×

Habari

Kesi ya Pedeshee Ndama Yasogezwa Mbele Tena!

Ndama (katikati) na wenzake siku waliyopandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza. Kesi inayomkabili mfanyabiashara wa jijini Dar, Ndama Shaaban Hussein...

READ MORE

Mkwanja Wampeleka Kidoa Bongo Movie

Mayasa Mariwata MUUZA nyago mwenye figa matata Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema kuwa,  miongoni mwa mabadiliko aliyoyafanya katika mwaka huu...

READ MORE

Koffi Olomide Mgeni Rasmi Bethidei ya Pedeshee Jack Pemba (+VIDEO)

PESA inaongea! Msanii nguli wa Bolingo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Koffi Olomide ‘Mopao’ anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye...

READ MORE

Mwalimu wa Sekondari Mkoani Songwe Alamba Mil 32 za M-Bet

Meneja wa huduma kwa wateja wa M-bet,Jaykishan Kaba(kushoto) na mshindi wa M-bet, Mkazi wa   mkoa wa Songwe,Christian Kiyeyeu(kulia)wakimsikiliza Msemaji wa...

READ MORE

Kajala Akanusha Video ya Ngono Inayosambazwa Mitandaoni Siyo ya Binti Yake Paula!

Kajala Masanja. Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Atupwa Jela Miezi Minane

Mwenyekiti wa Mkoa wa Lindi na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Selemani Mathew. VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

AY, Nyashinski Kwenye Ngoma Moja

Rapa AY. Gabriel Ng’osha, Gazet La Amani, Toleo La Alhamisi Jan. 19, 2017 MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY’...

READ MORE

Maiti Iliyozikwa na Baadae Kukutwa Kitandani Nyumbani, Yazikwa Tena kwa Ulinzi Mkali wa Polisi

MBEYA: Maiti ya mtoto Haruna Kyando (9) ambayo ilikutwa nyumbani muda mfupi baada ya wananchi kutoka makaburini kumzika, imezikwa kwenye...

READ MORE

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Yatembelea Makao Makuu ya Wizara Hiyo

 Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ardhi, Maliasili...

READ MORE

Watu na tuzo zao England, Acha Kabisa!

London, England TUZO ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu England imekuwa maarufu sana kwa siku za hivi karibuni....

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu Ya Pili Yawatembelea Wakazi wa Bunju, Dar

Mtangazaji wa Global TV Online, MC Chaku akifanya mahojiano na mkazi wa Bunju, Dar. Wakazi wa Bunju wakiendelea kupata elimu...

READ MORE

Rais Magufuli Amuapisha Kaimu Jaji Mkuu, Ikulu Dar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji...

READ MORE

Simba Yatoka Sare na Mtibwa, Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Dakika 90: Mpira Umekwisha, Simba wanatoka 0-0 na Mtibwa Sugar. Dk 90+ 2: Simba wanapata faulo kwenye lango la Simba,...

READ MORE

Majaliwa Aagiza Uchunguzi Matokeo Mabaya Shule za Mtwara

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Wizara wa Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi...

READ MORE

SKENDO: OFM Wajifanya Wanafunzi, Waingia Madarasani USDM na Kusoma Siku Tatu Bila Kustukiwa! (+Video)

         Kamanda Namba 1 wa OFM (kushoto) akizungumza na mmoja wanafunzi halisi chuoni hapo bila kugundulika. Dar es Salaam: HEBU...

READ MORE

Kesi ya Lissu Yapigwa Kalenda Tena

Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, leo imeshindwa kusikilizwa kwa mara nyingine kwenye Mahakama ya...

READ MORE

Rais Jammeh wa Gambia Atangaza Hali ya Hatari, Aongezewa Siku 90 Kubakia Madarakani

Bunge la Gambia limerefusha utawala wa Rais Yahya Jammeh kwa miezi mitatu baada ya kiongozi huyo kutangaza hali ya hatari...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yazinduliwa

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers, Abdallah Mrisho akimkaribisha Mgeni Rasmi, wanahabari na wageni wengine kwenye hafla fupi ya...

