×

Habari

Mlinzi wa ‘Soja’ Mstaafu Aacha Bunduki Kitandani, Awafungulia Wahalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa kuhusu tukio la Meja Jenerali Mstaafu Vincent Mribata aliyevamiwa na...

READ MORE

Twaweza: Asilimia 80 ya Wananchi Waamini Taarifa Itapunguza Rushwa

Taarifa kwa waandishi wa habari Septemba 13 2017 Wadau waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa Duniani kote, sheria...

READ MORE

Manji Anyang’anywa Shamba na Serikali

SERIKALI imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji lililopo Kigamboni, lenye ukubwa wa eka 714. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

READ MORE

Breaking News: Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu...

READ MORE

JPM Aivunja Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amevunja Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA)...

READ MORE

Spika Ndugai, Zitto Kabwe Watifuana Bungeni

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa anaweza kumpiga marufuku Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kuongea bungeni...

READ MORE

BancABC Yazindua Akaunti Mpya ya Hundi ya Jiongeze

  Dar es Salaam Tanzania,  BancABC imeendelea kuwa Benki inayojiogeza  hapa nchini kwa kua  wabunifu wa hali ya juu kwenye...

READ MORE

Majanga! Familia Zatupiwa Vyombo Vyao Nje, Nyumba Yavunjwa

MAJANGA! Jumla ya familia zipatazo saba wiki moja iliyopita zilijikuta katika wakati mgumu kufuatia kubomolewa kwa nyumba waliyokuwa wakiishi, kufuatia...

READ MORE

Wakazi wa Arumeru Wanavyotaabika na Ukame, Hali Inatisha! (Video)

UHABA mkubwa wa maji umeyakumba baadhi ya maeneo mkoani Arusha ambapo wananchi wanalazimika kuamka saa tisa usiku na kutembea umbali...

READ MORE

DAR: Nyaraka za Manji Zasalimika Uvamizi Ofisi za Mawakili

WATU wasiojulikana waliovunja ofisi za mawakili wa Prime Attorneys ambayo pia inashughulikia kesi ya Yusuf Manji wameiba Sh3.7 milioni na...

READ MORE

Vuna Mkwanja Ndani ya Champions League

LIGI ya Mabingwa Ulaya maarufu kwa jina la Uefa Champions League imerejea, na tayari hatua ya makundi ya ligi hiyo...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Alikopelekwa Dereva wa Lissu

WAKATI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto akimtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki kufika katika Ofisi za...

READ MORE

LIVE TBC 1: Matukio Yote ya Leo Jumanne, Septemba 12

Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuombee!

READ MORE

MC Pilipili Apata Ajali Mbaya ya Gari (Video)

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias ‘MC Pilipili’ amepata ajali mbaya ya gari katikati ya Kijiji cha Nyasamba na Bubiki...

READ MORE

Spika Aagiza Zitto Ahojiwe, Kubenea Asakwe – (Videos)

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya...

READ MORE

Sekeseke… Wapinzani Wagomea Kuapishwa Mbunge wa CUF ya Lipumba (Video)

SEKESEKE Party Two limeuibuka tena bungeni Dodoma leo Septemba12, 2017 mara baada ya wabunge wa Chama Cha Wananchi CUF wanaomuunga...

READ MORE

Madereva Walevi Kupimwa Kilevi Kwa Mashine Pwani

KATIKA hatua ya kukomesha ajali za magari mkoani Pwani imeamua kuwapima kilevi madereva wote wanaopita mkoa huo. Zoezi la kuwapima...

READ MORE

JPM Amjulia Hali Meja Jenerali Mstaafu Aliyejeruhiwa kwa Risasi

RAIS John  Magufuli leo Jumanne ametembelea Hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo, Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Watu Wasiojulikana Watokomea na Sh3.7M Ofisi ya Mawakili (Video)

WATU wasiojulikana waliovunja ofisi za mawakili za Prime Attorneys wameiba Sh3.7 milioni na nyaraka kadhaa, zikiwemo hati za viwanja. Msemaji...

