea matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura...

READ MORE

Mambosasa: Uchaguzi wa leo tutawadhibiti wahalifu

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa jeshi lake limeimarisha ulinzi wa...

READ MORE

Mkuu wa Chuo cha Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi Afunguka (Video)

Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji NIT, Zakaria Mganilwa ameeleza masikitiko yake baada ya kupokea taarifa rasmi ya kifo cha mwanafunzi wao,...

READ MORE

LIVE UPDATES: Matukio ya Uchaguzi Kinondoni na Siha, ITV Yatakiwa Kuomba Radhi Nec

Mgombea wa ubunge Jimbo la Kinondoni (CHADEMA), Salum Mwalimu tayari ameachiwa, ni baada ya kuwekwa chini ya ulinzi katika kituo...

READ MORE

NIT Yakiri Aliyepigwa Risasi na Polisi Ni Mwanafunzi Wao

Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Polisi Yakiri Kumpiga Risasi Raia Kwenye Maandamano ya Chadema

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri kuwa mtu mmoja alipigwa risasi na polisi...

READ MORE

Breaking News: Salum Mwalimu Akamatwa na Polisi

MGOMBEA  ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza...

READ MORE

Uchaguzi Kinondoni: Mkurugenzi Afafanua Mawakala Kuzuiwa Kuingia

Wakati baadhi ya vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa jimbo la Kinondoni mawakala wa vyama vya siasa wamezuiwa kuingia...

READ MORE

SALUM MWALIMU: NIPO TAYARI KWENDA JELA YOYOTE

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), amesema yupo tayari kuitwa...

READ MORE

CHADEMA WALALAMIKA BAADHI YA MAWAKALA WAO KUZUILIWA VITUONI

CHAMA cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), kimezungumza kuhusu zoezi la uchaguzi mdogo unaoendelea katika majimbo ya Kinondoni Dar es Salaam...

READ MORE

Mgombea Ubunge CCM, Maulid Mtulia Akipiga Kura Yake – (Video)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb....

READ MORE

Yanga Yabeba Viroba Vya Mchele Shelisheli

YANGA wamepania kuvuka hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuitoa St Louis ya Shelisheli na imepanga kuondoka...

READ MORE

Mwigulu Atoa Maagizo kwa IGP Sirro Kuhusu Mauaji Kinondoni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kina kuhusu tukio la mauaji ya...

READ MORE

MABASI 70 YA MWENDOKASI YAMWAGWA DAR  

      KAMPUNI itoayo huduma ya usafirishaji wa abiria kwa mabasi ya mwendo wa haraka jijini Dar,(Udart) imeingiza mabasi...

READ MORE

Mambosasa Amkamata Mlemavu Anayedaiwa Kuwa Kinara wa Madawa

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata kijana mmoja ambaye ni mlemavu wa miguu anayedaiwa kuwa...

READ MORE

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU WAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WA GLOBAL GROUP

Katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, maafisa kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania jana walitoa zawadi kwa wafanyakazi wa Kampuni...

READ MORE

VILANISHI VYA MAGARI, NDEGE VYAINGIA NCHINI

  KAMPUNI ya Liqui Moly imeingiza bidhaa mpya za  oili  na vilainishi vya magari na mitambo kutoka nchini Ujerumani.  ...

READ MORE

NEC YAJIBU HOJA 6 ZA CHADEMA

  Jana 15/02/2018 baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe,...

READ MORE

WATANZANIA WA MAREKANI WACHANGIA MRADI OFISI ZA WALIMU

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amepokea makontena ishirini kutoka kwa Watanzania waishio Marekani yakiwa na...

READ MORE

Chadema Yakanusha Kususia Uchaguzi Kesho

CHAMA cha Demaokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa wamejitoa kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge kwa majimbo ya...

READ MORE

Mambosasa Azungumzia Wanaodaiwa Mabaunsa wa Kuchafua Uchaguzi

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka kuwa amepata tetesi kuwa kuna mabaunsa wanaodaiwa...

READ MORE