×

Habari

DOWNLOAD GLOBAL APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!

GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL PUBLISHERS, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa...

READ MORE

GLOBAL HABARI: HUKUMU YA SCROPION YAMTOA MACHOZI SAID

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemhukumu mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na...

READ MORE

Mwanza: Ajali ya Basi Yaua na Kujeruhi

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria kampuni ya Mkombozi kugongana uso kwa uso...

READ MORE

KINGWANGALLA KUFUNGUA ONYESHO LA ‘CHIMBUKO LA BINADAMU’ DAR

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonyesho ya Chimbuko la Mwanadamu...

READ MORE

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi 6

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka Mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

READ MORE

‘Nabii Titto’ Ajitokeza, Aanika Kuhimiza Bia Madhabahuni, Akomaa Kumuoa Wema

MKAZI mmoja wa Dodoma anayejitangaza kama nabii, Tito Machija amesema watu wasimuone kuwa hana akili kutokana na mahubiri yake ambayo...

READ MORE

Breaking News: Scorpion Ahukumiwa Kwenda Jela, Faini 30m

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 22, 2018 imemhukumu mwalimu wa sanaa...

READ MORE

Sugu Afikishwa Mahakamani Tena

  MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel...

READ MORE

Askofu Gwajima Apata Pigo

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo jijiji Dar es Salaam, Josephat Gwajima jana Jumapili, Januari 21,...

READ MORE

GLOBAL HABARI: KIMBEMBE! MAWAZIRI 5 WA JPM WAVAMIA BANDARI

 GLOBAL HABARI: KIMBEMBE! MAWAZIRI 5 WA JPM WAVAMIA BANDARI Mawaziri watano wa serikali ya awamu ya tano wamefanya ziara...

READ MORE

Waziri Mkuu Agiza Wakala wa Majengo Mara Akamatwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Mara kumkamata na kumuhoji meneja...

READ MORE

ACT WAZALENDO WATOA MSIMAMO MKALI UCHAGUZI KINONDONI, SIHA (VIDEO)

Chama cha ACT Wazalendo, kimesema hakitashiriki kwenye uchaguzi wa ubunge kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha kutokana na kutoridhishwa na...

READ MORE

Mke wa Mwanajeshi: Sasha Kanipora Mume Wangu, Mke Asimulia Mazito

  NI skendo nzito ya kufungulia mwaka 2018! Mama aliyejitambulisha kwa jina la Rehema Zuberi ‘Mama Asia’ ambaye ni mke...

READ MORE

Utata Wa Mama Aliyejifungua Kopo Mwanza

  MWANZA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja mjamzito aliyefahamika kwa jina la Vera Paschal (29), mkazi wa Kishiri,...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara, Amchangia Milioni 1

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii...

READ MORE

Kisa Kunguni Kwenye Ndege, Ghana Yaionya British Airways

WAZIRI wa Mambo ya Anga wa Ghana, Cecelia Dapaah ameionya Kampuni ya Ndege ya Uingereza (British Airways) kwamba huenda ikakabiliwa...

READ MORE

MWENYEKITI UVCCM AWACHANA CHADEMA – VIDEO

Mwenyekiti wa umoja wa vijana UVCCM TAIFA, Kheri James amekisifia chama chake cha CCM na kusema watashinda chaguzi katika majimbo...

READ MORE

Binti Mwenye Uvimbe Begani Afariki Dunia Akitibiwa

Maria Amrima Sandalu (17) mkazi wa Mtwara, aliyekuwa na uvimbe begani amefariki dunia akipatiwa matibabu Taasisi ya Saratani ya Ocean...

READ MORE

KALI YA MWAKA! Jamaa Avaa Mikanda Sita, Suruali 1 Kwa Miaka 5 – (Video)

KALI YA MWAKA! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kijana mmoja mkazi wa Mbagala aliyefahamika kwa jina la Samiru a.k.a...

READ MORE

VANESSA MDEE AGEUKA MACHINGA MLIMANI CITY

    ‘Mtoto mtamu’ katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’ ameshtua na kushangaza wadau na wapenzi...

READ MORE

MWANAHARAKATI KUWATAJA WANAOTUKANA SERIKALI MTANDAONI

Mwanaharakati mzalendo, Laurence Jumanne Mabawa. MWANAHARAKATI mzalendo ambaye alipata kuwa gumzo mwaka jana kwenye vyombo vya habari mbalimbali nchini, Laurence...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA SERENGETI BOYS

  WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe leo ametembelea vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti...

READ MORE

BREAKING NEWS: Waziri Amtumbua Mkurugenzi wa Maji Musoma

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isaack Kamwelwe , ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...

READ MORE

Majaliwa ‘Amtupa’ Kigogo Mikononi mwa TAKUKURU

  VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA JPM: Kuanzia Leo Hakuna Kutoa Leseni kwa Meli Yoyote

READ MORE

Tahadhari Kuhusu Homa ya Chikungunya, Hakuna Tiba Mahusi Wala Kinga

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeutahadharisha umma kuhusu ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao huambukizwa na mbu aina ya aedes...

READ MORE

UGANDA: Museveni Kusaini Kunyongwa Walihokumiwa Kifo

Rais Yoweri Museveni amesema atasaini kuidhinisha kunyongwa kwa wahalifu waliohukumiwa adhabu hiyo, akidai ni njia mojawapo ya kujenga hofu kwa...

READ MORE

JPM Aagiza Usajili wa Meli Mpya Usitishwe Mara Moja – Video

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa...

READ MORE

Viongozi Waongeza Mchanga Kwenye Magunia ya Korosho

VIROBA vya mchanga vilivyowekwa ndani ya magunia ya korosho ili kuongeza uzito tayari kwenda kuuzwa nje ya nchi vyabainika katika...

READ MORE

KISUTU: Kesi ya Rugemarila na Sethi, Mapya Yaibuka Tena

KESI ya kuhujumu uchumi na kuitia serikali hasara ya mamilioni ya pesa, inayowakabili wafanyabiashara maarufu imezidi kugubikwa na utata dhidi...

READ MORE

Chadema Warejea Ulingoni Kushiriki Uchaguzi Kinondoni na Siha

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeridhia na kurejea kushiriki wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na...

READ MORE

KISUTU: Kaburu Achukuliwa na TAKUKURU

TASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ kwa...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamme Mwenye Nywele Nyingi Zaidi Duniani

Mtandao wa World Ranking umemtaja Yu Zhenhuan wa China kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani. Mwili wa Yu...

READ MORE

Mbeya: Sugu Azidi Kusota Mahabusu

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya imezuia dhamana ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema...

READ MORE

MWAKYEMBE AZINDUA KITABU CHA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye...

READ MORE

VIDEO: AOKOTA SARAFU YA MAJINI AKIDHANI DHAHABU, KILICHOMKUTA…

UKISTAAJABU ya Musa, utaona ya Firauni! Mwanaume mmoja mkazi wa Chamazi, Dar, Jafari Daudi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya...

READ MORE

Kifo cha Mama… Dogo Janja, Mkewe Uwoya Wampa Nguvu Johari – Video

SO SAD! Kufuatia kifo cha mama mzazi wa Staa wa Bongo Movies, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, Bi. Asha Chagula,...

READ MORE