READ MORE

Polisi Wakanusha Askari Wao Kenya Kuhusishwa Shambulio Dhidi ya Lissu

  MSEMAJI wa Jeshi la Polisi nchini, Barnabas Mwakalukwa, amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikionyesha picha za...

READ MORE

Chadema: Hatuna Imani na Polisi Kuwasaka Waliomshambulia Lissu

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimeitaka serikali iwaite wapelelezi kutoka nje ili kuwabaini watu waliopanga njama za kumuua Mbunge wa...

READ MORE

Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuobee!

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimesema hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye alishambuliwa na watu wasiojulikana mjini...

READ MORE

Breaking News: Watu Wasiojulikana Wavamia Ofisi za Wakili wa Manji

Ofisi ya mawakili ya Prime Attorneys imevamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana ambao wameiba kasiki lenye fedha na nyaraka....

READ MORE

Wananchi Waomba Chakula Kifutwe Msibani

BAADHI ya wananchi wa Nzengo ya Amani ‘B’ Kata ya Nyihogo katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani hapa, wameuomba...

READ MORE

ARUSHA: Mwili wa Mtoto Waokotwa Mferejini

MWILI wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo...

READ MORE

Kampuni ya Uchimbaji Almasi Yasitisha Shughuli Zake Tanzania

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Almasi ya Petra Diamonds imesimamisha shughuli zake za uchimbaji katika mgodi wake uliopo Mwadui...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. 10M KWA MWANAMUZIKI WA DANSI

  11 SEPTEMBA , 2017                                     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA SH. MILIONI 10  ...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema Ahojiwa Kuhusu ‘Watu Wasiojulikana’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema polisi wamemhoji wakitaka kujua kuhusu kauli zake za watu wasiojulikana kama anaweza...

READ MORE

Sakata la Tanzanite na Almasi, Ngeleja Ahojiwa na DCI

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM) amehojiwa kwa saa moja katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), jijini...

READ MORE

Lowassa Amtembelea Lissu Hospitalini Nairobi

MMOJA wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia alikuwa mgombea wa urais katika uchaguzi uliopita, Edward...

READ MORE

Rais Magufuli ‘Agomea’ Jukumu la Kunyonga Wafungwa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma kutompelekea...

READ MORE

Wizara ya Afya Yazindua Mpango Shirikishi wa Takwimu za Afya

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na wafadhili, wamezindua rasmi mfumo maalum wa kukusanya taarifa...

READ MORE

Droo Kubwa… Shinda Nyumba Hii Septemba 27

  BAADA ya wasomaji kukata kuponi zao kwa ajili ya kushiriki Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili kwa...

READ MORE

IGP Simon Sirro Aifungukia SportPesa (VIDEO)

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameipongeza Kampuni ya Michezo ya Kubashiri nchini, SportPesa ambayo imekabidhi pesa...

READ MORE

Shinda Nyumba Yatikisa Kiwagwa, Nyumba Mpya Kutolewa Sept. 27

ZIKIWA zimebaki takribani wiki mbili ili kuchezeshwa kwa droo kubwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikatika...

READ MORE

CUF ya Lipumba na CUF ya Maalim Seif Wavurugana Bungeni

WABUNGE wa CUF wameonekana kuvurugana Bungeni Mjini Dodoma leo Jumatatu, Septemba 11, kutokana na mgogoro unaoendelea katika chama hicho baada...

READ MORE

Wema Akesha Akimlilia Tundu Lissu

TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama...

READ MORE

Airtel TImiza yafaidisha wajasiriamali zaidi nchini

DAR ES SALAAM, Airtel Money imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wateja wake sasa wanaweza kupata mikopo rasmi kwa...

READ MORE

Picha: Majimaji Yatoshana Nguvu na Prisons

TIMU ya Majimaji ya Mjini Songea, juzi ilitoka sare ya bao 2-2 na Timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya katika...

READ MORE