×

Habari

Hapa Nimekuanikia Kurasa za Mbele na Nyuma Magazeti Yote ya Tanzania Leo Aprili 20, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 20, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa...

READ MORE

Watuhumiwa 267 Wakamatwa na Polisi Pasaka

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema limewakamata watuhumiwa 267 wa makosa mbalimbali ya uhalifu  wakiwemo wa madawa...

READ MORE

Bakwata Kujadili Mmomonyoko wa Maadili Nchini

BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) linatarajia kufanya mkutano utakaojadili hali ya mmomonyoko wa maadili unavyoathiri jamii nchini. Akizungumza na...

READ MORE

Picha+Video: Yanyojiri Bungeni Mjini Dodoma Leo Aprili 19, 2017

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano...

READ MORE

Jamaa Aliyempa Mimba Mwanafunzi

Na MTUNZI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| CHEKA SANA Mwanafunzi: Mimba siitoi baby lakini usijali kuhusu kwetu kwani tuna pesa nyingi mpenzi...

READ MORE

VIDEO: Steve Nyerere Ayasusia Maandamano ya Bongo Movie, Aanika Haya!

KUFUATIA maandamano ya wasanii wa Filamu nchini, Bongo Movie, ambao wameandamana leo katika mtaa wa Aggrey Kariakoo  wakipinga uingizwaji wa...

READ MORE

Mwanaheri; Soko la Filamu Lipo! (+ video)

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO WAKATI wakongwe wa filamu Tanzania wakilia usiku na mchana juu ya kufa kwa...

READ MORE

Yanga Wamwaga Mboga, Simba Kubinua Sahani na Bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia...

READ MORE

Gigy, Utaacha Lini Ulimbukeni?

Na GABRIEL NG`OSHA| RISASI MCHANGANYIKO| BARUA NZITO Ni jambo zuri na la kheri kumkumbuka mtu unayemfahamu, unayemmiss na hata unayempenda,...

READ MORE

Shamsa Ford Yamkuta Mazito Dar

Na Salum Milongo/GPL STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford ‘Chausiku’, amepata jeraha la maisha baada...

READ MORE

Diamond Awapongeza Rayvanny, Fahyma kwa Kupata Mtoto wa Kwanza

Na Salum Milongo/GPL MSANII wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa pongezi kwa mwanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Nafasi za Kazi Leo Aprili 19, 2017

MTU BINAFSI NAFASI: Vijana wa mauzo (nafaka maharage) SIFA: Awe na umri wa miaka 18 (wake kwa waume), uwezo wa...

READ MORE

Jimmy Mafufu Ataka Mabachela Wapimwe Akili!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO MSANII wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu amewatolea uvivu waigizaji ambao umri wa...

READ MORE

Roho Nzuri ya Mumeo Isikupe Wivu

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| MAKALA HALO haloooo mashosti, leo nina booonge la umbeya ninawaletea, si unajua tena nimetoka kwenye...

READ MORE

Breaking News: Wasanii wa Bongo Muvi Waandamana Kariakoo Dar (+Video)

DAR ES SALAAM: Baadhi ya wasanii wa Filamu nchini (Bongo Movie) wamefanya maandamano katika Mtaa wa Aggrey, Kariakoo ambapo ni...

READ MORE

Yanga Yamzuia Msuva Kumzungumzia Fakhi

Musa Mateja, Dar es Salaam, Championi Jumatano UONGOZI wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Clement Sanga, umewapiga ‘stop’ wachezaji...

READ MORE

Lulu Diva Achekelea Kolabo za Kimataifa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MWANADADA anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva na wimbo wake wa Usimwache,...

READ MORE

Simba Kufunguka Kinachoendelea Katika Soka Nchini leo

Klabu ya Simba inapenda kuwaarifu waandishi wa habari, itakuwa na mkutano wake ‘MAALUM’ na wanahabari kesho saa tano na nusu...

