×

Habari

Tumia Airtel Money na Ushinde Hisense TV, Samsung A25 na Safari ya Zanzibar

Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wamekuja na ofa ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka pesa kwenye...

READ MORE

Mtaalam wa Lishe UDOM Aeleza Jinsi ya Kuimarisha Afya yako

Mhadhiri Msaidizi na Mtaalam wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Kassim Mohammed Ally ameelezea jinsi ya kuimarisha afya...

READ MORE

Balozi Nchimbi Akutana Na Mabalozi Wa EU Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Mashtaka Mazito Yatupiliwa Mbali Kwa Diddy

Msanii maarufu, Sean “P. Diddy” Combs, ameondolewa hatiani kwenye mashtaka mazito ya kuendesha mtandao wa kihalifu na usafirishaji wa binadamu...

READ MORE

Mbunge Pekee wa Chadema Awaaga Wapiga Kura Wake

Mbunge wa Nkasi anayemaliza muda wake kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake leo...

READ MORE

Washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi 2024 Watangazwa Rasmi Dar

Alhamisi Julai 03, 2025 – Dar es Salaam: Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika imetangaza washindi wa...

READ MORE

Majaliwa Aaga Ubunge Ruangwa Amshukuru Rais Samia

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa...

READ MORE

“Hawajui Uhuru Ni Nini” – Rais wa Burundi Awaka Juu Ya Wanaotafuta Msaada

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amewashutumu baadhi ya raia na wanasiasa wa nchi hiyo wanaotafuta msaada wa kisiasa nje ya...

READ MORE

80 Wauawa Baada Ya Mashambulizi Ya Kigaidi Mali

Jeshi la Mali limesema limewaua wapiganaji 80 wa Al-Qaeda waliovamia vituo vya kijeshi kwa mashambulizi ya ghafla katika miji saba...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Hatogombea Ubunge Tena 2025 – Video

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa hatagombea tena ubunge wa Jimbo la Ruangwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, baada ya...

READ MORE

Shinda Simu Mpya Kabisa ya Samsung Galaxy A25 Mwezi Huu wa Julai na Meridianbet

Je, uko tayari kwa Julai ya kusisimua iliyojaa burudani na zawadi kemkem? Meridianbet inakuletea sababu ya kubashiri mwezi huu kupitia...

READ MORE

Eric Shigongo Achukua Fomu Kuwania Ubunge Buchosa Kwa Muhula Wa Pili – Video

Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo Julai 1, 2025 amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo...

READ MORE

IGP Wambura Awavisha Cheo Maafisa Watatu Waliopandishwa Cheo Na Rais Dkt. Samia

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amewavisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maafisa watatu...

READ MORE

RC Kihongosi Arudi Arusha, Aahidi Ushirikiano na Viongozi wa CCM

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi amefika kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na kupokelewa...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi Kwa Kuvuka Malengo Ya Makusanyo Kwa Miezi 12 Mfululizo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandika historia kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake kwa kuvuka malengo ya makusanyo kwa...

READ MORE

Twende Butiama 2025 Yaanza Rasmi Kutoka Dar Es Salaam

Dar es Salaam, Julai 2, 2025 Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es...

READ MORE

Oryx Gas na REA Wazindua Mradi wa Magerezani Kutumia Nishati Safi ya Gesi

Simiyu 1 Julai 2025: Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania (REA) wamezindua rasmi mradi...

READ MORE

Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusaidia Watu Wenye Uhitaji

Jamii imeaswa kujenga utamaduni wa kua na moyo wa kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji haswa Watoto wenye changamoto ya vichwa...

READ MORE

Liberia Kumzika Upya Rais wa Zamani William Tolbert Miaka 45 Baada ya Kuuawa

Rais wa zamani wa Liberia, William Tolbert, anatarajiwa kuzikwa upya Jumanne hii, ikiwa ni miaka 45 tangu auwawa katika mapinduzi...

READ MORE

Nyambaya arudisha fomu kuwania Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Lamecky...

