×

Habari

Majonzi na Vilio Kuagwa kwa Miili ya Askari 14 wa JWTZ Waliouawa, DRC -(Video)

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi 14 wa JWTZ Waliouawa DRC Yaagwa, Mmoja Wao Hajapatikana

MAMIA ya waombolezaji wamejoteka kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Wadada Wanaodaiwa Kujihusisha na Usagaji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza inatarajiwa kutoa uamuzi wa dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo...

READ MORE

MWAKIBINGA: WAPINZANI WANAHAMA KWA KUVUTIWA NA JPM

  KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), James Mwakibinga amesema sababu zinazowafanya wanasiasa wa upinzani kuhamia CCM ni utendaji...

READ MORE

JPM Aagiza Wananchi Walime Eneo Lililotengwa Makaburi ya Marais na Mawaziri

Rais John Magufuli ameagiza ardhi ya Iyumbu mjini Dodoma iliyotengwa kwa ajili ya kuzikwa viongozi wakuu wa nchi, (marais, mawaziri...

READ MORE

Baada ya babu Seya Kutoka… Mtabiri Atoa Mpya!

SIKU chache baada ya wanamuziki, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha...

READ MORE

CHADEMA Yatangaza Kutoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Songea Mjini

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mheshimiwa...

READ MORE

Mabilioni Yakamatwa Airport Yakiingizwa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema zaidi ya dola bilioni moja zimeshikwa zikiingizwa nchini...

READ MORE

Kisa Dola za Kimarekani, JPM Acharuka, Atoa Agizo BoT (Video)

RAIS John Magufuli amemwagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, kuhakikisha malipo kwa kutumia fedha za kigeni  nchini yanadhibitiwa...

READ MORE

Scorpion Yametimia Hukumu Kusomwa Januari 10

  Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO, DEC 13, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 13, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Huseein Bashe Atoa Kauli Nzito Askofu Niwemugizi Kuhojiwa Uraia Wake

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameelezwa kusikitishwa kwake baada ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara,...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM… Kinana Amfuta Gulamali Jimbo la Nyalandu

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana imewazuia Haider Gulamali na Elia Mlangi kugombea nafasi ya ubunge Singida Kaskazini kutokana...

READ MORE

Hashim Rungwe Amjulia Hali Lissu Nairobi Hospital

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe Spunda, amemtembelea na kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki, Tundu...

READ MORE

Airtel yaleta bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Dar es salaam,  Desemba 12, 2017: Airtel Tanzania mtandao bora kwa Smartphone yako leo imezindua bando mpya zitakazojulikana kama ‘SMATIKA...

READ MORE

NYUMBA YA MJANE YABOMOLEWA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA

Nyumba ya mjane Chiku Juma Athuman iliyopo Kinondoni Studio jijini Dar es Salaam, imebomolewa kufuatia kuibuka kwa mgogoro wa utata...

READ MORE

Breaking News: Nguza Viking Afiwa na Mdogo Wake

MUDA mfupi baada ya Babu Seya na Papii Kocha  kuachiwa huru kutokana na kupewa msamaha wa rais Magufuli, familia hiyo...

READ MORE

JPM Ataka Wasanii Wakaa Uchi Washughulikiwe

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ameitaka Mamlaka...

READ MORE

Nyalandu Amwandikia Ujumbe JPM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, jana Disemba 11, 2017 alituma salamu za pole kwa Rais na...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 16

“Jisikie huru!” alisema mzee huyo. “Nashukuru sana!” Mzee Al Fakh akaondoka na kwenda chumbani kwake, alipofika, haraka sana akachukua simu...

READ MORE

Askofu Aliyesema Katiba Mpya Ipewe Kibaumbele, Ahojiwa Uraia Wake

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61), amehojiwa na Idara ya Uhamiaji kuhusiana...

READ MORE

LIVE: Miili ya Wanajeshi Waliouawa DRC Yarejeshwa Nchini

MIILI ya Askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa na waasi wakilinda amani katika nchi ya Jamhuri...

READ MORE

AFDB YAMWAGA BILIONI 630 ZA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI MIKOA YA PEMBEZONI MWA NCHI

  Benki ya Maendeleo ya Afrika –AFDB imetoa msaada wa shilingi za Kitanzania Bilioni 630.25 kwa serikali ya Tanzania kwa...

READ MORE

Sadifa Akwama Kortini, Arejeshwa Rumande Hadi Desemba 19

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imesema itatoa uamuzi wa maombi ya dhamana Desemba 19,2017 kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi Waliouawa DRC Kurejeshwa Nchini Leo

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa Taarifa kwa Umma kuwa, Askari wake waliouawa na waasi wakilinda amani katika nchi...

READ MORE

Kheri James Anyakua Uenyekiti UVCCM Taifa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Umoja...

READ MORE

Uhuru Kenyatta Amwandikia Barua Rais Magufuli

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kupinga kitendo...

READ MORE

UKAWA Watishia Kususia Uchaguzi wa Januari 13, Endapo Serikali Haitafuata Haya (Video)

VIONGOZI wa Vyama vya Upinzania Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wamekutana na kufanya mazungumzo na wanahabri leo Jumatatu,...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Taifa Apandishwa Kizimbani Akidaiwa Kugawa Rushwa

DODOMA: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Sadifa Juma Khamis (Mb.) amefikishwa Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

LIVE: Matokeo ya Uchaguzi UVCCM Taifa Yatangazwa- Dodoma

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), yametangazwa leo Mjini Dodoma, walioshinda ni kama ifuatavyo....

READ MORE

Simba Yailiza Yanga, Mo Asaini Miaka 2 Simba SC

KLABU ya Yanga imeshindwa kumpa kiungo Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ kile anachotaka, hivyo leo Jumatatu mchezaji huyo anatarajiwa kusaini mkataba...

READ MORE

Hatimaye Wema, Makonda ‘Bifu’ Kwisha!

BAADA ya madai ya muda mrefu juu ya uwepo wa bifu kati ya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha Walituma Ujumbe Mzito kwa JPM

BADO mitaani kuna shangwe inayotokana na kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Joseph Magufuli...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, DEC 11, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 11, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Shughuli Ya Kumuapisha Odinga Kama Rais Wa Kenya Yaahirishwa

Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, umetangaza kuahirishwa kwa shughuli ya kumuapisha kinara mkuu wa muungano huo Raila Odinga...

READ MORE

Msando Awalipua UVCCM Mbele ya Magufuli (Video)

WAKILI Alberto Msando, ambaye alijiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea chama ACT-Wazalendo, leo akiongea kwenye mkutano wa UVCCM Taifa,...

READ MORE

JWTZ Wazungumzia Vifo vya Wanajeshi 14

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania limesema kikundi chake cha ulinzi na usalama kilichopo DRC kwaajili ya kutekeleza jukumu...

READ MORE