×

Habari

Ndoa ya Husna Yapigwa Kalenda

MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2012, Husna Maulid ambaye Februari, mwaka huu ilikuwa aolewe kwa mbwembwe zote na mwanaume wake raia...

READ MORE

Hapa Nimekuwekea Magazeti Yote Ya Tanzania Leo, Alhamisi, Machi 30, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Machi 30, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Ureno: Uwanja wa Ndege wa Madeira Wapewa Jina la Cristiano Ronaldo

STRAIKA wa Klabu ya Real Madrid Ronaldo na Timu ya Taifa ya Ureno, ambaye aliongoza taifa lake kushindwa ubingwa wa...

READ MORE

Dkt. Mpango: Nafurahi Ninapoona Huduma za Kifedha Zinawafuata Wananchi Nje ya Miji

 WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango amesema kuwa anafurahishwa na huduma za kifedha hasa za mabenki zinapowafuata wananchi...

READ MORE

Sakata la Makontena ya Mchanga wa Madini Bandarini… Rais Magufuli Amefanya Maamuzi Haya Leo Machi 29, 2017

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa kamati ya wataalam watakaochunguza kiwango cha...

READ MORE

Mama Wema Aitikisa Ndoa ya Alex Msama

Na GLADNESS MALLYA| MAYASA MARIWATA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Hatari! Mama mzazi wa muigizaji mkubwa wa filamu Tanzania,...

READ MORE

Brazil Imekuwa ya Kwanza Kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018

Brazil imekuwa taifa la kwanza kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia ambazo zitachezewa nchini Urusi mwaka ujao baada ya kuIlaza...

READ MORE

Harmonize Sikio Halizidi Kichwa, Chunga Sana

  Na ERIC EVARIST| RISASI MCHANGANYIKO| BARUA NZITO MOJA kati ya jambo ambalo linawashinda watu wengi ni kubaki na nidhamu...

READ MORE

Elewa Undani wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu

Na DR. MARISE RICHARD| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA KIFUA kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai....

READ MORE

Breaking News: CCM Yatangaza Majina ya Wagombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki

DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina 12 ya makada wake ambao watawania kuteuliwa ili waweze kuwa wawakilishi...

READ MORE

Sakata la Makonda na Clouds: Kuhusu Kuipeleka Ripoti ya Nape kwa Rais Magufuli, Mwakyembe Ameyasema Haya

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe leo amezungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma mara baada...

READ MORE

Hatimaye Bunge Lambana RC Makonda, Ahojiwa Dodoma!

MKUU wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda  leo Machi 29, amebanwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

R.O.M.A Sasa Kama Nas

Makala: Boniphace Ngumije | RISASI JUMATANO| RISASI VIVES MAPEMA mwanzoni mwa miaka ya 2000 baada ya dunia kushuhudia ‘battle’ ya wakali wa...

READ MORE

Madenti Washindiliwa Kwenye Buti!

DAR ES SALAAM: Usafiri kafiri! Hali ya usafiri katika baadhi ya maeneo ya pembezoni mkoani Dar es Salaam ni mbaya,...

READ MORE

Viongozi Wanaofanya Kazi Kupata Kiki Basata Wapo!

STORY: Saleh Ally | CHAMPIONI JUMATANO | Makala Bongo KAMA ni mtu unayefuatilia burudani hasa muziki wa kizazi kipya, basi utakuwa...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Aipa ‘Gwala’ Taifa Stars… Atia Neno Kuhusu Serengeti Boys

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ameipongeza timu ya Taifa ya Mpira wa miguu(Taifa Stars) kwa...

READ MORE

Mary Mawigi Alia na Wanasiasa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi amelia na wanasiasa, akiwataka kuangalia matatizo ya...

READ MORE

Ujumbe wa Wazi wa Eric Shigongo kwa Diamond Platinumz Wazua Gumzo Mitandaoni

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Mhamasishaji na Mwandishi wa Vitabu maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo  amemwandikia ujumbe wa...