READ MORE

NMB Yajidhatiti Kusaidia Wakulima, Wafugaji na Wavuvi Kupitia Maonesho ya Nane Nane

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Serikalini kutoka Benki ya NMB, makao makuu, Vicky Bishubo, amesema wamepanga kutumia maonesho ya wakulima...

READ MORE

Real Madrid vs Juventus Kukupatia Mshiko Mara 2 Leo

Michuano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu inaendelea ambapo timu mbalimbali zinawania kucheza hatua ya Robo Fainali. Wakali wa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Gilead Teri Kuongoza Mamlaka Mpya ya Uwekezaji (TISEZA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji...

READ MORE

Kesi Ya Tundu Lissu Yaahirishwa Hadi Julai 15, 2025 – Video

Kesi namba 8607/2025 ya uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Antiphas Lissu limeahirishwa mpaka Julai...

READ MORE

Mahakama Yamsimamisha Kazi Waziri Mkuu Thailand

Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu, Paetongtarn Shinawatra, kufuatia sakata la kisiasa lililosababishwa na uvujishaji wa mazungumzo...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Wakili Oscar Mutaitina Ajitosa Kuwania Ubunge Jimbo la Bagamoyo

Wakili maarufu, Oscar Oswald Mutaitina, amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bagamoyo, baada ya...

READ MORE

Diana Sichwale Achukua Fomu Ubunge Tunduma

Daina Elias Sichalwe amechukua fomu ya kuwania UBUNGE kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Tunduma. Zoezi...

READ MORE

Nusura Ya Mauti! Ndege ya Batik Air Yatingishwa na Hali Mbaya ya Hewa!

Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana...

READ MORE

Lina PG Tour Msimu wa Nne Yatikisa Dar, Wachezaji Wajitokeza

MASHINDANO ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake ya gofu, marehemu Lina...

READ MORE

Mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Segerea

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM,ambaye ni mwenyekiti wa Soka Mkoa wa Dar es Salaam, Lamecky Nyambaya amejitokeza na kuchukua...

READ MORE

Chuo cha VETA, Kipawa Chaanzisha Fani Mpya ya Mekatronic

Dar es Salaam 1 Juni 2025: Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), Kituo cha Kipawa jijini Dar es Salaam, kimeanzisha rasmi...

READ MORE

Iddi Azzan Achukua Fomu Kuwania Jimbo la Kinondoni, Dainess Achukua ya Udiwani Hananasifu

MTIA NIA na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kinondoni Iddi Azzan amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo hilo,...

READ MORE

Polisi Wavamia Ibada – Bagonza: Hii Ni Kinyume Na Uhuru Wa Kuabudu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa...

READ MORE

Cheza Super Heli na Meridianbet Ushinde Zawadi Kabambe ya Samsung A25

Ikiwa wewe ni shabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, huu ni wakati wako kung’ara. Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri...

READ MORE

Mbeto: Rais Dk Samia Kielelezo Cha Kiongozi Mwanademokrasia Afrika

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimeitaja hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan wakati akivunja Bunge la...

READ MORE

NMB Yawakaribisha Wananchi Kwenye Tawi Lao Lililopo Viwanja vya Maonesho

Dar es Salaam, 30 Juni 2025: Benki ya NMB imewakaribisha Wananchi wote kukaribia katika tawi lao lililopo Viwanja vya Maonesho...

READ MORE

DC Magoti awahamasisha wananchi Kisarawe kutumia huduma za benki

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mheshimiwa Petro Magoti amewahamasisha wananchi kutumia huduma za benki kwa maendeleo yao ya kiuchumi, kukuza...

READ MORE

SICPA, TBS wajipanga kuboresha Teknolojia Bunifu ya Kisasa

Tanzania, kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS), limepata fursa ya kuwa mwenyeji...

READ MORE

Diwani wa Zamani Kata ya Msasani, Neghesti Achukua Fomu Kuwania Ubunge Jimbo la Kigamboni Kupitia CCM’

Dar es Salaam. Aliyekuwa Diwani wa Msasani na mfanyabiashara maarufu, Bw Luca Hakim Neghesti, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya...

READ MORE