×

Habari

DAU DOGO SHINDA MAMIA YA EURO NA SPIN-O-MANIA

Meridianbet inakukaribisha kujichukulia Mamia ya Euro kwenye promosheni kali ya Spin-O-Mania ambayo inaendelea hivi sasa. Huhitaji dau kubwa kushiriki kwenye...

READ MORE

Mazishi ya Lungu yazua kutoelewana na serikalli ya Zambia

Edgar Lungu, ambaye aliongoza Zambia kutoka mwaka 2015 hadi 2021, alifariki Alhamisi iliyopita akiwa na umri wa miaka 68, lakini...

READ MORE

Polisi Wamkana Aliyedaiwa Kuwa Mkuu Wa Kituo Cha Polisi Tabora – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limetoa taarifa kuhusu picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwa na...

READ MORE

PM Majaliwa Kuongoza Madhimisho ya Miaka 25 ya Kuanzishwa kwa Shule za Green Acres

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa shule za Green Acres....

READ MORE

Msigwa Atoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Mitandao ya Kijamii – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka...

READ MORE

Viongozi wa Dini Wamjia juu Spika kwa Kumtangaza Museveni ‘Mungu’

Watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii wametoa ujumbe wa kumlaani Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among baada ya kusema...

READ MORE

Musukuma Awavunja Mbavu Bungeni – ”Kunitenganisha Mimi Na Mke Wangu Ni Kukiuka Maadili Ya Ndoa” – Video

Mbunge Joseph Msukuma alivyowaka kisa sakata la Wageni Bungeni leo katika Bunge la 12, Mkutano wa 9 kikao cha 44.

READ MORE

Afariki Dunia Akiwa na Mke wa Mtu Katika Guest House Mkoani Njombe – Video

Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amefariki dunia wakati...

READ MORE

CCM: Kina kazi ya kutumikia Wananchi si kutukana matusi majukwaani

Chama Cha Mapinduzi kimesema viongozi wake wana kazi ya kufanya Siasa Safi na utekelezaji kwa Vitendo kunakotokana na matakwa ya...

READ MORE

Mgombea urais Colombia apigwa risasi kwenye mkutano wa kampeni

Mgombea urais wa Colombia amepigwa risasi tatu wakati akiwa katika hafla ya kampeni katika mji mkuu, Bogota. Miguel Uribe Turbay,...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yathibitisha Uwazi na Dhamira ya Ukuaji Katika Mkutano na Gavana wa BoT

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba (katikati), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania,...

READ MORE

DCB Yaahidi Kuendelea Kusaidia Afya za Watanzania Wenye Uhitaji wa Damu

Benki ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kufanya jitihada tofauti katika kusaidia afya za watanzania wenye uhitaji wa kupata damu...

READ MORE

Chadema Yazuiwa Kufanya Shughuli za Siasa Hadi June 24

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi...

READ MORE

CRDB Yafunguka Sakata La Yanga ‘hawadaiwi chochote’

WADHAMINI wa mashindano ya FA, Bank ya CRDB imetoa ufafanuzi kuwa ilishafanya malipo yote ya msimu uliopita katika Shirikisho la...

READ MORE

Rwanda Yajiondoa Katika Muungano Wa Afrika Ya Kati (ECCAS)

Hanbari ya kusikitisha ni kwamba, Rwanda imetangaza kujiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati (ECCAS), ikimshutumu...

READ MORE

Rais Samia Apokea Gawio Na Michango Kutoka Kwa Taasisi Na Mashirika Ya Umma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki hafla ya kupokea Gawio na michango kutoka kwa...

READ MORE

Mbeto: Jussa fanya Siasa safi, acha kumkashifu Mwalimu Nyerere

Chama Cha Mapinduzi kimetamka Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendoakome kumwita Marehemu Baba Taifa Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Kiongozi mshenzi wakati...

READ MORE

Serikali Yapokea Gawio la Trilioni 1 Kutoka Taasisi za Umma na Makampuni

Dar es Salaam, 10 Juni 2025: Hatua madhubuti za mageuzi zilizoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....

READ MORE

Kampuni ya Maestro Yaja na Ubunifu wa Kukutanisha na Kuonyesha Vipaji Vyao

KAMPUNI ya Maestro Africa Solutions Ltd, kwa kushirikiana na Peak Performance Company Ltd na Rehoboth Organization na The Ark Africa...

READ MORE

NMB Yakabidhi Gawio la Bil. 68.1/- Kwa Serikali, Msajili Hazina Aipongeza

OFISI ya Msajili wa Hazina, imeipongeza Benki ya NMB kwa kukabidhi gawio la Sh. Bilioni 68.1 kwa Mfuko Mkuu wa...

