×

Habari

TFF Yamfungia Haji Manara Mwaka 1 na Faini Ya Tsh Milioni 9

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara kutojihusisha na soka kwa miezi...

READ MORE

Mtanzania Alphonce Simbu Ameshika Nafasi ya 5 London Marathon

Mwanariadha Mtanzania, Alphonce Simbu, leo Jumapili amefanikiwa kushika nafasi ya tano katika mashindano ya mchezo wa riadha ya mbio ndefu...

READ MORE

Mfanyabiashara Achomwa Visu 14 na Kaka’ke

STORI: Mack Ballus |Risasi Jumamosi | Habari MARA: Mfanyabiashara wa samaki, Warioba Mtatiro, mkazi wa Kijiji cha Etalo, Musoma Vijijini,...

READ MORE

Sakata la pointi 3 Kati ya Kagera Sugar na Simba Mwisho Leo

BAADA ya takribani wiki moja ya mvutano mkali na mjadala usiokuwa na mwisho wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi...

READ MORE

Mgombea UWT Afia Gesti, Wahudumu Wasimulia Mchezo Mzima

Stori: Boniphace Ngumije na Mayasa Mariwata |Risasi Jumamosi| Habari  DAR ES SALAAM: Binadamu akipanga yake na Mungu anapanga yake! Hivyo...

READ MORE

Bi Samia Awataka Wanafunzi ‘Wakamue’ Sayansi Kufanikisha Sera ya Viwanda

MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri wa Muungano ya Tanzania, Bi. Samia Suluhu (pichani kushoto) amewataka wanafunzi nchini kujibidiisha katika kusoma...

READ MORE

Serengeti Boys Yaichakaza Gabon Mabao 2-1

Timu ya taifa ya Tanzania vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ jana walifanikiwa kuichakaza Gabon kwa mabao...

READ MORE

Lulu Awajibu Wanaomnanga Mtandaoni

IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | HABARI MTOTO mzuri Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewataka wanaomsema kuwa ni mfupi, wampime...

READ MORE

Kabula Amchana Live Mr. Chuz

SANII wa kitambo kwenye anga la sinema Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemchana live mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 23

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 23, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Droo Ndogo ya Tatu Ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yasubiriwa Kwa Hamu

WASOMAJI wa magazeti ya Global Publishers, ambao wanaendelea kujikusanyia kuponi kwa ajili ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

Tazama LIVE Bongo Movies: MUWEKEZAJI

GLOBAL TV Online inakuletea bongo movie iitwayo MUWEKEZAJI kutoka kampuni maarufu ya filamu nchini 5EFFECTS. Furahia burudani ya filamu na...

READ MORE

Alichokizungumza Julius Mtatiro Baada ya CUF Kuvamiwa na Watu Wasiojulikana

KUFUATIA Kundi la watu wasiofahamika waliokuwa wamevalia kininja wakiwa na MAPANGA na BASTOLA moja kuvamia mkutano wa Chama Cha Wananchi...

READ MORE

Tazama LIVE Filamu ya ‘Muwekezaji’

USIKOSE kutazama Filamu ya kusisimua ya Kitanzania kwa lugha ya Kiswahili ‘MUWEKEZAJI’ leo Jumamosi saa 12:00 Jioni kupitia YouTube Channel...

READ MORE

FT: Yanga 3-0 Tanzania Prisons Uwanja wa Taifa, FA Cup

FULL TIME Mwamuzi anapuliza kipenga kumaliza mchezo, Yanga inaibuka na ushindi wa mabao 3-0. Dakika ya 90: Muda wowote mchezo...

READ MORE

Baada ya Kutolewa Caf, Sasa Yanga Kumalizia Hasira Kwa Prisons leo, Taifa

Timu ya Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani leo  Jumamosi saa kumi kamili kukipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika mechi yao ya...

READ MORE

Mkutano wa CUF Wavamiwa na Watu Wasiojulikana

Watu wasiojulikana wakiwa na bastola wamevamia mkutano wa wanachama wa CUF ambao unamuunga mkono, Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahim...

READ MORE

Nikki wa Pili Awachana Wasanii wa Bongo Movie

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka Kundi la Weusi, Rapa Nikki wa Pili amewafungukia wasanii wa filamu za Kibongo...

READ MORE

Harmorapa: Sijawahi Kuachwa na Mwanamke

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmorapa amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kabisa kuachwa na mwanamke bali...

