×

Habari

Yanga Bingwa VPL 2015/6, Yawapiga Toto bao 1-0

     FULL TIME Mwamuzi anamaliza mchezo, Yanga inaibuka na ushindi wa bao 1-0. Dakika ya 94: Yanga wanafanya mabadiliko,...

READ MORE

VIDEO: Mwakyembe Apokea Mil.12 Kuisaidia Serengetiti Boys

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepokea msaada wa shilingi Million 12 kutoka...

READ MORE

Waziri wa Kikwete Afikishwa Kortini

NAIBU waziri wa fedha wa awamu ya nne kwenye uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Adam Kighoma Ali Malima leo...

READ MORE

Pichaz: Muonekano Mubashara wa Wema Sepetu

  …Akijiachia katika pozi mbalimbali. Supastaa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao...

READ MORE

Gari La Polisi Lanaswa Likibeba Mchanga

Mwandishi wa mtandao huu alishuhudia watu watatu wakikusanya na kupakia mchanga ndani ya gari hilo la polisi ambalo ni maalum...

READ MORE

Mtoto Majeruhi wa Lucky Vincent Afanyiwa Upasuaji Marekani

Taarifa iliyotolewa na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imeeleza kuwa “Madaktari wamesema wamemfanyia upasuaji wa bega ‘shoulder’, mtoto Doreen...

READ MORE

Kenya: Upinzani Watishia Kususia Uchaguzi Mkuu

  KENYA: Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa upinzani wa...

READ MORE

Breaking News: Mkuu wa Mkoa Meck Sadiki na Majaji Wawili Waachia Ngazi

KUJIUZULU: Rais Magufuli ameridhia kujiuzulu kwa viongozi wafuatao; RC Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, majaji wa Mahakama Kuu, Aloysius Mujulizi na...

READ MORE

Kagera: Binti Adaiwa Kunyonga Kichanga Chake cha Siku 3, Kisha Kukizika

KAGERA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera,...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Leo Mei 16, 2017

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Leo Mei 16, 2017

READ MORE

Zitto Ataka Hatua Kali Zichukuliwe Dhidi ya Askari Polisi Aliyemtishia Bunduki Adam Malima

Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea jana Jijini Dar es salaam kwa kitendo cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha...

READ MORE

Tunda Mapenzi Ya Mitandaoni Byebye!

Stori: Boniphace Ngumije| UWAZI | Showbiz MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni amefunguka kuwa miongoni...

READ MORE

Vyakula Bora 5 Muhimu Kwa Mwili Wako

MAKALA: NA MWANDSHI WETU |UWAZI| AFYA LISHE ni moja ya nguzo kubwa kwenye afya ya mtu, unachokula si tu kinafanya...

READ MORE

Aina 3 za Sickle Cell Unazopaswa Kuzijua-2

MAKALA: NA MWANDISHI WETU| UWAZI:  Tabibu Wiki iliyopita nilianza kuelezea dalili za ugonjwa wa sickle cell, leo nitaendelea, ungana nami....

READ MORE

Nionavyo Mimi: Lazima Serikali Itekeleze Maazimio ya Bunge

MAKALA NA ELVAN STAMBULI | UWAZI |NIONAVYO MIMI WIKI iliyopita nilisikia bungeni wabunge wakimkumbusha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu maazimio...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Mei 16, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 16, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Saudia Yatoa Tende Kwa Mfungo wa Ramadhan

BALOZI wa Saudi Arabia nchini Mohammed Almalik ametoa zawadi ya tende tani 43 kwa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata)...

READ MORE

Mauzo Hisa Yaongezeka Toka Bil 6 Wiki Iliyopita Hadi Bil 8.1 Wiki Hii

Mauzo ya Hisa (Turnover/ Liquidity) Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeongezeka zaidi ya mara mbili kutoka hisa 745,000 hadi...

READ MORE

Masaki Dar: Adam Malima Atibuana na Polisi, Wafyatua Risasi Hewani (VIDEO)

TAHARUKI imeibuka mchana huu maeneo ya  Masaki karibu na Double Tree Hotel baada ya askari polisi mmoja kufyatua risasi hewani...