READ MORE

Nay wa Mitego: Ntaurekebisha Wimbo Wangu Kama Rais Alivyoshauri Lakini Sitavuka Mipaka

Saa chache baada ya kuachiwa huru kutokana na amri ya Rais John Magufuli, Rapa Nay wa Mitego amesema kuwa atayafanyia...

READ MORE

Najua Uliimiss ‘Kizaizai’ ya Daimond Sasa Nimekuwekea Hapa….

  Yanaanza kama safari twende folani ukaone, Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2 Mungu aliumba dunia na Maajabu...

READ MORE

JIDE: Tuache Kuwaziana Mabaya

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES WAKATI akitarajia kuzindua albamu yake ya saba Ijumaa hii, mkongwe wa Afro Pop...

READ MORE

Davina Amshauri Jambo Mwakyembe!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO NEWS NYOTA wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtaka Waziri Mpya wa Habari,...

READ MORE

PICHAZ: Mabasi ya Mwendokasi Yagongana Kwenye Makutano ya Barabara

HABARI: Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro jijini Dar es Salaam....

READ MORE

Waziri Majaliwa Atinga Mgodini Shinyanga, Sakata la Mchanga Wenye Madini

  WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na...

READ MORE

Sikia Kuhusu Mapacha Hawa!

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA KUNA simulizi nyingi zinazowahusu mapacha, lakini hii ni habari ambayo itakushangaza, utakapobaini kuwa ilitokea...

READ MORE

Viwanja Vya Ugenini Vinaboresha Viwango

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| LOVE SMS HALO HALOOOOO, mashostito, mnaendeleaje na kazi lakini? Mwenzenu sijambo, nipo zangu barazani kama...

READ MORE

Baada ya Kuruhusu Wimbo wa Nay upigwe, Mastaa Wampa Big Up Magufuli

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Saa chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Mama Wema Aitikisa Ndoa ya Alex Msama

Na WAANDISHI WETU|RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Hatari! Mama mzazi wa muigizaji mkubwa wa filamu Tanzania, Wema Sepetu, Miriam...

READ MORE

Neema Wambura Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumsaidia, Awapongeza Madaktari Muhimbili

Mgonjwa Neema Wambura ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amemshukuru Rais John Pombe Magufuli baada ya...

READ MORE

Taifa Stars Waigonga Burundi, Msuva, Mbaraka Wang’ara… Akina Mavugo Hoi

      Taifa Stars imeendeleza ushindi baada ya kuitwanga Burundi katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Shoga: Masaji Nayo ni Chakula cha Usiku

HEEE heeiyaa shoga yangu wa ukweee! Ni Jumanne tulivu nimekutana na wewe mpendwa wa kona yetu hii ya mashamsham, kona...

READ MORE

Matunda Yanayosaidia Kupunguza Maumivu ya Tumbo la Hedhi-2

WIKI iliyopita nilielezea baadhi ya matunda yanayosaidia kupunguza maumivu ya hedhi. Leo nitaeleza visababishi vya maumivu hayo. Moja ya kisababishi...

READ MORE

Maumivu ya Kiuno, Mgogo-2

Na TABIBU WA UWAZI| GAZETI LA UWAZI| AFYA AINA kuu za maumivu ya mgongo mara nyingi, maumivu ya mgongo hujitokeza...

READ MORE

#BongoMovie: Kiza cha Mdomo -Part 2

Usiikose Kutazama #BongoMovie hii ya #KizaChaMdomo leo #Jumanne, #Machi28, saa 1:30 Usiku kupitia #YouTube Channel ya #GlobalTVOnline#Live  #MzeeMajuto Yumo ndani… #Usikose...

READ MORE

Sarafu Kubwa ya Dhahabu ya ya Malkia Elizabeth Yaibiwa Ujerumani

UJERUMANI: Sarafu kubwa na nzito iliyotengenezwa kwa madini ya dhahabu, ambayo ina picha ya Malkia Elizabeth wa Uingereza, ambayo inakadiriwa...

READ MORE

Baghdad Kula Sahani Moja na Serikali

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI UWAZI| SHOWBIZ RAPA ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaounda Kundi la Mexcana la Vavela, Baghdad anayetamba...

READ MORE