×

Habari

DCEA Yatangaza Vita Dhidi ya Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Kupitia Maiti – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema imegundua mbinu mpya na ya kushtua inayotumika kuingiza dawa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lamshikilia Mwanaume Kwa Mauaji ya Mpenzi Wake – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Isaya Kastam, mkulima na mkazi wa Kwa Mfipa, kwa tuhuma za mauaji ya...

READ MORE

Ni PSG au Real? Bashiri GG&3+, Ushinde Bonasi ya Hadi TZS 60,000!

Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako...

READ MORE

Expanse Tournament, Jiunge, Cheza, na Shinda Zawadi Kubwa kutoka Meridianbet

Meridianbet, wakali wa michezo ya ubashiri nchini, wanakukaribisha kushiriki katika Shindano kubwa la Expanse, promosheni kabambe itakayofanyika kuanzia tarehe 8...

READ MORE

Miaka 9 ya Maumivu! Said Mrisho Avunja Ukimya! Ali Kiba Alinisaidia Kodi – Video

Ni miaka tisa imepita sasa tangu kutokea kwa tukio lisilo la kawaida, lililozigusa hisia za wengi, tukio la kijana Said...

READ MORE

Miaka 39 Madarakani: Museveni Aidhinishwa Kugombea Tena

Chama tawala nchini Uganda, National Resistance Movement (NRM), kimemuidhinisha rasmi Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea...

READ MORE

Kitima: Nilichofanyiwa na Vyombo vya Dola Sipendi Mwingine Afanyiwe

“Vyombo vya dola vimekuja kunihoji, nimewaeleza niliyodhani kwa wakati ule waliyahitaji. Wenyewe wanajua, wanalijua hili tukio vizuri… mbele ya Mungu...

READ MORE

JKT Yahimiza Watanzania Kununua Bidhaa Za Ndani Kwa Maendeleo Ya Taifa

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Mabele, ametoa wito kwa Watanzania wote kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa...

READ MORE

Mwigulu Amvunja Mbavu Waziri Mkuu Majaliwa “Tunakuombea” – Video

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kumuombea heri Waziri Mkuu...

READ MORE

Stanbic Bank Yawazawadia Washindi 28 Katika Droo ya Pili ya Kampeni ya Salary Switch

Dar es Salaam, 3 Julai 2025 – Stanbic Bank Tanzania leo imewazawadia wateja 28 waliobahatika zawadi mbalimbali za fedha taslimu...

READ MORE

Trump Apendekezwa Kwa Tuzo ya Nobel na Netanyahu

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump barua rasmi ya pendekezo lake la uteuzi kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza TRA kwa Kuvuka Malengo ya Makusanyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewapongeza Watumishi na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu 2025, Yapo Hapa

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya...

READ MORE

Rais Samia Apokea Tuzo ya Heshima ya ‘Power of 100 Women’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2025 amepokea Tuzo Maalum ya Heshima...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Kikao Kazi Cha TRA, Ahimiza Tathmini Na Uboreshaji Wa Utendaji

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo amefungua rasmi kikao kazi cha viongozi na watendaji wa...

READ MORE

Stering Waja na Bidhaa ya Blix Teknolojia Mpya ya Usafi wa Vyombo Majumbani

  Kampuni ya Stering katika Maonesho ya Kibiashara ya Kimataifa ya 49 mwaka huu yanayoendelea Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu...

READ MORE

Rais Mwinyi: Mazingira Ya Biashara Na Uwekezaji Kuendelea Kuimarishwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali ya...

READ MORE

Milio ya bunduki, mabomu yasikika Nairobi

Wakazi wa jiji la Nairobi nchini Kenya leo Julai 7 , 2025 wamekuwa wakisikiliza milio ya bunduki na mabomu ya...

READ MORE

Watatu Wahofiwa Kufariki Ajali Ya Lori

Takribani watu watatu wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo, Julai 7, 2025, katika eneo la Mtoni Msikitini, Temeke,...

READ MORE

Naibu Waziri Mahundi Aipongeza TTCL kwa Huduma Bora za Mawasiliano

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb), ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...