READ MORE

Polisi Waua ‘Jambazi’ Akijaribu Kupora Fedha za ATM

   JESHI la polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema leo  lilifanikiwa kumjeruhi kwa risasi mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi...

READ MORE

Rais Magufuli Ameivunja Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kusaini Amri ya Rais (Presidential...

READ MORE

GlobalNewsAlert: Lita 6,694 za Kemikali za Kutengenezea Dawa za Kulevya Zakamatwa Dar

DAR ES SALAAM: Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema wamekamata kiasi cha...

READ MORE

Mwigulu Nchemba: Bado Hatuna Sheria ya Kuthibiti Shisha

DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba bungeni leo amesema serikali bado haina sheria ya kuthibiti matumizi...

READ MORE

Ikulu ya Nigeria Yakanusha Kifo cha Rais Muhammadu Buhari

SERIKALI ya Nigeria imewataka wananchi wa Nigeria kupuuza uvumi kwamba Rais Muhammadu Buhari hali yake ni mahututi na kwamba huenda...

READ MORE

Breaking News: Baada ya Kutangaza Kujiuzulu, Hans Pope Arejea Tena Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope amerudi kundini Simba baada ya kufuta uamuzi wake wa kujiuzulu Mkuu...

READ MORE

Wastara Adaiwa Kushindwa Kulipa Kodi ya Nyumba!

Ubuyu: Hamida Hassan na Gladness Mallya | IJUMAA WIKIENDA |DAR ES SALAAM Ubuyu wa mjini unamgusa staa wa sinema za...

READ MORE

Mwakyembe Aipongeza Dasani Marathon Kwa Kuibua Vipaji

WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameyasifia mashindano ya mbio ya Dasani Marathon 2017 yaliyofanyika jana...

READ MORE

Marekani: Wabunge Wamvaa Rais Trump

Wabunge wandamizi nchini Marekani wamemvaa Rais Donald Trump kwa kumtaka asalimishe kanda ya mazungumzo yoyote yaliorekodiwa kati yake na aliyekuwa...

READ MORE

Serengeti Boys Kuivaa Mali Leo

STORI: Ibrahim Mressy | CHAMPIONI| Dar es Salaam TIMU ya Taifa ya vijana chini ya umri wa Miaka 17, Serengeti...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Jumatatu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha...

READ MORE

Gigy Amchefua Wema Ukumbini

Stori: Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA |DAR ES SALAAM Muuza nyago kwenye video za nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Nani Anataka Kumuua Rose Muhando?

STORI: SIFAEL PAUL | IJUMAA WIKIENDA MWANAMAMA Rose Muhando ni staa mkubwa wa Nyimbo za Injili Bongo. Rose ana sauti...

READ MORE

Acha Kuzubaa, Watu Wanapiga tu Fedha Kila Mwaka

Na Nyemo Chilongani na Mtandao | IJUMAA WIKIENDA WATU wanapambana kila siku kuhakikisha wanatoka kimaisha. Wale wasiokuwa na kitu wanajitahidi...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Mei 15, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 15, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Ukikosea Acha Ubishi, Kubali Kukosolewa

Na Gabriel Ng’osha | IJUMAA WIKIENDA| UHUSIANO MWENYEZI Mungu asante kwa siku hii njema uliyoifanya kwangu na wanadamu wote. Ninaamini...

READ MORE

Mashindano Ya Mchezo Wa Drafti Yamalizika, Naibu Meya Tememe Apongeza

MASHINDANO ya mchezo wa Darfti ya Mstahkimi Meya wa jiji la Dar es Salaa Isaya Mwita yamemalizika leo na kufungwa...

READ MORE

Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Basi Arusha Wapelekwa Marekani

Ndege kubwa inayoweza kutumika kama ‘AMBULANCE‘ angani na iliyotoka North Carolina, Marekani kuja moja kwa moja Kilimanjaro, Tanzania kuwachukua majeruhi...

READ MORE