×

Habari

VIDEO: Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amechafua hali ya hewa bungeni akipinga muswada wa mabadiliko ya sheria ya maliasili,...

READ MORE

Wabunge 6 wa Chadema Wahojiwa na Polisi Usiku kwa Kumshambuliwa Mbunge wa CCM

Wabunge sita wa Chadema usiku wa kumkia leo wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia Mbunge wa Viti Maalum (CCM)...

READ MORE

Tweet za Stori Kubwa Kutoka Katika Magazeti ya Leo Julai 4, 2017

  #TAZAMA Mpasuko Chadema…Lisu ajitoa mbio za urais 2020 -Mtandao wa Lowasa watikiswa https://t.co/jgwPAjOWVi pic.twitter.com/w3Dl54Mtml — Global Publishers (@GlobalHabari) July...

READ MORE

Live na Kafulila: JPM na Mawaziri Watano Walitaka Nikomalie Escrow

  Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ni kijana aliyejitoa mhanga kukomaa kuhusiana na sakata la ufisadi wa Tegeta...

READ MORE

SHOGA; Uwanja Hauhitaji Aibu

  Haya haya tena shoga yangu wa ukwee!  Kama kawa nimerudi tena kama moto wa tipa usiozimwa na magari ya...

READ MORE

Kali Ya Karne… Undani Mwanaume Aliyefunga Ndoa na Mwanaume Mtwara

    HII ni kali ya karne! Kijana Musra Nurdin Bicho (20) na Sharraf Issa Chimera (19) wameacha watu midomo...

READ MORE

Kwa Haya Yanayotokea, Nina Wasiwasi Mkubwa na Hatma ya Tanzania Kesho

  IJUMAA iliyopita, nikiwa naendelea na majukumu yangu ya kikazi, nilikutana na habari iliyokuwa ikioneshwa kwenye runinga ya mtandaoni (online...

READ MORE

Mwanamke Atinga Bongo Kutoka Mombasa, Kenya Aangua Kilio…‘Nimezaa na Kiba

  Hii ni skendo nzito! Staa mwenye nyota zake wa Afro- Pop, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amekwaa tuhuma nzito,...

READ MORE

Mwanao Amejiingiza Kwenye Mapenzi? Fanya Hivi!

NIMSHUKURU Mungu kwa Jumatatu nyingine murua, niwape pole wale wote ambao wanakutana na changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku,...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Atua Mwanza kwa Ziara ya Siku 2, Kesho Kuzindua Mradi Sengerema

Rais John Magufuli ametua jijini Mwanza na kuwahakikishia wananchi kuwa Serikali imedhamiria kuondoa kero ikiwa ni pamoja na kufuta baadhi...

READ MORE

Bondia King Class Mawe Atua Bongo Kutoka Ujerumani na Ubingwa Ubingwa wa Dunia GBC

  Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ alipotua leo katika Uwanja wa Julius Nyerere akitokea Ujerumani baada ya kushinda Ubingwa...

READ MORE

John Terry Atimkia Aston Villa

  Aliyekuwa beki kisiki wa Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza John Terry  amejiunga klabu ya  Aston Villa kwa...

READ MORE

Dida Amrudia Mungu… Aangushiwa Dua Saa Chache Baada ya Kunusa Kifo

  KUFUATIA kuandamwa na mikosi kila kukicha huku akidai kunusurika kifo, mtangazaji mwenye jina kubwa Bongo, Khadija Shaibu ‘Dida’ anayekimbiza...

READ MORE

Idris Sultan Ala Shavu Hollywood

Baada ya wiki ya mchakato wa ukaguzi wa karibu, Mshindi wa Big Brother Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika...

READ MORE

Tib Group Yawaomba wananchi Kutembelee Maonyesho Ya Saba Saba Wanufaike na Huduma Zao

TIB Group ina mashirika matatu yaliyoundwa kimkakati ili kuiwezesha serikali katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya nchi. Mashirika hayo...

READ MORE

Singida United Wakabidhiwa Basi la Sh. Milioni 350

  UONGOZI wa Klabu ya Singida United, imetoa basi lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 litakalotumiwa na wachezaji...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua Mradi Mkubwa wa Maji Sengerema Kesho

  Rais Dkt. John Magufuli anazindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema kesho. Akizungumza na waandishi...