READ MORE

Babalevo Amvaa Zitto Kabwe: “Kauli Yako Inadhalilisha Vipaji vya Wasanii” – Video

Msanii na mtangazaji maarufu, Babalevo, amejibu kauli iliyotolewa hivi karibuni na mwanasiasa mashuhuri Zitto Kabwe, ambaye alidai kuwa wachekeshaji hawapaswi...

READ MORE

Mbowe Aibukia Kanisani Kwa Mchungaji Kimaro

Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) —...

READ MORE

Tantrade Yaadhimisha Programu ya Urithi Wetu kwa Kuwakutanisha Wanafunzi

Dar es Salaam 6 Julai 2025: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeadhimisha programu ya Urithi wetu kwa kuwakutanisha...

READ MORE

Mtoto wa Mzee Samatta Azungumzia Chanzo cha Kifo cha Baba Yao – Video

Rajab Ally Samatta, mtoto wa kwanza wa marehemu Mzee Ally Samatta, ambaye ni baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa...

READ MORE

Wizara ya Maliasili Yageuza SABASABA Kuwa Kivutio Cha Kudumu cha Utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na mpango wa kulifanya eneo linalotumika sasa katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei Aonekana Hadharani Kwa Mara ya Kwanza Tangu Mzozo na Israel

Tehran, Iran – Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe Ya Miaka 50 Ya Uhuru Wa Umoja Wa Visiwa Vya Comoro – Picha + Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya...

READ MORE

Furahia Promosheni ya Wild White Whale Ukiwa na Meridianbet

Meridianbet inakuletea promosheni kabambe kwa mwezi huu wa Julai kupitia mchezo wa kasino wa Wild White Whale. Hii ni nafasi...

READ MORE

Baba Mzazi wa Mbwana Samatta Afariki Dunia – Video

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai...

READ MORE

GF Trucks & Equipment Yaibuka Mshindi wa Jumla Maonesho ya Sabasaba 2025

Kampuni ya Gf Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho ya biashara ya kimataifa  2025 yanayoendelea jijini...

READ MORE

Wasomi UDSM Waja na Drone Kubwa Yenye Uwezo wa Kufanya Mambo Mbalimbali

Dar es Salaam 6 Julai 2025: Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM katika Maendeleo ya Sayansi na...

READ MORE

RC Siro Asisitiza Umuhimu wa Ushirikiano Kati ya Serikali na Dini

KIGOMA – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Inspekta Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Mhe. Balozi Simon Siro, amefanya ziara...

READ MORE

Makamu wa Rais Aungana na Wakatoliki Kuuadhimisha Jubilei ya Parokia Dodoma

Dodoma – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, ameungana na maelfu ya waumini...

READ MORE

Yanga Yaanza Mazungumzo na Dickson Job Kuhusu Mkataba Mpya

Inaelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Yanga SC umeanza mazungumzo rasmi na beki wao tegemeo Dickson Job, kuhusu kuongeza mkataba...

READ MORE

Thomas Partey Afunguliwa Kesi 5 Za Ubakaji Uingereza

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey, anakabiliwa na mashtaka sita ya ukatili wa kingono nchini Uingereza — ikiwemo makosa...

READ MORE

Kamishna wa Bima Awakaribisha Wadau Kijiji cha Bima Kwenye Maonesho ya Sabasaba

Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware amewakaribisha wananchi kufika Kijiji cha Bima kilichopo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa...

READ MORE

Rais Samia Aombewa Sala Maalum na Mwamposa Baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine – (Picha +Video)

Kawe, Dar es Salaam – Julai 5, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameombewa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine, Kawe (Picha +Video)

 Viongozi mbalimbali wa dini na serikali wameungana kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa Kanisa jipya la Arise and Shine...

READ MORE

Serikali Yachukua Hatua Dhidi ya “Cutting Master” kwa Kuwahusisha Watoto Katika Maudhui ya Kingono

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imetangaza hatua kali dhidi ya kijana anayefahamika kwa...

READ MORE

Mixx By Yas na COPRA Waungana Kufanya Sekta ya Kilimo Kidijitali

Dar es Salaam, 09 Julai 2025 — Katika hatua ya kihistoria ya kuwawezesha wakulima wa Tanzania na kuboresha sekta ya...

READ MORE