READ MORE

Viongozi na Wanachama CHADEMA Kilimanjaro Watimkia CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kujivunia wanachama wapya kutoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mkoa wa Kilimanjaro....

READ MORE

Diamond Platnumz feat Bien – Katam (Official Lyric Audio)

Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameachia wimbo wake wa ‘Salama’ ameshirikisha...

READ MORE

Vodacom Yazindua Kampeni ya Kuadhimisha Miaka 25, Yabeba Ujumbe “Tupo Nawe, Tena na Tena”

Dar es Salaam, 10 Juni 2025: Katika kuadhimisha miaka 25 ya kuwaunganisha Watanzania, Vodacom Tanzania PLC imezindua kampeni kubwa ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Sherehe Ya Kufunga Kozi Ya Maafisa Na Wakaguzi Wa Jeshi La Polisi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi...

READ MORE

Zimbabwe Kuua Tembo 50 Katika Savé Valley, Nyama kupewa Wananchi

Tembo ni hazina ya taifa na kivutio kikuu cha watalii nchini Zimbabwe. Hata hivyo, idadi ya wanyama hawa wakubwa na...

READ MORE

AIRTEL PUSH Ndio Habari ya Mjini Sasa

Meridianbet wanaendelea kukuletea promosheni za uhakika na sasa ni zamu ya wateja wote ambao wanatumia mtandao wa Airtel kuweka pesa...

READ MORE

Makalla: Kauli ya No Reforms Haizuii Wala Kuahirisha Uchaguzi Mkuu

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadu Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi utafanyika...

READ MORE

NBC Yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.5 Kwa Serikali, Msajili Hazina Apongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kiasi cha Shilingi bilioni 10.5 kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ikiwa ni...

READ MORE

Katazo la Trump Lawakwamisha Wahamiaji Kutoka Haiti na Mataifa 11 Mengine

Kuanzia Jumatatu, agizo jipya la Rais wa Marekani, Donald Trump, linaanza kutekelezwa rasmi, likiwaathiri raia kutoka nchi 12, wakiwemo watu...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 58 Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Na Chuo Cha Bahari Dar (DMI)

Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa...

READ MORE

Seneti ya Vyuo Dar: Zungu ni Kiongozi wetu, Tuko Tayari Kumsimamisha Tena

Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam imemshukuru Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

TRA Yawapa Siku 14 Watumishi Wapya Kuripoti Kazini

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa siku 14 kuanzia Juni 06.2025 kwa waajiriwa...

READ MORE

Mjumbe wa Biashara Kutoka Uingereza Atembelea Kiwanda cha SBL

Dar es Salaam, Tanzania – 10 Juni 2025: Serengeti Breweries Limited (SBL), kampuni tanzu ya Diageo PLC, leo imemkaribisha Balozi...

READ MORE

Alichukuliwa Kama Mhalifu Lakini Ushahidi Wake Ulivunja Kesi Na Sasa Ametajwa Kama Raia Mwema Na Huru

Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningekamatwa na polisi nikituhumiwa kwa kosa ambalo sikulifanya. Ilikuwa ni siku ya Jumatano asubuhi nilipokuwa...

READ MORE

Stanbic Bank Yawazawadia Washindi 32 Katika Droo ya Kwanza ya Kampeni ya Salary Switch

  Dar es Salaam, 5 Juni 2025 – Stanbic Bank Tanzania leo imewazawadia wateja 32 waliobahatika katika droo ya kwanza...

READ MORE

CCM Yatuma Salamu Za Pole Na Rambirambi Ajali Gari Iliyosababisha Vifo 28 Mkoani Mbeya

ARUMERU: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambi rambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, CCM Mkoa wa Mbeya...

READ MORE

Video: Majeruhi Aliyekuwa Ndani Ya Gari Iliyogongwa Na Watu 28 Kufariki Asimulia

Majeruhi na mashuhuda wa ajali iliyosababisha vifo vya watu 28 jijini Mbeya wakisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea.

READ MORE

Kumekucha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Mara, Ajitosa Ubunge Kivule Dar

Dar es Salaam, 8 Juni 2025: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini 2020 na kuambulia nafasi ya pili...

READ MORE

Msama Awajia Juu Wanaotukana Mitandaoni, “Rais Samia Ametuliwa na Mungu”

Dar es Salaam 8 Juni 2025: Mkurugenzi wa Msama Promotion na Muandaaji wa Tamasha la Msama Promotion, Alex Msama, ametoa...

READ MORE

Watu 28 Wafariki Dunia Mlima Iwambi, Lori Lagonga Magari ya Abiria – Video

Watu 28 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi...

READ MORE