READ MORE

Hivi Ni Bongo Movies au Bongo Lala?

NA SIFAEL PAUL | RISASI JUMAMOSI | MKITO NUSUNUSU KATIKA moja ya ngoma zake, mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka...

READ MORE

Esha Buhet: Mimba Imeongeza Mahabati Kwa Mume

IMELDA MTEMA -0713 612533 | RISASI JUMAMOSI |MPAKA HOME MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii tamu ya Mpaka...

READ MORE

Mchungaji Kizimbani kwa Kufoji Pasipoti

Arusha:  Idara Uhamiaji mkoa wa Arusha imewapandisha kizimbani watu watano,akiwamo mchungaji wa kanisa la Pentecostal kwa kosa la kufoji hati...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili: Droo Ndogo ya Tatu Kufanyika Viwanja vya Bakhresa, Manzese

ILE droo ndogo ya tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, sasa itafanyika...

READ MORE

Simba Waomba Kuandamana Kwenda Kwa Waziri Kisa TFF

Taarifa ni kuwa Klabu ya Simba imeomba kuandamana kuelekea kwa Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Aveva, Harrison Mwakyembe...

READ MORE

Homa ya Matumbo kwa Mtoto

UGONJWA wa homa ya matumbo kwa watoto, ni wa kawaida kwa watoto kutokana na aina ya michezo na uchafu wanaokula,...

READ MORE

Tajiri Ammwaga Mrembo Kisa Hawezi Kuzaa

TAJIRI Sir Benjamin Slade (70) aliyemchukua kwa mbwembwe nyingi mrembo mmoja mfanyabiashara, Bridget Convey, wote wakiwa raia wa Uingereza, hivi...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 22

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 22, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

MCT Watangaza Wanaowania Tuzo za Umahiri Uandishi wa Habari

Baraza la Habari Tanzania (MCT)  wametangaza majina ya wateule wanaowania Tuzo za Umahiri katika tasnia ya uandishi wa habari. Akizungumza...

READ MORE

Shughulikieni Tabia, Zikiwashinda Bora Muachane!

Na. Erick Evarist +255 768 811595, Risasi Jumamosi, Mahusiano MAPENZI ni uvumilivu. Watu mnakutana ukubwani, mnaanzisha uhusiano kila mmoja akiwa...

READ MORE

Gabo Afunguka Kuonja Penzi la Wema Sepetu

NA IMELDA MTEMA, RISASI JUMAMOSI, HABARI KUFUATIA uwepo wa madai kuwa amelionja penzi la mwigizaji Wema Sepetu, mkali anayekimbiza kwa...

READ MORE

Etihad Yaandaa Mafunzo Ya Kuhamasisha Masomo Ya Sayansi

Shirika la Anga la Etihad (EAG) limeandaa kozi maalumu kwa wahandisi na marubani inayofahamika kama ‘Think Science 2017’ katika taaluma...

READ MORE

VIDEO: Tundu Lissu Akabidhi Ramani ya Jengo la Ofisi za TLS

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amekabidhi ramani ya Jengo la Ofisi za Chama hicho leo Aprili...

READ MORE

VIDEO + PICHAZ: Shuhudia Uzinduzi wa Movie Mpya ya Msanii Jacob Steven ‘JB ‘

Msanii wa Filamu za Bongo Movie, Jacob Steven maarufu kama JB leo Aprili 21, 2017 amezindua filamu yake mpya inayoitwa...

READ MORE

Ajira Ajira Ajira… Nafasi 300 za Kazi Zimetoka, Mshahara Mnono Kutolewa

TAZAMA VIDEO YA EMIRATES TAXI ABU DHABI

READ MORE

Wema: Deni Tulilonalo ni kwa Watanzania tu

Na Salum Milongo/GPL STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai...

READ MORE

Kama kweli unahitaji mafanikio, kuwa wa kipekee!

Na AMRAN KAIMA| GAZETI LA IJUMAA| MAISHA, SAIKOLOJIA NA WEWE MAFANIKIO ni kitu muhimu kwani kila binadamu anahitaji kuyapata kwa...

READ MORE

TAZAMA LIVE: Matokeo ya Droo ya Nusu Fainali ya UEFA Europa League

ILE droo ya kupanga mechi za Nusu Fainai ya Kombe la Europa League imechezeshwa leo ambapo nusu fainali hizo mbili...

READ MORE