READ MORE

Chameleon Aiba 100M Bongo

  Jose Chameleone RISASI MCHANGANYIKO Januari 18 2017 DAR ES SALAAM: Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya wa Uganda, Joseph...

READ MORE

Simba SC Yamtangaza Mchezaji Wake Bora wa Mwezi Disemba

Beki Method MWanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kikosi cha Simba kwa mwezi Desemba, 2016. Mwanjale raia wa Zimbabwe ameonyesha...

READ MORE

Mzee Akilimali Aamua Kujitwisha Mgongano wa Pluijm na Lwandamina

Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina (kushoto) na Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Baada...

READ MORE

Kisa Sakata la Baa la Njaa, Zitto Atishia Kujivua Ubunge

Baada ya kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kupaza sauti kuhusu hali ya chakula nchini huku akisema kuwa...

READ MORE

Madaha: Mastaa Mrudi Shule!

  Baby Madaha MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amewataka mastaa wenzake kurudi shule kwani kwa kipindi hiki...

READ MORE

Klabu Billicanas Inavyozidi Kutoweka Ikibomolewa

Eneo ambalo lilikuwepo klabu maarufu ya Billicanas ambalo linaendelea kubomolewa kutokana na kudaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)....

READ MORE

Walimu Waitaka Serikali Ilipe Malimbikizo ya Trilioni 1.060/-

Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha Walimu Tanzania (CWT) , Ezekiah Oluoch CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepongeza jitihada za...

READ MORE

Godbless Lema, Mkewe Kizimbani Tena Leo Kesi ya Kumtukana RC Gambo

DAR ES SALAAM: Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Augustino Rwezile, leo, anatarajia kuwasomea hoja za...

READ MORE

Dayna Awalilia Watanzania Tuzo za Bae

Na Risasi Januari 18 MWANADADA anayefanya poa kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewalilia Watanzania kumsapoti kwa...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Kuzinduliwa Leo

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas Tarimba ndiye atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi...

READ MORE

Jeshi la Nigeria Lalipua Kimakosa Kambi ya Wakimbizi na Madaktari, 6 Wauawa

Ndege ya Jeshi la Nigeria imelipua kimakosa kambi ya wakimbizi na madaktari wasio na mipaka wakidhani ni wanamgambo wa kundi...

READ MORE

Mzee Yusuf Awa Mhadhiri wa Kitaifa

DAR ES SALAAM: Aliyekuwa staa mkubwa wa muziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf ambaye kwa sasa amemrudia Mungu wake na...

READ MORE

Mama Aliyechapwa Viboko Hadharani Mara Afunguka Mazito, Bofya Umsikie! (+Video)

Gazeti la Uwazi, Toleo laJumanne, Jan. 17, 2017 MARA: Tukio la mwanamke mmoja mkoani Mara kucharazwa viboko 50 na wanaume ...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 17 Januari, 2017 amemteua Mhe. Jaji Prof....

READ MORE

Ajira Mpya Serikalini

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/93 17th January, 2017 VACANCY ANNOUNCEMENT, (RE-ADVERTISED)...

READ MORE

Vee Money Apasua Alimopita Lupita Nyongo

    Muigizaji Lupita Nyongo MAKALA; Na Boniface Ngumije, Gazeti la Uwazi, Toleo la Jan. 17, 2017 KABLA ya mwanzoni...

READ MORE

Diamond Kanyakua Tena Tuzo Nigeria, Usiulize ni Tuzo Gani Wewe Bofya Hapa!

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora...

READ MORE

Mbeya: Polisi Wafukua Jeneza la Aliyekufa na Kuzikwa, Baadaye Mwili Wake Kukutwa Kitandani

MBEYA: WAKAZI wa eneo la Isanga katika Jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa, mikasa na matukio ya vioja, baada ya...

READ MORE

Mchungaji Mwingereza alivyouawa na kuliwa nyama yake

Kabila la wala watu Fore. KABILA LA WALA WATU-02 Tunaendelea kusimulia habari ya kweli ya watu wanaokula binadamu wenzao kama...

READ MORE