READ MORE

Picha 5 za Sethi Singh na Biblia, Kitabu cha Mandela akienda ‘Segerea’

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS == Akina Rugemalila, Malinzi na Wenzake Kortini, Lissu Atoa Neno Sheria ya Mtandao

READ MORE

Rugemalira na Singh Sethi Waongezewa Mashtaka 6, Warudishwa Mahabusu Hadi Julai 14

    Mfanyabiashara  Harbinder  Singh Sethi na James  Rugemalira wamepandishwa kizimbani kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Cheki Mahabusu Anavyosepa Na Gazeti la Ijumaa Wikienda Segerea

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

READ MORE

Mdee Apinga Msimamo wa JPM Kuhusu Waliopigwa Mimba Kutoruhusiwa Kurudi Shule

  Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam (Chadema), Halima James Mdee amepinga kauli na msimamo wa Rais Dkt. John...

READ MORE

Mauzo ya Soko la Hisa Yashuka

    Mauzo ya Hisa (Turnover/Liquidity) Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepungua kutoka hisa milioni 2.39 wiki iliyoisha tarehe...

READ MORE

Breaking News: Malinzi, Mwesigwa Wanyimwa Dhamana, Warudishwa Rumande

  #GlobalHabari: Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamefikishwa tena mahakani Kisutu na kusomewa mashataka...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo Ndogo Ya 5… Yavutia Wadhamini Zaidi

  WAKATI maandalizi ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili droo ndogo ya tano yakiendelea, Kampuni ya Michezo...

READ MORE

Amber Lulu Adaiwa Kuvutishwa Unga!

  SIKU zote ubuyu wa Zanzibar unahitaji mate mengi ili uumungunye sawia na uzuri wake ni kwamba haukinaishi! Muuza sura...

READ MORE

Yaliyojiri Bungeni Mjini Dodoma Leo Jumatatu, Julai 3

  *YALIYOJIRI BUNGENI KATIKA KIKAO CHA 58 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO TAREHE 03 JULAI, 2017*....

READ MORE

Swali la Ndoa Lampa Kigugumizi Flora Mvungi

STAA wa sinema za Kibongo, Flora Festus Mvungi, kwa mara nyingine amejikuta akipatwa na kigugumizi cha kushindwa kujibu swali lililomtaka...

READ MORE

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Uboreshaji Wa Bandari Dar (Pichaz + Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia,...

READ MORE

‘Matepeli’ Wavamia Wageni Uwanja wa Oliver Tambo ‘Sauzi’

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa tahadhari kwa Watanzania wanaoingia Afrika Kusini kupitia...

READ MORE

Maonyesho Sabasaba Mwaka Huu Kufanyika Siku 16

Rais John Magufuli amepeleka neema kwa wananchi wanaoshiriki maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba baada ya kupendekeza...

READ MORE

IGP Sirro Ateua Msemaji Mpya Wa Jeshi La Polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa kuwa msemaji mpya...

READ MORE

Watanzania 18 Watekwa na Waasi wa Congo

Waasi wanaodaiwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamewateka madereva 21, wakiwamo Watanzania 18 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya...

READ MORE

PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Maafisa wa Mfuko wa PSPF kulia Faidha Khatau na Hazina Konde wakimkabidhi mashukaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja...

READ MORE

PAPA GREGORY WA 13: Mwasisi wa Kalenda ya Sasa ‘Iliwapunja’ Watu Siku 13 Maishani!

HEBU tazama tarehe ya leo kwenye simu yako. Hebu tazama kalenda yako ukutani au popote il­ipo. Muulize mtu aliye karibu...

READ MORE

Pilau ya Nafaka na Nyama ya Kusaga

LEO ka­tika safu hii ya Mapishi ya Leo, tunaangalia jinsi ya kupika pilau ya nafaka na nyama ya kusaga kama...

READ MORE

Matukio Mbalimbali Viwanja vya Sabasaba Baada ya JPM Kuzindua Maonyesho (+Pichaz)

MAMIA ya wananchi wamejitikeza leo katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kushuhudia ufunguzi wa...

READ MORE

AIBU! Baba Adakwa na Polisi Akidaiwa Kufosi Penzi la MwanaYe wa Kumzaa (Pichaz + Video)

  PWANI: Dunia ime­kwisha! Fadhil Msha­mu, mkazi wa Kibaha Kwa Mfipa mkoani Pwani, Jumanne iliyopita ali­kumbwa na aibu kubwa, baa­da...

READ MORE

Rais Magufuli Amuweka Njia Panda Mkurugenzi TanTrade

  Rais John Magufuli  ameshangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara nchini...

READ MORE