READ MORE

Dk. Slaa Azungumza Kwa Njia ya Simu Kuhusu Madai ya Kujiunga CUF

Wakati mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) ukizidi kutokota, Mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,...

READ MORE

UEFA: Real Madrid Waigonga Bayern Munich 4-2, Ronaldo ni ‘Sumu’

Cristiano Ronaldo alifunga mabao matatu na kuwawezesha mabingwa watetezi wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Real Madrid kuwatimua Bayern Munich...

READ MORE

Roma, Naisubiri Siku Uteme Nyongo!

Na OJUKU ABRAHAM| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES MUZIKI ni sanaa pana inayohitaji zaidi akili iliyotulia ili kuifanya kuwa bora na...

READ MORE

Lulu Atokwa Povu Bethidei Yake Kubuma

Na  GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Kweli utawala wa awamu ya tano kiboko! Tofauti na miaka iliyopita...

READ MORE

Zimeanikwa Kurasa za Mbele na Nyuma Magazeti Yote ya Tanzania Leo Aprili 19, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 19, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Breaking News: Maamuzi ya TFF Kuhusu Rufaa ya Kagera, Pointi 3 za Simba (VIDEO)

Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemaliza kikao chake na Simba inaendelea...

READ MORE

Prof. Mkumbo Aitaka Dawasco Kuongeza Kasi Utoaji Huduma jijini Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na baadhi ya uongozi wa mamlaka hiyo. KATIBU...

READ MORE

Wataalamu Upasuaji Kujadili Uboreshaji Huduma

WATAALAM na wadau mbalimbali wa masuala ya upasuaji wa binadamu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna  wanavyoweza kuongeza huduma...

READ MORE

Mauzo ya Hisa ya DSE Yapaa, Yafikia Trilioni 20.3

MAUZO ya hati fungani katika  Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyoishia tarehe Aprili 13, 2017 yamepaa...

READ MORE

Shahidi Namba 8 Aisogeza Mbele Kesi ya Scorpion

Salum Njwete ‘Scorpion’ akiingia Mahakama ya Mwanzo Ilala, Dar. Na Richard Bukos na Issa Mnally | GLOBAL PUBLISHERS Kesi ya...

READ MORE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Aibua Ubadhirifu wa Kutisha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

UBADHIRIFU wa kutisha unaohusisha mabilioni ya fedha, umefichuliwa kwenye Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ukihusisha uongozi, wafanyakazi, watoa huduma...

READ MORE

(+Sauti), Alichosema Spika Ndugai Baada ya Yanga Kufungwa (4-0)

SPIKA wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Yustino Ndugai, leo bungeni...

READ MORE

Askari 17, Viongozi 18 Wameuawa Mkuranga, Kibiti

STORI: WAANDISHI WETU|GAZETI LA UWAZI| HABARI PWANI: Idadi na watu, raia na askari polisi waliouawa kwa kupigwa risasi katika Wilaya...

READ MORE

Nimekuwekea Hapa Trailer ya Filamu ya ‘Fate Of The Ferious’, Filamu Iliyovunja Rekodi kwa Mauzo Kufikia TZS Trilioni 1.2

Filamu ya Fate of the Furious imevunja rekodi ya dunia ya kuwa filamu iliyouzwa sana baada ya kuzinduliwa rasmi. Filamu...

READ MORE

LIVE: Hatimaye Yanga Warejea Nyumbani Wakitokea Algeria

   Klabu ya Yanga wamerejea nyumbani wakitokea nchini Algeria walikokuwa wamekwenda kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Kombe la Shirikisho Barani...

READ MORE

Korea Kaskazini: Tutafanya Majaribio ya Makombora Kila Wiki

Pyongyang: Naibu Waziri wa Masuala ya Kigeni nchini Korea Kaskazini, Han Song-ryol amesema kuwa nchi hiyo itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, licha ya...

READ MORE